yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuorganise mgomo kazini bila kupoteza kazi yako

    Wanasheria, nawezaje kuendesha mgomo kazini bila kupoteza kazi yangu. Nahitaji muongozo wa kisheria.
  2. JamiiForums Tanzania Tupia nguo yako kali unayoikubali muda wote

    Nguo yako ni ipi ambayo unaviaa kwenye matukio muhimu na ukiivaa unajiona umewaka kinoma noma
  3. JamiiForums Tanzania OllaBridge tool ambayo inaweza kusaidia kuadd AI features kwenye shared hosted website(Unaweza kuazisha chatbot yako binafsi bila risk privacy)

    Habari wana-tech, Leo nataka kuwashirikisha mradi wangu mmoja wa open-source unaitwa OllaBridge. Huu mchongo utawasaidia sana ma-developer wenzangu wanaotumia shared hosting (kama Hostinger, cPanel, n.k.) kutumia nguvu ya AI kwenye websites zao bila kulipia madola ya ChatGPT API wala kuhitaji...
  4. JamiiForums Tanzania Je, AI Itachukua Kazi Yako? Ukweli Kuhusu Akili Bandia na Ajira Tanzania

    Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kujifunza sasa zinaweza kufanya baadhi ya kazi ambazo zamani zilifanywa na binadamu. Hali hii imezua swali...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji wa Milioni 10+ Kwenye Crypto Trading. Mtaji Unakaa Kwenye Akaunti Yako (Self-Custody). Lengo: Hadi Tsh 500,000 kwa Siku

    Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading". Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji. Kuondoa hili, katika ubia huu, hutakabidhi mtaji wako kwangu. Usalama wako ni 100% kwa sababu mtaji...
  6. JamiiForums Tanzania Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

    Hapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa jasho, juwa kabisa hapo hakuna mapenzi.
  7. JamiiForums Tanzania Biashara yako kwenye eneo lenye wateja wengi! Kariakoo!

    Je, unatafuta sehemu sahihi ya kukuza biashara yako? Hii ndio nafasi ambayo umekuwa ukiisubiri. 🏢 Jengo jipya kabisa, lenye muonekano wa kisasa na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa wateja (high foot traffic). Biashara yako itapata mwonekano na uhai unaostahili. 🔹Maduka yanapatikana kuanzia: •...
  8. JamiiForums Tanzania KWELI Kwa taarifa yako… uking’atwa na nyoka huruhusiwi kufunga kamba juu ya kidonda

    Kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na chombo cha habari cha Azam tv tanzania kikiwa nukuu ya kuwa uking’atwa na nyoka huruhusiwi kufunga kamba juu ya kidonda, kuchanja wala kunyonya sumu kwa mdomo. Unachopaswa kufanya ni kutulia kwanza ili kupunguza msukumo wa damu. Dai hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma za kutengeneza website kwa uharaka – siku 3 tu!

    Habari wakuu, Natoa huduma za kitaalamu za kutengeneza website kwa biashara, taasisi na miradi mbalimbali. Ikiwa unahitaji website ya haraka, inayovutia na inayofanya kazi vizuri, hii huduma ni kwa ajili yako. ✅ Website yako itakuwa tayari ndani ya siku 3 tu ✅ Inafaa kwa biashara ndogo...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

    JF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo. na Top 10 yangu ni hii: 1. Sister Abigail 2. ShesRise_1 3. shibela 4. win-one 5. Depal 6. Binti wa zamani 7. Seran 8. Lamomy 9. Leejay49 10. ephen_
  11. JamiiForums Tanzania Mafanikio yako ni mabadiliko kwa wengine

    Mafanikio yako ni mabadiliko kwa wengine Kitendo cha kupigania ndoto au malengo yako ni kitendo cha kuthamini kuumbwa kwako kutoka kwa Mungu, kitendo cha ku thamini wazazi wako na jamii kwa ujumla. Unapofanikiwa kwenye maisha yako hayakunufaishi wewe pekee bali familia yako, wazazi wako na...
  12. JamiiForums Tanzania Akili Nyeusi: Siri za watu wanaocheza na mawazo na malengo yako

    AKILI NYEUSI: SIRI ZA WATU WANAOCHEZA NA MAWAZO NA MALENGO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shuleni ulifundishwa Masuala la Chemical reactions, ulifundishwa natural selection, ulifundishwa Frictions. Maisha ni vita, au reactions simple unazoziona kimwili na kiroho na complex. 1. Kuna...
  13. JamiiForums Tanzania 🚀 Geuza Biashara Yako Kuwa Brand Kubwa Leo!

    Karibu sana wewe unayetaka kuipeleka biashara yako kwenye kiwango cha juu zaidi! 🚀 Kama una ndoto ya kuwa na website ya kisasa, yenye mvuto na inayouza kwa niaba yako masaa 24, basi huu ndio wakati wako. Tunakusaidia kuunda website za biashara na za utalii zenye ubora wa hali ya juu...
  14. JamiiForums Tanzania Usiogope kuwa na machaguo yako

    Mwanaume usiogope kuwa na machaguzi yako hii dunia sio ya waoga Siku hizi kuna wanawake wana list ndefu kama CV ya kazi: Anataka mwanaume mwenye pesa, gari, nyumba, connection, akili, nguvu… full package! Ukiuliza : “wewe unaoffer nini?” Anabaki na mwili na vibes tu. Hapo ndio mwanaume...
  15. JamiiForums Tanzania Kila unayemuana Duniani na hali zote unazozipitia ni mtokezo wa mawazo yako kwa nje

    Hakuna hali unayoipitia inayotoka nje yako ila ni taswira zako wewe mwenyewe unazozitoa nje yako .Hali ya kutolielewa kwa mapana yake na uhakika wake thabiti ni gereza kubwa la maisha yetu tulio wengi kwa sababu tumezoezwa sana na mazingira ya nje kiasi cha kuamini tunayoyaona ndiyo halisi na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju usikubali ushetani, maliza kesi ya Lisu kwa haki. Heshima yako itasimama milele kwa jinsi ulivyo handle kesi ya Lisu

    Itende HAKI na HAKI itakutenda Milele. Ikatae pressure ya Executive, tenda Haki na nenda zako, usisubiri shukrani au cheo toka Executive. Mtendee Lisu HAKI NA WALA SI UPENDELEO Siku 40 or so kweli CoA haiwezi kukaa na kutolea maamuzi pingamizi la serikali? Muhukumuni kwa haki hata kama...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NSSF kupitia App yako mbona haufanyi kazi??

    Ni muda mrefu sasa, hii app ya NSSF haifanyi kazi lakini hela inapoingia unaingia ujumbe ukitaka kuingia kwenye App hiyo ili kuona Balance. Swali langu? 1. Je hiyo App imefungwa? 2. Na kama imefungwa kuna taarifa waliyotoa?
  18. M

    JamiiForums Tanzania kodi isiwe sababu ya kufunga biashara Yako.

    habari ikiwa wewe ni mfanyabiashara mkubwa au mdogo na unakabiliwa na gharama kubwa za uendeshaji wa biashara yako kiasi kwamba biashara Yako inaweza kufungwa basi karibu ukope kwetu, kama una changamoto ya kudaiwa Kodi ya pango, Kodi Toka TRA, bill za maji umeme na mishahara ya wafanyakazi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania G. Msigwa na Wafanyakazi wote wa Wizara chini Yako Nawasalimia Ndugu Zangu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…