Aisee kimecheka kinoma๐Kaka umewaz nini ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ nimecheka kinoma yan comment yangu kuikuta uzi mwingine
Me nashangaa Osimhen mzee hafiki 99๐คฃ๐คฃ๐คฃnikaona shida ya nn na chatgpt ipo ๐คฃ๐คฃ๐คฃAisee kimecheka kinoma๐
Training Osihmen to 99๐
Me ngoja wenye kwao wafike kwanza๐คฃ๐คฃnitawakuta Division one๐คฃ๐คฃ๐คฃBaada ya Konami kuona kijana analalamika sana. Wakaona tumpe kijana wa size zake๐
View attachment 3374335View attachment 3374336
Hakuna Group la Whatsapp platform yetu ni hii hiiKama kuna group sap namuomba admin.
Mjukuu11Hakuna Group la Whatsapp platform yetu ni hii hii
Weka Username tukuadd mkuu
Utakutana na Friend Request huko mkuuMjukuu11
Booster yake nimeambiwa ni Technique lakin nashangaa hajafika miaBeraldo โ
View attachment 3376244
View attachment 3376245
Mkuu Selikavu mjaze kijana huyo, acha kutumia Random Booster ๐
View attachment 3376250
Mlazimishe ๐Booster yake nimeambiwa ni Technique lakin nashangaa hajafika mia
๐๐๐ Nimepata shida sana kuchangua leo๐๐ ilikuwa ni Either nichukue Bullet Header ama Phenomenal pass...Mlazimishe ๐
Wiki nzima nilikiwa namfananisha Micky na Beraldo mpaka nikamshirikisha ChatGpt ๐๐๐๐ Nimepata shida sana kuchangua leo๐๐ ilikuwa ni Either nichukue Bullet Header ama Phenomenal pass...
Nikakumbuka kwenye game 100 napiga cross moja๐๐nikamuacha Cavani
Micky Mtu kaka๐คฃ๐คฃWiki nzima nilikiwa namfananisha Micky na Beraldo mpaka nikamshirikisha ChatGpt ๐
Kwangu Beraldo anaanza mkuu maana anauwezo mzuri kwenye ball controll, low na lofted pass, tigh pissession, dribling, n.kMicky Mtu kaka๐คฃ๐คฃ
Beraldo ni Sub yake
Ni maoni yangu lakn kwa approach Yangu
Me urefu ndo unanikataKwangu Beraldo anaanza mkuu maana anauwezo mzuri kwenye ball controll, low na lofted pass, tigh pissession, dribling, n.k
Hivyo vyote Micky hana, form yake ni A pia wakati Micky ni C.
Tusubiri wachezaji wengine wa selection contract ๐Me urefu ndo unanikata
Ukisema hivo ndo utakuta wote mnakamiana baadae dakika za mwisho ๐๐Me ngoja wenye kwao wafike kwanza๐คฃ๐คฃnitawakuta Division one๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃEeh bora tukamiane mwishoni sio mwanzoniUkisema hivo ndo utakuta wote mnakamiana baadae dakika za mwisho ๐๐
Sijui wataleta wakina nani...Tusubiri wachezaji wengine wa selection contract ๐