Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Yaani nigekuwa raisi katika mazingira haya - nikiwa na stress kama ziivyoorodheshwa hapa chini,nadhani ningekubali yaishe nibwage manyanga.
Stress kwamba mimi ndio mhusika mkuu wa mauaji ya wananchi wasio na hatia ya 29 Oktoba kwa sababu mimi ndio nilitoa amri ya kuua
Stress ndani na nje ya...
Nimekuchagua wewe kukutumia ujumbe huu kwa sababu nakupenda sana, nakuheshimu na ninakutakia kheri duniani na Akhera.
Sina nia ya kukuhukumu, kukukosoa au kujiona bora kuliko wewe. Nimekuandikia kwa upendo wa dhati, kwa sababu ningependa kukuona ukiwa karibu zaidi na Allah na ukiwa sababu ya...
Kuna Walebanese walikuja tangu ijumaa, jana wakamualika Mzee na watu wengine chakula, baada ya kula tukiwa tunarudi nyumbn Mama akasema ujue nguo ya kuazima haisitiri Mat*ak..
Hata hajajali tupo na kina nani au kama na mie nipo hapo, hakutumia Tafsida hata Sasa je angekuwa mlevi ingekuaje...
Watanzania Tunapenda maendeleo bwana.
Baada ya Serikali kuanzisha Sewage Treatment Plant kila jiji nimeamua kuuza magari yangu ya maji taka!
Tena kwa bei chee kabisa... Unakatibishwa inbox
Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui...
Ilikuwa ikiniingizia 200,000 kwa siku kwa kuuza bia Zaidi ya 2000.. Mganga kaniambia niifunge ili nijue mbaya wangu nani katika biashara...
Karibu nafanikiwa...
Ila JF member usifunge biashara ni kazi
Leo, Oktoba 10, 2026, mimi na ndugu yangu tulisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro, katika behewa namba 14, siti namba 41 na 42.
Wakati wa kukata tiketi, tulifanya makosa kwa kukata tiketi mbili zenye jina moja. Hata hivyo, tulifanikiwa kutatua changamoto hiyo na kupanda...
Anonymous
Thread
dar
kutoka
mimi
morogoro
namba
ndugu
rushwa
sgr
tarehe
yangu
Nimepita mahakama za mwanzo kama tatu wafanyakazi wote ni wapya. Hii ni policy ya sasa au ni coincidence!
Kama ni policy inasaidia nini maana pale ndio kiini cha rushwa nchini kote. Ni chuo cha namna ya kula rushwa
Kama kichwa kinavyojieleza.
AI imeshakuwa sehemu ya maisha yetu ni either unaijua au ikupite kushoto.
Nataka niwe sehemu ya dunia ya AI japo mimi sio mtaalam wa technology.
Mimi nafanya shughuli za kuajiriwa na freelancing muda mwingine.
Je nikitaka niwe sehemu ya AI nijifunze kitu gani...
Salaam kwenu nyote.
Bima ya afya (NHIF) kwa watumishi wa umma inahudumia wategemezi watano mbali na mchangiaji mwenyewe. Wapo watu kadhaa ambao wameainishwa kuwa wanaweza kuwa wategemezi wa mwanachama mchangiaji endapo vigezo vitafikiwa.
Miongoni mwa wategemezi ni;mwenza, watoto na wazazi...
Habari Wakuu,
Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu.
Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo...
Habari Wakuu,
Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu.
Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo...
Wakuu kwema, aisee huyu bidada kila akija huwa anaweka wimbo fulani kwenye simu yake kuna line inasema "nakupenda ila nasita" mwanzo siku notice ila naona imekuwa too much.
Tunakutana mara kwamara anachukua cement kwangu wana biashara ya kuuza matofali.
Sasa akija kufanya malipo mara nyingi...
Anti alikuwa mwana sana, kwa hiyo nilimdokeza kama nimepata demu Mpalestina, mkali kinoma ngozi maji ya kunde. Kipindi hicho ndio nimemaliza chuo kikuu
Akaniambia mwanangu kwenye familia yetu ni bora uoe shoga ijulikane moja kuliko kutuletea mkwe Mpalestina. Akanitolea mifano kibao tu...
Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
Kwenye nyuzi zangu kumeibuka watu wananikasirikia eti nikisema nikiwa Rais wa Tanzani unajua kuna watu wanavituko sana
Katiba ya Tanzania haijamkataza mtu kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania hata wewe unayesoma kama ni mtanzania na huna jinai basi una-haki hiyo kwa hiyo usinikasirikie mimi...
Nilikuwa naelekea week ya pili bila kutazama porn wala ku mastarbate,
Target yangu ni kuhama kabisa chaputa
lakini kumbe shetani alikuwa na mpango wake.
Wakuu kwema, Hii stori inamuhusu mtu wa karibu na mimi naileta kwa niaba yake, kanitumia anahitaji ushauri, nimeandika kwa kutumia uhusika wangu.
Nimekua na mahusiano na mchumba wangu kwa muda wa maika 6, na sasa nikaona imefika wakati wa kumuoa, nikaamua kwenda kumtambulisha nyumbani kwetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.