Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uroho wa Enzo ndiyo unafanya hii game twende mapumziko tukiwa sare, ndiyo nilichosema kwamba uwepo wake hua unambana Haaland.

Hii game imekua physical na individual brilliance, tactics zinafeli kirahisi. Hatudominate game na shida inakuja kwenda mbele.

Mid wetu wote na Calafiori wana yellow. Wao wana wachezaji wawili wenye yellow. Tulikua na counter attack ambayo Madueke kaizingua.

Our wings waanze kucut in na kushuti na Guimaraes aanze kushuti nje ya box.
 
Arsenal tukiwa na mpira kwejye kushambulia tumekua tishio kuliko city

Kiungo kimekosa utulivu, skelly na bruno inaweza ikawa balance nzuri kuliko merino na bruno

Gyokeres ni muhimu ku-disturb beki za city kuliko hiki anachokifanya kai (mikimbio)
 
Lini mmekuwa tishio wazee wa one nil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom