yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Manyanza

    Clatous Chama: Nilijutia sana kuondoka Simba, siku niliyosaini mkataba Yanga haikuwa siku nzuri kwangu

    Kama ningerudi Zambia ingekuwa ngumu sana kurudi Simba na nilisaini Singida kwa sababu nilitaka tu kuwa karibu na Simba na waendelee kuniona” “Nashukuru Mungu sikuchukua muda mrefu pale kwasababu sijawahi kufikiria suala la kwenda Yanga, ilitokea tu” “Nilikuwa kwenye wakati mgumu lakini...
  2. N

    TFF na bodi ya ligi mnasuburi nini kumchunguza Nathaniel Chilambo?Au mnataka Yanga tupeleke malalamiko CAF, FIFA na CAS?

    Kichwa cha habari chajieleza vizuri sana. Tunashangaa mamlaka husika za mpira wa miguu nchini hazijachukua hatua yoyote ya kumchunguza mchezaji huyo wa timu ya soka ya Simba. Chilambo ana utata mwingi sana akiwa uwanjani kuitumikia timu yake hiyo huwa anacheza kama nafasi za ulinzi wa pembeni...
  3. Baba wa mbingu

    Kibiashara kati ya YANGA na FABRIZO nani kapigwa hapa.

    Kwenye hii biashara kati ya yanga na Fabrizio nani kanufaika zaidi na yupi kapigwa? maana yanga wao ndo wakwanza kumpost jamaa kuwa ametangaza jezi zao, na hivyo kutufanya kujua hilo huku lengo lao ni dunia ijue kuhusu jezi zao, wakati kwa upande mwingine fabrizo yeye hajaposti kwenye jukwaa...
  4. Jannatul Firdaus

    Fabrizio Romano Atambulisha Jezi za Ligi ya Mabingwa za Yanga

    Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imefanya tukio kubwa la kimasoko baada ya kumtumia mwandishi maarufu wa habari za michezo duniani, Fabrizio Romano, kutambulisha jezi zao mpya zitakazotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2026/2027.
  5. Mkalukungone Mwamba

    Fabrizio Romano azitambulisha jezi mpya za Kimataifa za Yanga. Hakika Yanga ni kubwa sanaaaa

    Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya itakazotumia katika msimu wa 2026/27, huku uzinduzi huo ukipewa uzito wa kipekee baada ya kufanywa na mwandishi maarufu wa habari za usajili duniani, Fabrizio Romano. Hatua hiyo imeongeza mvuto wa uzinduzi wa jezi hizo, ambazo Yanga itazitumia katika...
  6. NkomaBakhosi

    Gharama ya Kuchosha Vipaji: Kosa la Kimkakati la Yanga kwa Pacôme na Funzo kwa Koacha Manqoba

    Wana Jamvi Karibuni tuangalie Yanga na mustakabali wa ligi kuu Mada: Gharama ya Kuchosha Vipaji: Kosa la Kimkakati la Yanga kwa Pacôme na Funzo kwa Koacha Manqoba Na Ndine A. Wa-Chiuta Mzunguko wa benchi la ufundi pale Jangwani umekuwa wa kasi isiyo ya kawaida katika misimu miwili iliyopita...
  7. Waufukweni

    HOJA Wazawa watatu hadi wanne pekee wanaanza kikosini Simba na Yanga, Taifa Stars iko salama kuelekea AFCON 2027?

    Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
  8. Gobole Lenye Risasi

    Yanga tumecheza match ngumu. Pamba walichezesha wachezaji 6 ambao ni under 20

    Kwa hii Team Simba wangekandwa kabisa.
  9. Jannatul Firdaus

    FT: Yanga 2-0 Pamba Jiji | Ligi Kuu NBC | KMC Complex | Yanga wanagawa dozi tu

    Yanga SC imeendelea kutoa dozi katika Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex. Magoli ya Yanga yamefungwa na Max Mpia Nzengeli na Cheick Touré, huku Yanga ikiongeza pointi nyingine muhimu kwenye msimamo wa...
  10. Jannatul Firdaus

