zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. Maendeleo/ Furaha Yako Ni Zao La Unaotumia Nao Muda Mwingi. Yajue Haya Na Uchukue Hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile...
  2. SoC03 Maendeleo/ Furaha yako ni zao la unaotumia nao muda mwingi. Yajue haya na uchukue hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile ipo...
  3. B

    Watanzania muwe Makini Wakenya wameanza tena Chokochoko zao

    Nlikuwa Paris Ufaransa kwenye Mkutano wa the smartest young people of the World. Nilipitia hapo nikitokea Berlin Ujeruman ambako nlienda msalimia rafiki yangu mmoja wa Kitambo ambaye alikuwa amechanganyikiwa kidogo kuwa na pesa nyingi halafu hajui sasa atumieje so kichwa kikawa kinamuuma...
  4. Prof. Mkenda walipe walimu hela zao

    Wizara ya elimu chini ya Profesa Mkenda hii aibu mnaitaka bila sababu. Kama mlijua fedha hakuna kulikuwa na haja gani ya kuita waalimu toka mikoani kuja Arusha kwenye semina na wamekaa wiki mbili mpaka wanamaliza tarehe 2 Mei,2023 hamjawalipa fedha zao. Huu mradi wa SEQUIP imefadhiliwa na benki...
  5. Wafanyabiashara wa mboga ilala waingia hasara baada ya mboga zao kushikiliwa na mamlaka ya vipimo.

    Wafanyabiashara wa mbogamboga Soko la Ilala wamelia kupata hasara baada ya gari iliyokuwa imebeba mizigo yao kutoka Gairo mkoani Morogoro kukamatwa nje ya soko hilo. Mwenyekiti wa Wafanyabiashara hao, Thomas Hezron amesema gari hiyo ilikamatwa na mawakala wa vipimo kwa mazao ya shamba mkoa wa...
  6. Wafanyazi wa Serikali waweke shabaha ya malengo katika kazi zao

    Ushauri kwa wizara utumishi kipindi mnaelekea kwenye bajeti ya wizara kuna jambo naomba mlimulike kuna wafanyakazi wapo tu kazini kutimiza siku na kupokea mshahara, nashauri kila mwajiriwa wa serikali awe na target asipo ifikia angaaliwe kama anahitajika katika iko kitengo au asimamishwe kazi...
  7. R

    Waziri wa Elimu, wasaidie Wanafunzi SUA mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao toka HESLB

    Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
  8. GUINNESS WORLD RECORD: Je, washindi wanaovunja rekodi duniani hufaidika vipi na rekodi zao?

    Kuwa mshindi wa Guinness World Record hakuna faida zozote za kifedha kama zawadi pale unapofikia record fulani katika nyanja mbalimbali. Hata hivyo unapatiwa hati maalumu ya utambuzi ambayo inakubalika na kutambulika kimataifa; hivyo mshindi kwa kupitia hati hiyo anakuwa amefanikiwa kujulikana...
  9. Jamii na makabila mengi yanataratibu zao, hii ya kurithi watoto imekaaje?

    Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi, Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
  10. Hongera Waziri Mkuu kwa kuwasikiliza Wafayabiashara. Kero zao zitatuliwe isiwe zuga tu ya kuwatuliza

    Habari, Wakuu kama tunafatilia habari na mitandao tunatambua wiki hii nchini wetu imetawaliwa na matukio mengi. Miongoni mwa tukio lililogusa vituo vya habari ni pamoja na Mgombo wa wafanya biashara wa Kariakoo. Imekuwa sio kawaida kwa viongozi wetu kujitokeza kusikiliza migogoro ya Wananchi...
  11. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afika Kariakoo. Aagiza task force za TRA kusitisha shughuli zake haraka

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kukutana na kuongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo leo ambapo tayari amefika Kariakoo muda huu badala ya Jumatano May 17,2023 ambayo ilitangazwa hapo wali hii ni kutokana na uzito wa suala hilo. Awali mkutano kati ya Waziri Mkuu na Kamati ya...
  12. TAKUKURU tafadhali vifuatilieni hivi Vilabu viwili vya Police Tanzania na KMC kwa Mechi zao za sasa

