Mimi nimefanana sana na mama, wengi wanaomjua mama wakiniona tu hata kama hawajajua wataniuliza , wewe ni mtoto wa fulani?
Huwa wananiambia kua mimi ni mama mtupu. Cha ajabu dada angu yeye kafanana na baba, ila ni mrembo tu ingawa wanasemaga nimeiba uzuri aliotakiwa kupewa dada angu.
Wewe...