Baba wa Kiroho

Baba wa Kiroho

Kuwatunza kama kondoo wa bwana
Wanaoenda machinjoni 😅😅😅
Lakini unajua baba wa Kiroho.
Anakumbatia.
Anamsikiliza mtu vizuri.
Anambeleza.
Anapiga simu mara Kwa mara.

Vitu ambavyo nyie hamuwezi 😜
 
Huyo Mungu kwa nini asikuongoze yeye mwenyewe ili ukue kiroho?

Kwa nini ategemee third party mtu wa pembeni kabisa?

Ndio maana wachungaji wengi na mababa wa kiroho wanakula sana wanawake za watu.

Kuna Askofu mmoja wa kanisa moja kubwa sana hapa Tanzania, anatuhumiwa sana kula wake za watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom