yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ishara zinazoonyesha Umekua na kukomaa kiakili na ndani ya miaka 10 maisha yako yatabadilika na kuwa mazuri

    ISHARA ZINAZOONYESHA UMEKUA NA KUKOMAA KIAKILI NA NDANI YA MIAKA 10 MAISHA YAKO YATABADILIKA KUWA MAZURI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Maisha ni kuishi. Kusudi la kuishi ni Kufurahi. Furaha inatokana na Kukua, kuendelea na kustawi. 2. Kwenye Biology kuna Growth and Development. Hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa kuishi miaka mingi zaidi kama utaboresha afya yako?

    Watu wengi wanajiuliza kama kweli inawezekana kuongeza muda wa kuishi kwa kutumia lishe bora, mazoezi, usingizi mzuri, na teknolojia za kisasa za afya. Dunia ya sasa imeanza kuzungumzia sana “Biohacking” — mbinu zinazotumia sayansi, technology, na lifestyle optimization kuboresha mwili na akili...
  3. C

    JamiiForums Tanzania nini kilikufanya uanzishe ile ID yako nyingine ?

    Data nilizozichunguza zimeonyesha bila shaka yeyote kwamba, kuwa na id mbili ni dalili kubwa sana ya tatizo la afya ya akili kuwa na id zaidi ya moja ambazo zote zipo active ni moja ya dalili kubwa ya tatizo la afya ya akili na saikolojia kwa ujumla ambayo dalili hiyo inakutaka kuwahi katika...
  4. JamiiForums Tanzania Huwezi kuua watu bure Ulimwengu mzima ukanyamaza juu yako

    Endeleeni kupumzika kwa amani Watanganyika wenzetu mliopoteza maisha yenu 29 Oct, mkiwa na lengo la kulipigania taifa hili. Mauaji ya Kimbari kule Rwanda mpaka leo yanakumbukwa. Mauaji ya halaiki kwa njaa kule Ukraine (Holodomor) kutoka kwa Urusi mpaka leo bado yanakumbukwa, na bado baadhi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ongeza thamani yako; Sio unahangaika kuomba kazi kumbe kazi yenyewe hata ukipata utaishia kulipwa laki 3

    ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa. 2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
  6. JamiiForums Tanzania Jaji Mwambegele umeshusha hadhi ya Ujaji na tume yako ya Uchaguzi-Jaji Warioba asema matokeo ya uchaguzi ni FAKE!

    Kwa kule ninakotoka watu husimamia misimamo ya UKWELI NA UWAZI. Huyu ndugu yetu Jaji Mwambegele katushushia heshima watu wa Mbeya-Tukuyu. Nakubaliana na Jaji Warioba, Jaji Mwambegele kajivunia heshima, kama Jaji Chande.
  7. JamiiForums Tanzania Ongeza mauzo yako ndani ya Masaa 48 tu!

    Ofa imekwisha.
  8. JamiiForums Tanzania Ndoto unazoota huenda ni onyo na tahadhari juu ya kinachokuja kukutokea kwenye maisha yako yajayo usizipuuze

    Kuota ndoto kwa binadamu ni kawaida kabisa na kuna ndoto zitokanazo na rekodi ya ubongo ambazo hazina athari yeyote na si za kutilia maanani. Lakini kuna ndoto zingine hutakiwi kuzipuuza kabisa mfano mm nilikuwaga siamini kabisa kuhusu utabiri wa ndoto lakini kilicho nitokea mwaka juzi...
  9. JamiiForums Tanzania Stories of change 2026; piga kura yako hapa

    Usuli Shindano la stories of change lilianzishwa na JamiiForums mnamo mwaka wa 2021 na kufanyika mfululizo kila mwaka hadi mwaka 2024. Katika hali isiyotarajiwa na wanachama wote wa JF, mwaka wa 2025 shindano hili halikufanyika kabisa. Kama mnavyofahamu, shindano hili hufuatiwa na uchambuzi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Sio vibaya kutumia Tsh 2,000,000/= kutoka kwenye akiba yako kumfurahisha mama yako kwenye hii siku yake

    Post za watsapp status, Insta, Facebook na X hazitoshi. Chomoa angalau 2m toka kwenye akiba yako mfurahishe mama. Spoil her Happy mother's day
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mapazia ya kisasa, designing and installation kwa ajili ya nyumba, hotel, offices etc

    UNATAKA NYUMBA, HOTEL AU OFFICE YAKO IONEKANE YA KISASA NA YA KIFAHARI? 🏠✨ Watu wengi hutumia fedha nyingi kwenye furniture, rangi na decoration mbalimbali lakini bado room haipati ule muonekano wa “complete luxury look”. Sababu kubwa mara nyingi huwa ni uchaguzi mbovu wa MAPAZIA. Pazia si...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hii ni IP address ya nani: Mbona kuna mashimo mengi yako wazi?

