Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Huu umbea ungeusema mbele ya watu waliosombwa kwa fuso na kuvalishwa jezi na kupewa vikofia labda wangekuelewa lakini humu huwa hatudanganyiki kirahisi.
Mimi nashangaa ulikuwa wapi siku zote hadi unajileta hapa kuja kuvote kwenye polls hapo juu ili JK aonekane ana vikura kura na kuandika upupu kama huu. Kwa taarifa yako speed ni ile ile na CCM imeshaninginiza kichwa .
Yaaani ukiwa ni MCCM utajuilkana tu. Hata ukumbini hubishi hodi sh...zi kabisa
If that is the case, if what is said above is true, then Dr. Slaa has a tough job to make sure that he retains Chadema seats. Technically, Chadema's strategy to win this election will not work either. Tactically, Chadema's campaigners have been pointing out CCM's mistakes and blunders to win voters' trust. Well, to some point this tactic is working, to some.
The only question is, will Dr. Slaa win all opposition votes? Can Chadema retain their seats, and may be gain more?
Kwani anaji-represent kivipi mpaka ufikie kumdharau kiasi hiki. Kuwa na utu na heshima kwa wengine basi! Kwani shida iko wapi? Mbona yuko smart kabisa? Huo mtazamo wako una makengeza sana. Jaribu kuurekebisha. Isitoshe tunaangalia uwezo wa mtu kuongoza. hatuangalii sura. Shauri yako wewe unayengalia sura na mwonekano wa nje wa mavazi, nk.
that's true, he better change the way he presents his topics n policies, he'll be hard to compete with in 2015, not this year.......
Some guys are just taking us back, back to one day after Dr. Slaa was confirmed CHADEMA candidate for the upcoming General Election, what happened was people engaged themselves into number of discussions most of them indicating a fear whether the decision was best one, nevertheless in few weeks if not days, after Dr. Slaa had visited Karatu and went around other Regions, it was very clear to everyone that he is real a presidential material and his chances to win are high.
Unfortunately, there are some people who are wanting us to start thinking of the already cleared concerns, I don't believe someone today doesn't see the brightened near future of Dr. Slaa and that Chadema just like CCM may win the President sit including getting more MPs than it was the case during last General election.
Please, if you want changes, try your level best to be part of it, this should go along with changing your mind set! Nothing is impossible under the Sun. CCM imezeeka!!
Kwanza kabisa nawasalimu wana JF mwenzenu ndio nimetoka KARATU JUZI NAISHI JIRANI NA DR Wilbroad Slaa, nimevutiwa sana na ujumbe uliotolewa na Mzee wetu Alhaji A. Mwinyi kwamba tusifanye makosa ya kumchagua Slaa au upinzani, kwa kweli ni kweli tupu kwani pale kanisani alipokuwa anapaongoza pamevurugika, ukoo umesambaratika hawajui anataka mchumba wa aina gani mwenye heshima kama Rose Kamili, lakini wengi wanahoji juu ya mali za kanisa, wengi wasema hata angegombea ubunge safari hii wasingempa amekosa sifa ya maadili , kiongozi lazima awae mfano wa kuigwa kwa tabia na matendo na hasa kauli zake, huyu bwana Slaa atatufikisha pabaya.
Usifanye makosa chagua KIKWETE 2010

I think he need to change the way he represent himself. I see Dr. Slaa as more as a TRIBE leader than NATIONAL leader.
mmmmmmmmmmm!!!!!!!!!!!!!!!!Toooooooooooooooo much ,This is more criticle, i don't want to argue on this,but if CCM will force the results to fit their demands i will be the first person to run to the bush.
i was once banned from this site because of my openness. shauri yenu jamani mtafungwa midomo!!!! hapa unatakiwa uwe mwana-CHADEMA. Otherwise...............mhhhh
kuna sense fulani naisoma hapa ila siipati vizuri hii hoja.
Hebu mkuu HAKI tufafanulie zaidi usemacho
Mimi nampimga huyu Dr. Slaa. He does not seem to me to be mature enough. Halafu kuna matatizo ya uchumi,Tanzania na Rais lazima awe na knowledge of economics,kama Kikwete au Lipumba. Lakini Kikwete anaonekana kwamba amechoka sana,for some inexplicable reason anaonekana amechoka.
Lipumba sijui anafanya nini,kwa vile,so far simwoni katika vyombo vya habari. Nasikia tu ameiteka mioyo ya watu wa Tanga I have not seen any pictures. Hata hivyo,kama Uchaguzi ungekuwa kesho,mimi ningemchagua Lipumba kuwa Rais,na chaguo langu la pili lingekuwa Dr. Slaa----kama Uchaguzi ungekuwa kesho.
BILA SHAKA UMEZOEA KULA PUMBA.......Endelea tu, sisi wetu Slaa. Lipumba ni mvurugaji tu , hamna kitu ....