eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Baada ya Konami kuona kijana analalamika sana. Wakaona tumpe kijana wa size zake😅
1000060917.jpg
1000061804.jpg
 
😃😃😃 Nimepata shida sana kuchangua leo😃😃 ilikuwa ni Either nichukue Bullet Header ama Phenomenal pass...

Nikakumbuka kwenye game 100 napiga cross moja😃😃nikamuacha Cavani
Wiki nzima nilikiwa namfananisha Micky na Beraldo mpaka nikamshirikisha ChatGpt 😂
 
Back
Top Bottom