    GENTAMYCINE nimezoea kuona Rushwa na Makondakta wa Dala Dala kwa Matrafiki. Ila hii Rushwa ya Kitaalam inayotolewa na Vilabu Viwili Police Tanzania na KMC vinavyopambana kutokushuka Daraja haivumiliki na itaharibu Mpira wetu. TAKUKURU nawaombeni kamateni Simu za Viongozi wote wa Vilabu vya...
  13. Watoto wanaochukua mfanano wa mama zao au wajomba zao; sisi baba zao huwa tunakuwa katika wakati mgumu sana

    Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani. Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana. Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?
  14. Kwanini wafanyabiashara wanakwepa kusajili stoo zao? Taarifa zinasema wamejaza mali za magendo baada ya kuziingiza nchini isivyo halali

    Wafanyabiashara wengi wanaingiza mizigo kwa njia ya magendo, wanazitunza stoo. Wanaweza kupitishia bandarini, njia zisizo rasmi za mipakani, au kwa majahazi. Hawalipi Kodi. Sasa serikali imeamua kusajili stoo wanazotunzia ili waweze kujua zilipo, wakague na waonyeshwe risiti za jinsi mzigo...
  15. Baada ya hapa wataanza omba wapewe na shanga zao.

    Unakuta kabisa mtoto wa kiume anasema apewe maua yake.. unashangaa.... Unaaangalia unasema hiiiiiiii.... Mtoto wa kiume anaomba apewe maua? Siku zijazo si atasema apewe na shanga kabisa? Sisi wakati tunakua ndo tulikuwa wanawake tunawapa maua. Siku hizi mtoto wa jinsia me anataka apewe maua...
  16. Kwanini Mabinti wa Siku hawalalamikii Kuumizwa na 'Kuni Ngumu' Kama Dada zao Wanaoziogopa?

    Dada zao ( Wanawake Wakubwa ) ukiwa nao Mapumzikoni Ukiitoa Kuni Ngumu yako wanaanza Kuiogopa na kuipigia Tathmini ila kwa Mabinti wa Siku hizi kabla hata hujaitoa Mafichoni Kuni Ngumu yako tayari wameshaiwahi na wanacheza nayo bila Hofu huku muda wote wakitaka kuwa nayo tu. Naomba kujua ni...
  17. Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

    Habari wakuu, Bila shaka umekuwa na siku njema na unatafakari namna mipango ya siku inavyokwenda. Pole sana kwa wenye changamoto ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Mteja ni mtu muhimu sana katika biashara yoyote, lengo la kuanzisha...
  18. Mbunge Cherehani - Pamba ipewe tija kwa Wakulima wa zao hili

    MBUNGE CHEREHANI - PAMBA IWE NA TIJA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama-Shinyanga Emmanuel Cherehani amesema Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe apewe udaktari wa heshima kutokana na mchango wake katika nchi yetu hususani kwenye Kilimo. "Wananchi wa Ushetu walipokea Mahindi ya kutosha...
  19. Kwanini ukimaliza 'Kushughulika Kibaiolojia' na Wanawake wa Siku hizi hulazimisha wakufute 'Madhiwa' na Kufuli zao na siyo 'Kitambaa' Maalum?

    Na ikitokea ukakataa wakufute naniliu zako baada ya Mshughuliko huo wa Kibaiolojia hununa ( huwa na Usununu ) sana. Nitashukuru nikiijua sababu Kuu yao. ANGALIZO Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums...
  20. SoC03 Uwajibikaji wa viongozi kuzitambua nafasi zao katika jamii

    Kwa kuanza, swala la uzalendo ni swala pana hasa katika maslahi ya nchi au taifa kwa ujumla. Tukianza na viongozi waasisi Mfano Nyerere wa Tanzania na Mandela wa Africa ya kusini walikuwa ni viongozi wa mfano katika swala la uzalendo. Kinachosikitisha ni kwamba kwa viongozi tulio nao kwa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…