Biashara ya kuuza bando

Biashara ya kuuza bando

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,121
Reaction score
3,482
Naomba muongozo kuhusiana na biashara ya bando,,,
1.ipi n gharama na fuu kufunga
2.ipi Ina stable internet
3.kama Kuna njia nyingine ya kutuma kupitia simu
 
1. Kila mfumo una FEATURES zake za kitofauti. Kama vile mifumo ya mauzo ya dukan

2. Tumia fiber, kama ni Routers basi Voda, Yas

3. Fafanua
 
1. Kila mfumo una FEATURES zake za kitofauti. Kama vile mifumo ya mauzo ya dukan

2. Tumia fiber, kama ni Routers basi Voda, Yas

3. Fafanua
M n wakala wa miamala ya simu,,n IPi itakuwa nzur ya kwangu
 
1. Kila mfumo una FEATURES zake za kitofauti. Kama vile mifumo ya mauzo ya dukan

2. Tumia fiber, kama ni Routers basi Voda, Yas

3. Fafanua
N bez kwenye
1. Gharama
2.ipi n rahis kufunga na kutumia
 
Back
Top Bottom