eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…kui create itabidi utumie V.P.N ama vipi
Amna kawaida tuu pale kwenye kuselect Region unaweka Japan sema kimbembe kipo kwenye kulink na konami Id utaletewa hicho kijapan lazima uwe mtundu kdg kubadilisha lugha upande wa chrome na kwenye email...

Ila hakuna changamoto yoyote
 
HAMNA WAGENI HUMU NIWE 'TISHIA WAGENI'? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜Ž
eFootballโ„ข_2025-06-15-10-08-05.jpg
 
View attachment 3370348
Huyu Hapa mkuu NEGAN

Ana LBC 80 na LB 89


Alonso anazingua sana๐Ÿ˜ƒ sasa kwa sasa sion kocha wa kueleweka wa LBC au QC kuchoma coin kwenye epic bora nimchukue huyu

Japo booster zake sijazikubali wala nini na kitunza coin kwangu kipengele๐Ÿ˜ƒ
Achana naye huyo subiri meneja wa 89 watakuja soon
 
Mniombee nitunze coin wakuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Mi nimeshindwa. Kuna mbinu nimeipata saivi ya kutunza coins ๐Ÿ˜‚ mana hapo hiyo screenshot si unaona sina hata coins.

Screenshot_20250614_115320_eFootball.jpg

Umeona hapo kwenye notification coins zipo kama 300 sitaki kuzi-claim nitapata tamaa ya kuspin ndo njia ya kutunza kwangu.

Huwa naingia naclaim zile trainings tu coins naacha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
 
Mi nimeshindwa. Kuna mbinu nimeipata saivi ya kutunza coins ๐Ÿ˜‚ mana hapo hiyo screenshot si unaona sina hata coins.

View attachment 3370383
Umeona hapo kwenye notification coins zipo kama 300 sitaki kuzi-claim nitapata tamaa ya kuspin ndo njia ya kutunza kwangu.

Huwa naingia naclaim zile trainings tu coins naacha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
Jichanganye Si expire na ulisahau๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom