Yanga haijaandika barua kwa bodi ya ligi kuwa haitacheza mchezo wake na Simba juni 15, walichokifanya sasa hivi ni danganya Toto tu kwenye page yao ila washaazimia kucheza mchezo huo, wanachokifanya sasa hivi kwa vile mechi hiyo ina mambo mengi yanayofanyika nje ya uwanja ikiwa makafara mazito...
Alisema katika miaka yake hii minne uwanja utapatikana afe kipa afe beki. Napendekeza umaliziwe haraka matches zilizobaki zichezwe kwenye uwanja wetu. Ndo maana unaona anatu keep busy na hatuchezi ili tusihoji mambo ya msingi. Tunakazana kukata viuno HATUCHEDHIII....
Nimejitihibitishia pasina shaka kuwa kuna hali fulani ya kuchanganyikiwa pale Utopolini.
Usijekuta wamechanganyikiwa kwa madeni katika michezo, wameibiwa na kijumbe wao halafu wanakuja huku kutuvuruga kwenye mpira wanatuimbia Hatuchezi, Hatuchezi! Embu tuwaulize vizuri, mchezo upi huo hawataki...
Yanga ndo Giant football in Tanzania
Kamwe Yanga haiwezi kuihofia Simba dhaifu inayocheza mashindano dhaifu ya shirikisho
Yanga watacheza na Simba kwenye CRDB confederation cup endapo majariwa, tunaomba tu Simba wafuzu tukutane final
Chonde chonde 5imba msije kukimbia kama mlivokumbia derby...
Inauma sana. Tumekuwa tunashambuliwa na kila mjuzi wa soka. Hadi watu wetu wenyewe wanatugeuka kuwa hatuna akili.
Simba wao wamenyamaza tu kama hawahusiki. Viongozi why lakini? Je ni kuficha aibu ya matokeo ya barua ya CAS? tumeamua kutafuta kichaka cha kujifichia? Sasa tunachimba shimo...
Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na Simba SC baada ile ya tarehe 8 Machi, 2025 Kuahirishwa.
Taarifa za uhakika ambazo leo hii GENTAMYCINE...
Uogozi wa Yanga wamepewa taarifa pamoja na timu zingine ratiba ya michezo iliyobaki Sasa kama wapo serious kweli waandike barua TFF kuwa hawapo tayari kucheza mechi ya tarehe 15 kama kweli wanamaanisha.
Ninazo taarifa kuwa Klabu ya Yanga imeandika waraka wa kurasa 174 kwa serikali huku ikitumia wadau wake walioko serikalini. Waraka huo ni mwendelezo ya mashtaka yaliyotupwa na CAS.
Pamoja na hayo serikali imetoa tamko rasmi kwamba haiko tayari kuingilia suala hilo kwa sababu ni kinyume na...
Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice ripota wa Crown, Nassib Mkomwa aliyepost kuwa Yanga ipo tayari kukosa ubingwa wa Ligi na kukatwa alama 15 kwa kutocheza Derby.
Wamemzuia kutoa taarifa za yanga o bila uthibitisho wa viongozi na aombe radhi ndani ya 24 hrs.
Wakuu heshima Yenu! Mwezi uliopita niliandika thread yenye mambo Saba ambayo yatatokea kabla ya UCHAGUZI MKUU.
Jambo mojawapo ni kwamba TUNDU LISSU atatolewa kabla ya mwezi wa sita na Kundi la G-55 kuhama chama.
Leo hatimaye G-55 wameanza kuhama Chama na anayesubiriwa ni main character wao...
Wabunge mashabiki wa Yanga wamesikika wakisewma 'Hatuchezi' wakati akitambulishwa Rais wa Klabu hiyo, Eng. Hersi Said Bungeni ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo kwa...
1) TFF anawatoto wengi hapa nchini pamoja na Yanga, hivyo Yanga anatakiwa amtii baba yake!
2) TFF lazima ioneshe uimara katika swala hili, wanatakiwa wazingatie Sheria wasipotokea uwanjani Sheria ifwatwe!
3) Nilichogundua viongozi wa Yanga wanapelekeshwa kwa Hisia na sio uhalisia!
4) Sasa...
Ukiisoma barua barua ya Yanga baada ya CAS kutupilia mbali shauri lao kwa mtu aliyeenda shule atagundua barua ile imeandikwa kwa mihemuko na makasiriko which is not professional.
Ni aibu kwa taasisi kubwa kama Yanga kushindwa tu kuelewa hawapaswi kuruka ngazi za kimaamuzi wakati hata form four...
Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.
Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.
Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka...
Nasemaje...?
Ole wake hili liwe kweli, utawala huu uliopo utajutia, utajiongezea upinzani zaidi kwa wanachi hasa mashabiki wa Yanga watauchukia na kuwa sehemu ya upinzani
Naiomba serikali isiruhusu hizi akili za kijinga TFF kuishusha daraja Yanga!
Na ikiruhusu hili litokee, basi kile...
Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka.
Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar...
Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja.
Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii, panapokuwa na uchaguzi huru na WA haki.
Tunajua madudu ya Bodi ya Ligi na madudu ya Marefa...
Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.
Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.
Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
Mi nadhani ni wakati sasa Yanga tususie Ligi nzima ikiwa ni kweli tunaona kuna uonevu katika hii Ligi ambayo inaongozwa na TFF na Board ya Ligi. Toka amekuwa Rais huyu jamaa Yanga hatujawahi fanikiwa katika Ligi. Miaka yote Simba wanapewa Ubingwa.
Hata Makombe mengine wanabeba Simba tu. Tunaona...
Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby.
Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja.
Pia wanajua CAFCL ni mashindano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.