yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umeshiriki mapenzi na mwanamke kisha mwezi au miezi miwili, anakuambia “Nimepiga hesabu nimeona hii mimba ni yako” na wewe unakubali? Sawa bro

    Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto. Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu. Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
  2. JamiiForums Tanzania Tunafanya urembo wa nyumba yako kwa gjarama nafuu sana.

    Tanafanya finishing za nyumba kwa gjarama nafuu sana , moulding decorations, ceiling disign na skimming .tupo dar es salaam na tunafika mikoani bila shida kabisa. 0765069058 WhatsApp.
  3. JamiiForums Tanzania MORNITORING SPIRITS/ROHO ZA GIZA ZINAZOFUATILIA MAISHA YAKO

    Kila mwandamu ana kitu chake Mungu amemuumba nacho cha pekee kinachomfanya awe wa pekee tofauti na mwingine ambacho kitampa nafasi fursa hapa za kufanikiwa hapa duniani(kuleta ugali mezani) ambacho kitampa pia heshima na kuthaminiwa . DALILI ZINAZO ONYESHA UMEKWISHA IBIWA KITU CHAKO CHA NDANI...
  4. JamiiForums Tanzania Umeme na usalama wa nyumba, Kiwanda au mitambo yako

    ⚠️KWANINI UKATE TAMAA NA KUIONA KAZI YAKO CHUNGU? Umechoshwa na: ❌ Cable na Vifaa feki vinavyochelewesha kazi na kuhatarisha usalama site? ❌ MCB zinazokatika bila sababu? ❌ Wasambazaji wasio na uelewa wa kiufundi? ❌Kufanya Biashara na Watu Wasio Waaminifu? ✅SULUHISHO LIMEPATIKANA Rafiki...
  5. JamiiForums Tanzania 🎓 Wanafunzi wa Postgraduate — Research yako inakusumbua? Msaada huu hapa...

    Habari wadau, Natumaini mnaendelea vizuri. Niko Morogoro, "mkoa wa vyakula vyuo na seminar", na tunaendelea vizuri. Kwa waislamu ni siku ya ibada, kwa wasabato ya maandalizi na wengine wanapanga kesha (Furahiday). Kazi iendelee... Kipindi hiki ni cha research na presentations. Natumaini...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu yako akisoma hizo course jitahidi kumuandalia bodaboda kama backup

    Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup. 1. Human resources management 2. Business Administration 3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini) 4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe) 5. Records...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kabla hujainyooshea kidole Serikali tafakari kwanza familia yako

    Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha...
  8. JamiiForums Tanzania Jioni yako ikoje? Yangu imejaa tabasamu

    Kitu kimoja kizuri na cha kipekee kuhusu mwanadamu ni uwezo wa ustahimilivu...! Haijalishi siku imekuwaje au umekutana changamoto ni kubwa kiasi gani, kila unapolala na kuamka, unakuwa na nafasi mpya! ya kuanza upya! na kufanya vizuri zaidi...!!! Je ulijua kuwa tabasamu pekee. . hata kama...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha yako ni kama Fremu… Finishing unafanya mwenyewe

    Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na "nyumba" na kuwa na "makazi". Maisha ya mwanadamu yanapoanza, tunapewa fremu (frame). Hii fremu ni msingi—pengine ni kule ulikozaliwa, jina ulilopewa, au elimu ya awali uliyopata. Lakini uzuri wa hiyo nyumba, nakshi zake, na thamani yake ya ndani inategemea...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa chanya Katika maisha yako Mungu anaondoa watu hasi kwenye maisha yako

    UKIWA CHANYA MUNGU ANAKUONDOLEA WATU HASI KWENYE MAISHA YAKO Anza kubadilisha maisha yako, kuwa mtu chanya, Mtu chanya ni mtu ambaye anaishi maisha yenye kuona mambo kwa uzuri. Mtu chanya ni mtu anayependa mafanikio ya wengine, ni mtu ambaye atoi maneno ya kukatisha tamaa wengine, ashiriki...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!. Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
  12. JamiiForums Tanzania Haiwezekani ukawa unalaani vikali UZAYUNI (zionism) huku unashibikia JIHAD. Point yako kubwa ni ipi haswa, unalenga utu au itikadi?

