yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa hapa Tanzania, Hakuna sehemu inawaka Jua kali kama kwetu Makanya, Same, Mkoa wa Kilimanjaro

    KWA HAPA TANZANIA, HAKUNA SEHEMU INAWAKA JUA KALI KAMA KWETU MAKANYA SAME, MKOA WA KILIMANJARO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimesikia watu wakilia na kupiga mayowe. Oooh! Jua kali. Oooh! Siku za mwisho. Oooh! El nino! Yaani kilio wakilalama hali ya hewa kuwa mbaya kutokana na kile...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kimedani hakukuwa na sababu ya mauaji kiasi kile. Akili yangu inanituma huenda ilikuwa Kafara

    Hamjambo! Bado najaribu kutafakari maamuzi yale makubwa zaidi yenye kuumiza zaidi. Sifikirii kwamba kulikuwa na tishio kubwa kiasi cha kutoa maamuzi ya shoot to kills. Kimedani naona kabisa hayakuwa maamuzi sahihi. Na hayakuwa maamuzi ya lazima. Kuanzia watu wenyewe ambao kimsingi hawakuwa na...
  3. Nafaka

    Karibu kwenye project yangu ya Programu ya Computer kwa ajili ya Dubbing

    Kwa wale watu wanaofanya Dubbing hasa studios, wanatumia softwares hasa Voiceq ambayo minimum subscription per month ni 19$. Mimi kama freelancer huwa sipendelea sana subscription za kile mwezi maana unajikuta mtu unatumia pesa nyingi kila mwezi. Hivyo kwa muda sasa nimeanza project yangu ya...
  4. C

    Neno samahani lilivyookoa ndoa yangu iliyokuwa inaelekea shimoni japokua......!!

    Nipo kwenye ndoa ni mwaka wa 7 Sasa ila Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ndoa yangu ingefika mahali ambapo furaha, amani na upendo tuliokuwa tumeujenga vingekuwa vinatikisika kiasi kile. Tulianza maisha ya ndoa kwa furaha kubwa. Tulikuwa na ndoto nyingi, mipango mingi na matumaini ya kujenga...
  5. BumbleBeeBot

    Wakati Nasoma niliwahi mkuta mzee anatumia simu yangu niliyokuwa naitumia kwa siri na kuificha sana😄

    Niaje wakuu, niwape kisa changu cha kutumia Simu wakati nipo shule. Kipindi niko form two, dada angu alininunulia simu zile Nokia Obama nitumie hapo mzee anapinga sana matumizi ya simu ila dada alimpanga akamuelewa. Nimetumia nikawa naona siielewi simu ya kizee hapo wenzangu wana vitecno og...
  6. AXIOM APEX VERBOSE

    Juzi nilimtumia Binti yangu mmoja mstari fulani kumkumbusha na wewe mtumie binti yako mstari huu umkumbumbushe

    Nimesikia kuna tukio limemtokea binti mmoja ambae alikutana na kijana wa hovyo Muhuni akamfanya nae mapenzi kisha akamchukua video huku akiwa anamfanya hicho kitendo bila kuona aibu. Kwa wakati huo naona wengi wamekua wakiongea kusema kijana amefanya tendo la uovu na haikua sawa au jambo sahihi...
  7. Isenye

    Kuna jirani yangu saivi saa 7 na dakika 49 usiku namsikia anasonga ugali

    Wakuu Huyu jirani yangu sijui anafuga misukule. Yani muda huu saa saba usiku mtu anapika ugali?
  8. Baba jayaron

    Najuta kudate na Ordinary Ladies, wanaharibu maisha yangu

    Wasalamu wana bodi Kama kichwa kinavyo jieleza mi ni kijana mtu mzima btn 35 - 40yrs old. Changamoto yangu ni kwamba spendi stress zakufukuzia wanawake wenye usumbufu na maanisha hao ma slay queens. Sasa naona uvuvi wangu unaniingiza kwenye matatizo makuubwa. Wanawake hao wakawaida ambao...
  9. F

    Intuition yangu inaniambia kuwa Polepole yu hai Bado. Tumwombee

    Ni muda Sasa umepita, Kila Nikitaka kuamini kuwa hayupo, hatunae kwamba move on, dhamira yangu Inagoma kuamini jambo hili. Intuition au dhamira ndiko inapotokea sauti ambayo mara nyingi Pascal Mayalla amekuwa akidai kuisikia. Sasa pata picha Tundu Lisu anaungana nasi, Kisha tunakuja pata...
  10. Mwizukulu mgikuru

    Kwanni huyu mama yangu hayaoni mema yoyote ninayomfanyia?

