zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO EWURA kuna changamoto ya mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation

    Kero yangu ni kuhusu EWURA na mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation, kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa tunaona taasisi zingine wanatoa leseni zao baada ya muda mchache unafanya malipo kwenye Mtandao na kuipata lakini wao wanatumia siku 40 hadi 60 ukiuliza wanasema ni...
  2. N

    UPENDO UMEISHA?? Baba na Mama zetu (1970s) walikuwa wanawaleta mjini Dar Es Salaam ndugu zao wa mama mwingine (Half brothers & Sisters)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Unakuta babu alikuwa na wake wanne miaka hiyo 1970s. Ila mtoto mkubwa kabisa wa mke mkubwa alimaliza secondary Ilboru, akasoma University of Dar Es Salaam, akafanikiwa kupata kazi mwaka 1985 NBC au Shirika la reli, anamchukua mdogo wake (mtoto wa mama wa kambo mke wa...
  3. Pakome

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
  4. E

    Hawa viongozi na watumishi wa umma tulio nao ni wazi wamelelewa na viboko Je vimewasaidia vipi kuwa na maadili na waeledi katika kazi zao!?

    Hoja kubwa inayosemwa ni viboko vikiondolewa tutaleta kizazi cha ovyo, Huyo mtoto anazaliwa akiwa ovyo au jamii ndio imamtengeza awe ovyo!? baadae ndio fimbo imrekebishe? Hawa viongozi wa sasa na watumishi serikalini ni wazi wamesom zama za viboko ni kitu gani viboko vimeongeza katika uadirifu wao?.
  5. Somoche

    Samsung kukosa weledi wa bidhaa zao ni uzembe na aibu

    WITO KWA UONGOZI WA SAMSUNG TANZANIA: BORESHENI HUDUMA KWA WATEJA! Nimekutana mara kadhaa na changamoto kubwa katika maduka rasmi ya Samsung, Dodoma na Dar es Salaam. Unapofika dukani ukiwa na tatizo la simu ya Samsung, ambayo ni bidhaa mnazozalisha na kuuza wenyewe, unatarajia kupata msaada wa...
  6. BIOTOXINS

    Mkwamo wa Kisiasa Israel: Netanyahu Apoteza Wingi wa Viti, Waarabu Washika Hatamu kama 'Kingmakers'

    Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
  7. Kaka yake shetani

    Wachina wametufanya majaribio sana kwenye products zao ila zikifanikiwa wanapeleka ulaya.

    Ukiona mchina kaleta kampuni yake hapa afrika tambua yupo kwa ajili ya test. Nimekumbuka kampuni kama Tecno ilivyokuja afrika na sasa inapeleka products zake ulaya.Mbona ijapeleka mwanzoni. Leo kulikuwa na uzinduzi TVS hizi pikipiki ulaya ila cha kushangaza kajaza test zile pikipiki za mama samia.
  8. M

    Nimefanya kazi na makabila mbali mbali, hizi ni tabia nilizoziona zikijirudia

    Nimekutana na makabila kadhaa ila katika haya nimekutana na watu zaidi ya saba na tabia hizi niliweza kuziona zikijirudia rudia. Wachaga - ni wachapakazi, wanajituma, lakini muda mwingi wana plan ya kutafuta tobo la kupiga hela. Kwenye maelewano ya pesa hakikisha mnaenda kwa mikataba, mkienda...
  9. A

    KERO Waziri wa Mikopo UDSM ni changamoto sanaa

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao. Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
  10. Ziroseventytwo

    Ianzishwe movement ya kuzikataa mahakama zetu. Yawekwe madudu yote wsliyofanya kwa kunyima watu haki zao.

    Sijui itapewa jina gani. Lakini ionyeshe kwa uwazi jinsi mahakama zetu zinavyopindisha sheria. Ziwekwe video, refference za cases mbalimbali jinsi mahakama zinavyochezewa na hii serekali. Nukuu kama za Rostam alivyokuwa akielezea mfumonwetu wa mahakama ulivyo mbovu.
  11. A

    KERO Watumishi wa Afya Njombe DC tunahamishwa bila kupewa stahiki zetu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo. Kwa mfano, mtumishi mwenye...
  12. M

    Kufika mbali kisiasa hadi uwe mkristo, Viongozi wengi wa kiislam wanabana nafasi wanapenda kurithisha familia zao