    Kwa wale wadukuzi..... Nmap scan report for 212.7.194.67 Host is up (0.00099s latency). PORT STATE SERVICE 7/tcp open echo 9/tcp open discard 13/tcp open daytime 21/tcp open ftp 22/tcp open ssh 23/tcp open telnet 25/tcp open smtp 26/tcp open rsftp 37/tcp...
  13. JamiiForums Tanzania Kesho yako ipo kwenye kuongeza ujuzi

    Learn with us, You can't get those skills from master degree or PHD. No one wait for you. Geospatial Tanzania tunaamini Ujuzi ni chanzo cha kujiamini. Kama una ndoto ya kufanyakazi katika mashirika ya uma au tasisis binafsi. Tunawakumbusha mashirika ya uma na taasis binafsi yapo kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Pesa yako anakula nani?

    Wa kwanza kabisa wanangu kisha wazazi kisha ndugu zangu watumbo moja la mama Na huyu special case "Ba mtu" ki ukweli nampa ila atailipa either in kind or in cash Ukiacha na hizi case zingine kama misaada na sadaka Ila hiyo ndo list yangu ya mda wote
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Ukishinda Dunia, Serikali Inashinda Pesa Yako — Sawe Tax Saga Yaibua Hasira Kenya

    “Hata Mabingwa Hawaponi!” — Sawe Tax Saga Yafungua Macho ya Wakenya Kuhusu Mzigo wa Ushuru Unaowakandamiza Wananchi Mjadala mkali umeibuka nchini baada ya taarifa kuwa marathon star alikatwa karibu KSh 18 million kama tax kutoka kwa winnings zake za zaidi ya KSh 48 million baada ya mashindano...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Sheria hairuhusu kutoa Nywila yako hata kwa mpenzi wako

    Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza kuwa simu au kompyuta inaweza kuwa na taarifa binafsi au za kazi, hivyo kutoa nywila kunaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi katika maisha yako umewahi kuzika ndg yako asiye na kichwa ?

    Ni hii ya dogo aliyeuawa kikatili na kukutwa mtoni akiwa hana kichwa. Isikie tu maana si kawaida. Mimi hadi hapa nimewahi sikia ni kijijini kwetu Kaya kama 6 kutoka kwetu bibi alikatwa katwa mapanga kwa imani zetu Kanda ya ziwa na kisha kichwa chake wakaenda nacho hao wakataji. Hatukwenda...
  18. JamiiForums Tanzania Pata charger simu yako na abiria wako walio seat ya nyuma kwa bei poa

    🔥 CAR USB CHARGER (FAST CHARGING 48W) 🔥 Chaji simu zako kwa haraka na urahisi! Ina ports 6 (Type-C + USB) – unaweza kuchaji abiria wa mbele na wa nyuma kwa wakati mmoja 🚗⚡ Waya mrefu (1.5M) unawafikia hadi waliokaa nyuma Inafaa kwa simu zote na vifaa vingine 💰 OFa: 30,000/= tu 📍 Arusha Town 📞...
  19. JamiiForums Tanzania Kadiri unavyoenda juu, unavyokua au kufanikiwa punguza 'circle' yako

    KADIRI UNAVYOENDA JUU, UNAVYOKUA/FANIKIWA PUNGUZA CIRCLE YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shahidi. 1. Usijesema sijakuambia na hili pia. Ni muhimu Sana kwako. Lengo ni ili uishi kwa furaha na Amani. 2. Ukubali ukatae mafanikio yanachuja na kupunguza wahusika au kuwaweka mbali na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kamwe usikubali kuhatarisha maisha ya mtoto kwa kumpandisha bodaboda, wengi hawajielewi

    Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule. Yani wewe unaenda kugombania daladala halafu dogo under 5 unarisk maisha yake. Mbaya zaidi boda kavaa mkoti mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…