    Full Time: Yanga 4-0 JKT Tanzania | KMC Complex | 12:00 Jioni | Yanga wanaendelea kuwaumiza wapinzani

    Yanga SC imeendelea kuonyesha ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa KMC Complex saa 12:00 jioni. Magoli ya Yanga yamefungwa na Kangwanda, Shadrack Boka, Peter Shalulile na Ibrahimu Bacca, huku Yanga ikiendelea kuwaumiza wapinzani wake...
  11. Chizi Maarifa

    Yanga tusiingie kwenye mtego wa Simba. Selemani Mwalimu walikuwa wanamkarisha hadi dk za mwishoni. Sisi tunamweka bench?

    Matches 2 za Yanga Selemani Mwalimu hajacheza. Why? Why? Kocha una tatizo gani kumtumia Sele Gomez? Huyu tulimchukua kwa shangwe leo anachezea bench tu? Maana yake nini? Yeye alisema anaondoka Simba sababu hapewi nafasi kikosi cha kwanza. Anakuwa bench mpaka dk za mwishoni. Anakuja Yanga aanze...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    Kwenye katiba Mpya Rais wa Nchi atokee Yanga.

    Tundu Lissu ni Yanga, Mwalimu Nyerere ni Yanga. Tafadhali sana, katika mabadiliko ya katiba ya nchi, Rais atokee Yanga tu.
  13. Waufukweni

    Heche: Mechi ya Simba na Yanga, watu wamevaa jezi zimeandikwa 'Mama, Mitano Tena' Tukisema wanatumiwa kisiasa tumekosea nini?

  14. funaku

    Mimi ni Yanga lakini Miraji Maramoja ana kipaji cha pekee!

    Kwa asiyemjua basi jaribu kugoogle interviews zake utapata wasaa wa kutabasamu sana. Anafurahisha huku akitia facts za maana sana. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    Tunaomba Yanga watusaidie Dennis Nkane aje kama X factor Simba

    Nadhani tunamhitaji Dennis Nkane wakuu. Kwakuwa pesa ziko Benki na hakuna mtandao, tunaomba GSM amlipe Nkane bilioni 8 ili aje msimbazi kwa msimu 1.
  16. KanyeWest_Tz

    Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina. Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    Ali Kamwe: Kesho tunamtambulisha Wata Pleya wetu Uwanja wa KMC ambaye hapatikani kwa michango ya mashabiki

    Kesho Yanga watamtambulisha mchezaji wao mpya katika dimba la KMC na wanachama na Mashabiki wa Yanga watapata nafasi ya kwenda kumona na kupiga naye picha kwa Shilingi 2000 tu Hakika huu ni moja ya ubunifu mkubwa sana kwa Yanga Hongera kitengo cha Habari na mawasiliano cha Yanga kikiongozwa na...
  18. Foffana

    Kocha wa Yanga akiendelea kutumia mawinga wake hivi msimu huu hatoboi

    Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional...
  19. kavulata

    The class is big but English is the problem. Kocha wa Yanga amewachana live waandishi wetu, wana maswali lakini hawamuulizi.

    Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya Taifa, kwanini waandishi mnashindwa kuitumia kwenye kazi zenu? Tanzania hatuhitaji mkalimani wa kiingereza kwakuwa English inafundishwa kuanzia chekechea, shule za msingi, sekondari hadi vyuoni, kwanini hamjui kuiongea? Wewe mwandishi wa habari bila shaka...
  20. kavulata

    Wachambuzi msijimalize mnapoichambua Yanga.

    Unapochambua mpira sahau kuwa unashabikia timu gani, chambua mpira tu kwakuwa kusema ukweli hakutasababisha timu yako ishinde au ishindwe. Wachambuzi wengi wa hivihivi walikuwa wakimdogosha kocha wa Yanga, Mangoba dhidi ya Barker bila kujali wachezaji walioko kwenye vikosi vyao. Uchambuzi wa...
Back
Top Bottom