Aisee TikTok kuna pisi mazeer

Aisee TikTok kuna pisi mazeer

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
17,840
Reaction score
33,901
Baada ya kujiunga tiktok nimejikuta nakutana na wanawake kama malaika...

Hii imesababisha mimi kuachana na wanawake wa mitandao mingine maana ni wabovu kupindukia..

Sijui nilikuwa wapi mie..

Wacha Nile vitu vizuri kabisa.

N/B jf hakuna pisi, kuna kausha damu tu wabovu, mama Amina akasome.

Anyways, weekend loading.
 
Filter zile we Jichanganyee🤣🤣🤣🤣
 
Unadhani una deserve kupata Pisi kijana?
But upo sahihi tiktok ni size yako kwa jinsi unavyoonekana hapa jukwaani

Swali la dodoso : Mwanamke wa namna gani ambae wewe unaona huyu ni pisi kali?

NB: relax 😌
Mwanamke wa ndoto zangu ni thick yaani asiwe mnene sana, na awe na nyama za kutosha... Yaani namba 8 figure
 
Back
Top Bottom