Aisee TikTok kuna pisi mazeer

Aisee TikTok kuna pisi mazeer

Baada ya kuwafungulia nyuzi baadhi ya Wanawake hapa JF kisha wote wakakuona ni kituko tu,ndio ukaamua kuwajengea chuki dhidi yao? Kutwa kuponda wanawake wa JF tu,
Kwahiyo wewe ulikuja humu JF kwaajili ya Wanawake?

Huko sijui tiktok ndio size yako,hamia huko mazima ili utupumzisha na hivi vinyuzi uchwara vyako vya kila dakika,

Tumeelewana Mr Chiwawa?
 
Baada ya kujiunga tiktok nimejikuta nakutana na wanawake kama malaika...

Hii imesababisha mimi kuachana na wanawake wa mitandao mingine maana ni wabovu kupindukia..

Sijui nilikuwa wapi mie..

Wacha Nile vitu vizuri kabisa.

N/B jf hakuna pisi, kuna kausha damu tu wabovu, mama Amina akasome.

Anyways, weekend loading.
Wamejaa singo maza na vitoto vya buku 2 vya uswahlini vina njaa kali kama mbwa aliyetoka kujifungua.
 
Inaonekana TikTok imekuhamisha toka kwenye uchunguzi wa tabia kwenda kwenye maonyesho ya uzuri,ila kumbuka mitandao ni soko la picha si maabara ya kupima tabia .Malaika wa video anaweza kuwa na tabia ya ibilisi na kausha damu wa jamiiforums anaweza kuw na moyo wa dhahabu ,usifanye maamuzi kwa filters fanya kwa akili sawa Gunner11
 
Kwenye huu ulimwengu hakuna mwanamke mbaya wala mzuri kila mtu ana mtazamo wake kuhusu uzuri na ubaya wa mtu ,unayemuona mzuri kwako ni mbaya kwa mwingine haina maana kuwabully wanawake kulingana na muonekano wao.
Uko sahihi kabisa,kuna kipindi demu akiwa hana tako naya nyama hata kumsogolea sitaki kabisa,ila sasahivi upepo umechange demu akiwa slim/skinny/petite/ tiny ndio vitu vyangu wenye nyama nyingi wakae mbali na mimi.
 
Uko sahihi kabisa,kuna kipindi demu akiwa hana tako naya nyama hata kumsogolea sitaki kabisa,ila sasahivi upepo umechange demu akiwa slim/skinny/petite/ tiny ndio vitu vyangu wenye nyama nyingi wakae mbali na mimi.
Wamekuoiga matukio nini?
 
Na mrembo mwenyewe ndo huyo huyo unayemsimulia sasa umeona kimewaka unaji rudi?
Si hitaji kuuliza maana nimeshapata full picture
Wewe kweli ni chihuahua, hauambiliki!
Tiny_the_angry_chihuahua.gif


Shauri yako! Mimi naacha zangu ndala.
 
Back
Top Bottom