    Marais wajao wa kiislam wenye nafasi kubwa ya kuteuliwa ndani ya CCM iwe Tanzania kiujumla au Zanzibar wametoka kwenye familia za viongozi wakubwa Baadhi ya majimbo ni wanafamilia tu hugombea, kama umetoka hayo majimbo tafuta nafasi nyingine Wanafamilia hupewa vyeo vikubwa
  13. Keynez

    Wanaharakati hawako "strategic" na wanaendeshwa na hisia na mihemko inayosaliti harakati zao

    Pamoja na kazi kubwa inayofanywa na wanaharakati wa Tanzania katika kupigania haki, usawa na demokrasia, kuna mapungufu makubwa wanayoyafanya ambayo yanasaliti harakati zao bila wenyewe kujua. Niliwahi kuleta uzi mmoja kumhusu Mange Kimambi kwamba kuna taarifa ambazo anatoa ambazo badala ya...
  14. M

    Baba Levo: Hoja zaidi ya Elfu 24 za Ma CAG hazijawahi kufanyiwa kazi, kwa hiyo ni kama huwa tunakuja, tunajadili, watu wanaendelea na shughuli zao

    Na sisi kama wabunge ambao tumepewa mamlaka ya kusimamia pesa za umma. Ni vyema tuyaseme ili wananchiwajue kwamba tuliona tukasema na tunaomba utekelezaji ufanike. Tutayasema hapa ijapokuwa nilikuwa napitiahistoria ya ripoti za maCAG waliopita. Hoja zaidi ya 24000 zilizoletwa bungeni...
  15. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Wafahamu wabunifu maarufu wa mitindo ambao ni mashoga. Hiari ni yako, kususia bidhaa zao, au uendelee kusapoti ushoga.

    Katika historia ya tasnia ya mitindo duniani, wapo wabunifu maarufu ambao walikuwa au ni mashoga (wapenzi wa jinsia moja), na wengine wamekuwa wakihusishwa na tasnia hiyo kutokana na uhusiano wa kitamaduni kati ya mitindo na jamii hiyo. Wabunifu Maarufu wa Kimataifa Gianni Versace – Mtindo...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake mashetani na katili hawawaambii Watoto kuhusu Baba zao halisi. Wanaficha Ukweli

    WANAWAKE MASHETANI NA KATILI HAWAAMBII WATOTO KUHUSU BABA ZAO HALISI. WANAWAFICHA UKWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umefinya ufuska wako huko ukabeba mimba ya mwanaume asiye wako. Yaani asiye mumeo. Kwanza nani aliyekuambia umbebee mimba mtu ambaye hajakuoa? Ni kwamba hujitambui...
  17. O

    Taharuki Riruta: Nyufa Kubwa Zaibuka Kwenye Jengo la Ghorofa 10, Wapangaji Walazimika Kukaa Nje Bila Mali Zao

    Juma hili, hofu na taharuki zilitanda katika mtaa wa Riruta (Kibiria Road) jijini Nairobi baada ya nyufa kubwa za kimuundo kuibuka kwenye jengo la kisasa la ghorofa 10 linalokaliwa na takriban familia 95. Ingawa jengo hilo halijaporomoka, mamlaka za Serikali ya Kaunti ya Nairobi na timu za...
  18. F

    Hili linafikirisha, waliopoteza ndugu zao wanailaumu Serikali Kwa mauwaji, ila Lema na CCM wanaungana kumlaumu Mange,stuka!

    Wenye akili wana msemo usemao "Za kuambiwa changanya na zako". Lema anajaribu kumrudisha Mbowe chamani ili aturudishe Misri kule kwenye siasa za wanamtandao, Yani Rimoti iko msoga inaendesha Ferry,Lumumba na Ufipa Kwa wakati mmoja . Lema una uchungu upi Kwa waliouwawa ilhali uliomba mwenyewe...
  19. figganigga

    HOJA Benki ya CRDB inatuhumiwa kuibia watu hela kwenye akaunti zao. BoT ipo Kimya

    Hili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao. Mtu unaweka pesa zako benki ukijua ni sehemu salama ukipatwa na shida ukaenda huikuti. Si bora mtu angeiweka chini ya godoro tu? Nashauri BoT...
  20. K

    Baada ya kuwaombea marehemu tuanze sasa kuzigusa familiar zao

    Baada ya kumaliza ibada ya kuwaombea marehemu waliofariki October 29, kanisa sasa liguse familiar za waliopoteza maisha na majeruhi Vijana waliouawa waliacha wake na watoto na kanisa lina shule zake ingekua vizuri kanisa likaanza kuwatafuta watoto wa waadhirika na kuwapa elimu bure kwenye...
Back
Top Bottom