Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Harakati za pimbi ๐Edo kissy nimepokea simu kutoka kwa promoter wa mapambano humu JF Mr. Selikavu , nasikia unataka leo pambano liwe live Azam Sports 2 HD saa 4 kamili usiku...
Napenda kuutaarifu umma nitakuwepo na nitahakikisha mashabiki zangu wanafurahi ๐
Nenda training kwanzia muda huu umepewa muda mwingi sana wa kujiandaa mkuu, mimi ndo nimeshtukizwa ila nitaingia uwanjani ๐
NEGAN Mill broh , Razorblade na wengine wengi humu, mjitokeze ๐๐
#KIWAKE. ๐