    Logic ndio kitu hamna. Mnabebeka na mihemuko ya kiitikadi na matango pori mnayorishwa kwenye vijiwe vya gahawa na aljazeera Kama unaweza kusema uzayuni ndio sababu kuu ya mitafaruku duniani huku ukishabikia jihad ya kukata vichwa watu kaskazini mwa naijeria then wewe sio solution ya tatizo...
  13. JamiiForums Tanzania Need Testers? Share Your Software Here | Weka Software Yako | Get Feedback

    Habari Developers, Kama una software/app/project na unahitaji watu wa ku-test na kukupa feedback, iweke hapa 👇 Include: Jina la app/project Link ya ku-download au ku-access Platform (Web, Android, iOS, Desktop, n.k.) Unachotaka kitestiwe (bugs, UI, performance, au vyovyote, n.k.) Testers...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa Google imerekodi kila safari yako bila wewe kujua?

    Google imerekodi kila safari yako ya kwenda hospitali mwaka huu, na hata mizunguko yako ya usiku wa manane. Simu yako inatuma taarifa (updates) zako kila baada ya sekunde 96. Simu za Android zinatuma taarifa zako mara 20 zaidi kwenda Google ukilinganisha na jinsi iPhone inavyotuma kwenda Apple...
  15. JamiiForums Tanzania Meno Yaliyotoboka au kuoza Yanatibika …Usipange Kutoa jino / Meno Yako!

    Habari , Iwapo meno yako yametoboka na unashindwa kutafuna chakula na Kujiamini mbele za watu basi Unaweza pata suluhisho la Kudumu kwa kupata huduma ya kuziba na Kutibia mzizi wa jino bila Kutoa jino lako -Huduma hii itakusaidia kuweza kuwa na meno imara -Utatafuna chakula vizuri -Utalinda...
  16. JamiiForums Tanzania Naweza kutumia jina la biashara yako na nikakushtaki mahakamani

    Katika safari ya ujasiriamali, hatua ya kwanza kabisa ambayo wafanyabiashara wengi huipuuza ni kusajili jina la biashara yao. Wengi huanza biashara kwa speed kubwa, lakini bila utambulisho rasmi. Ukweli ni kwamba, bila usajili, biashara yako haina ulinzi wa kisheria wala hadhi ya kuaminika mbele...
  17. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuorganise mgomo kazini bila kupoteza kazi yako

    Wanasheria, nawezaje kuendesha mgomo kazini bila kupoteza kazi yangu. Nahitaji muongozo wa kisheria.
  18. JamiiForums Tanzania Tupia nguo yako kali unayoikubali muda wote

    Nguo yako ni ipi ambayo unaviaa kwenye matukio muhimu na ukiivaa unajiona umewaka kinoma noma
  19. JamiiForums Tanzania OllaBridge tool ambayo inaweza kusaidia kuadd AI features kwenye shared hosted website(Unaweza kuazisha chatbot yako binafsi bila risk privacy)

    Habari wana-tech, Leo nataka kuwashirikisha mradi wangu mmoja wa open-source unaitwa OllaBridge. Huu mchongo utawasaidia sana ma-developer wenzangu wanaotumia shared hosting (kama Hostinger, cPanel, n.k.) kutumia nguvu ya AI kwenye websites zao bila kulipia madola ya ChatGPT API wala kuhitaji...
  20. JamiiForums Tanzania Je, AI Itachukua Kazi Yako? Ukweli Kuhusu Akili Bandia na Ajira Tanzania

    Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kujifunza sasa zinaweza kufanya baadhi ya kazi ambazo zamani zilifanywa na binadamu. Hali hii imezua swali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…