instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 3,044
- 1,975
Nianze na kumpongeza Mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. SAMIA SULUHU HASSAN, kwa utekelezaji mzuri na mkubwa wa ilani ya CHAMA CHA MAPINDUZI, kwa KAZI hii 2029/2030 ni kutiki asubuhi na mapema kwa CHAMA CHA MAPINDUZI.
CCM ni mfano wa maji yaliyotulia tuli lakini yanakina kirefu sana.
Siasa za CCM zimejikita kwenye kujali utu na usawa wa Wana CCM wote, CCM haijawahi kufuga kikundi cha kutukana watu pia hakuna mkubwa ndani ya CCM, watu wote tupo sawa.
Hata humu ndani jukwani wote ni CCM kwenye mioyo yetu, huu ni ukweli ambao upo wazi kabisa.
Nipo hapa Kilimanjaro kwenye mapokezi ya Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan mambo ni moto kwelikweli naziona Kura za CHAMA CHA MAPINDUZI 💚.