    Hana shukrani hata Kwa kidogo ninachompa , Leo ananitamkia kuwa Mimi sitofanikiwa Kwa chochote anatishia kunilaani..Ni mwezi Sasa yupo amelala ndani Kwa changamoto ya blood pressure.na Mimi ndie ninaemuhudumia Kwa chakula siku zote, ninayo mengi Sana ya kusema humu lakini nashindwa..wiki mbili...
  11. B

    MASWALI YANGU KWA MSAJILI WA BARAZA LA FAMASI NDG. BONIPHACE MAGIGE

    Ndugu msajili wa Baraza la Famasi, yafuatayo ni maswali yangu kwako kama mtendaji mkuu wa Baraza la Famasi. 1. Mara kadhaa mmekuwa mkisema, hamuwezi kuingilia mikataba kati ya wafamasia wasimamizi na wamiliki (proprietors) hasa kwenye masuala ya malipo n.k. kwa kile mnachodai kwamba, mkataba ni...
  12. E

    Leo ni Holiday tunawasha moto! Mistari yangu mipya kwa ajili ya mashabiki wa burudani hapa JF

    Wakuu, Natumai weekend/holiday inaenda vizuri! Kama unajua umetoka kwenye "mchakamchaka wa wiki" na jasho lilikuvuja sana, huu hapa ni ujumbe wako wa ushindi. Nimeandika lyrics hizi kwa ajili ya kila anayepambana na sasa anataka "kula maisha" bila stress. Huu ni wimbo wangu mpya wa "Holiday"...
  13. Keynez

    Maswali yangu machache kuhusu hukumu iliyotolewa katika kesi ya Tundu Lissu

    Nina maswali machache kuhusiana na hukumu ya miaka 4 iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu. Hivi kama serikali ilikuwa imeshamfungulia Lissu kesi nyingine ya uchochezi iliyokuwa inasubiri hukumu ya kesi ya uhaini ili iendelee kusikilizwa, kwa nini hawa majaji wa kesi ya uhaini kama waliona kuna...
  14. Pendaelli

    Sala Dua na Maombi yangu Lissu aachwe huru, huu mjadala ufungwe, tuendelee na mambo mengine

    Wakati fulani nilipanda dala dala moja wa abiria akamwambia kondakta nirudishie chenchi yangu (50) niwaze mambo mengine. Maana yake ni kwamba yule abiria alikua muda wote anaiwazi hio 50 Ni kiasi kidogo sana ila illi kuwa inampa shida ya kuzingatia muda wote kwamba konda hajanirudishia hela...
  15. F

    Baba wa rafiki yangu awaandikia wanae kitabu cha mwongozo wa maisha. Ni vizuri kila ukoo ama familia iwe na katiba yake ifatwe kama biblia na quran,

    habari wadau. Rafiki yangu mmoja kanionesha kitabu walichoandikiwa na baba yao kwa ajili ya kuwapa miongozo katika mambo mbali mbali ya kimaisha. kitabu kina sura 10 ambazo zimegawanyika, mfano sura ya muongozo kuhusu elimu dunia na jinsi ya kuipata, sura kuhusu ukweli wa dini, sura kuhusu...
  16. econonist

    Maoni yangu: Lema ni dalali na anataka CHADEMA irudi kwenye udalali

    Kwa press ya Jana ya Lema amekiri kwa kauli zake kwamba yeye ni dalali na anataka CHADEMA irudi kwenye udalali. 1. Kwanza kabisa, Lema kanishtua sana aliposema ya kwamba alikutana na Makamu wa Rais pamoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali. Nimeshangaa sana, kwa sababu hata machawa wa CCM na...
  17. L

    Kwa Sasa CHADEMA ni Kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli huku CCM ikiendelea kuchanja Mbuga Mioyoni Mwa Watanzania. Furaha Yangu ni CHADEMA Ikifarakana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa CHADEMA ni kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli. Wanaruka na kukanyagana utafikiri Walevi wa gongo . Kila mtu anaruka kivyake na kutoka kivyake . Kila mtu anapuyanga kivyake ,kila mtu na njia yake . Chama kimeota Mapembe na kila mtu ana ndevu utafikiri Mabeberu...
  18. Sifi Leo

    Ili la Anger linaumiza, je wako wangapi? 29/10/2025, ebu ingia the chanzo yaani nimejikuta nalia,ila machozi yangu hayajadodondoka bure.

    Baada ya tarehe 29/10/2026, kupita Kuna clip mbili zinasambaa kwa kasi, ya kwanza ni ya Bwana mmoja akilalamika mwanae kuuwa tarehe 29/10/2025,analalamika kutokupewa mwili wa mwanae ambaye alimkuta mochwari na baada ya siku kadhaa hakumkuta mwanae hata hapo mochwari maswali yake U wapi mwili...
  19. Sifi Leo

    Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  20. min -me

    Kuhusu maoni yangu binafsi kwa warembo wa jf😅

    Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui kwanini😅😅 Kwamba zile mamsi zote ni kali? Acheni ufala namnitoe kwenye huo mkumbo wa kipumbavu...
Back
Top Bottom