Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 1,082
- 3,011
Futa unaharibu ๐๐๐
Futa unaharibu ๐๐๐
๐๐ yani we kwa mpira wako unajua sijui nikushauri nini hapo kaka ๐Urudi uniambia nazingua wapi na niongeze nini๐
Na nini nikufundishe tena๐๐
Wahii training ground kaka ๐A wapi hadi aibu kuweka matokeo pasi hazifiki wewe ukigusa tu imoo๐
Ebu niendelee kutrain
Ila mi naona umejaa tu kwenye mfumo we unagusa ๐ afu ulikuja na smart assist, pale ina mpira wake wa tofauti mi siwezi kutambua makosa yako harakaNdio useme nika train kwa kurelax๐
Aisee ๐Picha lilianzia hapa mechi ya kwanza, comeback ya dakika za jiooni..View attachment 3422387kama mnavyoona MOTM alikuwa super destroyer Adams ๐vichwa, Humu tu View attachment 3422389hii mechi ya 2 ndo ilikuwa ya kutoana damu, nipe nikupe ๐ ila mshindi yule yule.. (nakunywa maji)View attachment 3422390baada ya kujihakikishia ushindi wa best of 3 mapema kwenye mechi za mwanzo, nikaona nisiwaangushe mashabiki zangu mkaona kuwa nilikuwa napata ushindi wa bahati bahati, nikaamua kumtulizia mali kijana alikuwa amewasha attacking bar lakini aliizima akawasha defensive bar kupunguza mashambulizi na kasi ya mpira ๐๐ค na hapo kawasha defensive bar hana goli anajitafuta..View attachment 3422393kama kawaida kwenye vyote siwezi kukosa goli la kona kwa mtu ambae ni mgeni kucheza na mimi, humu tu ๐๐คView attachment 3422394
NADHANI MASHABIKI ZANGU MMEFURAHI SASA ๐๐
CC Edo kissy ๐ค.. Promoter wa pambano Selikavu ๐ซฐ
NEGAN Razorblade Mill broh
Safi mkuu, tutalipa kisasi ๐Nitakurudia๐, promoter Selikavu toa ratibaa.
Saivi mje mkiwa mmeunganaSafi mkuu, tutalipa kisasi ๐
Hizo kona kaka ๐คฃ๐คฃ๐คฃme huwa nakaba lakini zinanishindaEbu nika train mkuu๐ฌ
Razorblade utaleta timu au unaenda training ๐คฃ๐คฃ๐คฃPicha lilianzia hapa mechi ya kwanza, comeback ya dakika za jiooni..View attachment 3422387kama mnavyoona MOTM alikuwa super destroyer Adams ๐vichwa, Humu tu View attachment 3422389hii mechi ya 2 ndo ilikuwa ya kutoana damu, nipe nikupe ๐ ila mshindi yule yule.. (nakunywa maji)View attachment 3422390baada ya kujihakikishia ushindi wa best of 3 mapema kwenye mechi za mwanzo, nikaona nisiwaangushe mashabiki zangu mkaona kuwa nilikuwa napata ushindi wa bahati bahati, nikaamua kumtulizia mali kijana alikuwa amewasha attacking bar lakini aliizima akawasha defensive bar kupunguza mashambulizi na kasi ya mpira ๐๐ค na hapo kawasha defensive bar hana goli anajitafuta..View attachment 3422393kama kawaida kwenye vyote siwezi kukosa goli la kona kwa mtu ambae ni mgeni kucheza na mimi, humu tu ๐๐คView attachment 3422394
NADHANI MASHABIKI ZANGU MMEFURAHI SASA ๐๐
CC Edo kissy ๐ค.. Promoter wa pambano Selikavu ๐ซฐ
NEGAN Razorblade Mill broh
Amtafute koller acheze beki๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐ yani we kwa mpira wako unajua sijui nikushauri nini hapo kaka ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃNa amekuta saiv ni LBC angekuta possession game au QC ni pasi 200+Wahii training ground kaka ๐
Namsubiria alhamisi huyo๐Razorblade utaleta timu au unaenda training ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ashakimbia huyu๐คฃ๐คฃ๐คฃAisee ๐
Kazi njema mkuu.
Nipo kudhihirisha makosa ya Cannavaro ๐Amtafute koller acheze beki๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3422521