Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Harakati za pimbi ๐Edo kissy nimepokea simu kutoka kwa promoter wa mapambano humu JF Mr. Selikavu , nasikia unataka leo pambano liwe live Azam Sports 2 HD saa 4 kamili usiku...
Napenda kuutaarifu umma nitakuwepo na nitahakikisha mashabiki zangu wanafurahi ๐
Nenda training kwanzia muda huu umepewa muda mwingi sana wa kujiandaa mkuu, mimi ndo nimeshtukizwa ila nitaingia uwanjani ๐
NEGAN Mill broh , Razorblade na wengine wengi humu, mjitokeze ๐๐
#KIWAKE. ๐
Kazi njema ๐Sadly nadhan nitakuwa offline kwa muda maana tambo langu limenizingua leo mchana (Storage issues)
Sikupanga kuileta hii news ila nimeona kuna Ulazima
Kama mmeangalia Friends list leo nimetoka...
account yangu nimempa mdogo wangu yeye alipoteza Id yake ya Zaman
Nikilud nitalud na Selikavu ila nadhan sitochukua muda mrefu
Nitakuwepo na Role yangu ya promoter kwa sasa ๐ฅ
Pole zangu za dhati nampelekea Razorblade najua huwezi sikitika hata kdg fresh tuu mwanangu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ni mwendo wa puuh paah, tunahesabu magoli ๐Edo kissy tayali kapata zake Epic wa 110๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nilijua tu mwanangu hunaga baya๐คฃ๐คฃ๐คฃKazi njema ๐
Ana defensive awareness 101 anakaba adi kipa kwanza ndo anafungaNi mwendo wa puuh paah, tunahesabu magoli ๐
Uje uje๐๐Mapema mno
Mzungu wa roho ๐Nilijua tu mwanangu hunaga baya๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Edo kissy tuzame kaka, nilikuwa na mechi za ligi hapa nimemaliza twenzao
Naomba kuwakumbusha kwamba MATOKEO BILA PICHA NI UZUSHI.Twende
Wajumbe tunasubiri matokeo๐Naomba kuwakumbusha kwamba MATOKEO BILA PICHA NI UZUSHI.
Kazi njema.
Ni bora usiende kuliko kutokuleta matokeoTwende
Kwa vile ni battle we hata wakisimama unaichapa tu ๐๐.. ngoja nibadili laini hapa airtel jau mkuu, stay kwenye game unipe invite tenaTwende
Msiwaze.. net imenizingua mechi ya kwanza hapa ndo nabadilisha mtandao nioneNaomba kuwakumbusha kwamba MATOKEO BILA PICHA NI UZUSHI.
Kazi njema.
Nakazia๐คฃ๐คฃ๐คฃNaomba kuwakumbusha kwamba MATOKEO BILA PICHA NI UZUSHI.
Kazi njema.
Ubaya ubwela mzee watu wanakabia juu sanaKwa vile ni battle we hata wakisimama unaichapa tu ๐๐.. ngoja nibadili laini hapa airtel jau mkuu, stay kwenye game unipe invite tena
Kwann ufunge sasa kama umeona๐คฃ๐คฃ๐คฃSawa mkuu nimeona hicho kitu๐