09/12 siku mlango utakavyolia

Nawewe eti ndiyo mjenga hoja wa ccm 😄 😄 😄
 
I second you 100%
 
Na wewe kafiran na Mama yako mzazi ili kubalance story...
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Shaman
 
Huyo hajakufuatilia au ni chawa kundi fulani la kisiasa za kihuni.
 
Wachaga wuwongo wewe.
Kama ni unufaika wa mifumo basi angalau hata enzi za JPM aliyefajamiana naye, lakini huyu wa sasa hakuna kitu hiyo. Anafahamiana na wengi wengi lakini siyo kwa faida za kimfumo. Halafu kuhusu siri hakuna wakati serikali ipo uchi halafu inaishi kwenye nyumba ya vioo bila mapazia na taa zimewashwa kama kipindi hiki.
Kipindi hiki serikali ipo wazi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…