Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haaland ndiye striker aliyekua anaongoza kwa kukosa big chances msimu uliopita.

Adebayor ilikua anahitaji chances tano ili akupe goli moja.

Gyokeres mpira umemfikia mara mbili raia wanajudge. Kwani Kai kashakosa mara ngapi akiwa anatazamana na kipa?

Hayo yapite.

Ni kivipi shabiki unaweza jua hii timu itastruggle akiwa mtu A na mtu B kwa pamoja halafu kocha ashindwe kujua? Madueke ana pace anashindwa kuitumia kufunga basi aitumie kukaba, goli la pili la city ni upuuzi mtupu wa Madueke kushindwa kukimbizana na Boadi na kuleta ubrazaman.

Martinell ilikua ngumu kuwekwa kando kwa sababu pace yake aliitumia kutrack back.

Hatujacheza vizuri
 
images (20).jpeg

Mbelekolization
 
Wanangu tuambiane ukweli tu, huyu Odegard bado hatoshi
Game kubwa nyingi tu huwa haonekani, na ukimpressurelize basi shughuli yake ndio inakua imeisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom