Ni mfumo ambao utazalisha jamii inayoweza kujiendeleza na sio kujaza sokoni vijana wanaosaka ajira.....
Kenya has come in for rare praise from the World Bank for the reforms in its education system, which has had its share of criticism for what some say is its demanding yet confusing scope...
Hapo vip!
Hichi kitendo wanachofanyiwa wamasai wangorongoro na Loliondo ni sawa na kutaka kuwatoa samaki kwenye maji waishi nchi kavu. Wakati ni asili yao na nimakazi yao waliyopewa na Mungu kama wewe ulivyokuwa na asili yako.
Sasa nawashauri wamasai wote Duniani mfunge na kumuomba Mungu...
Najua mada hii inaweza kuwa nyeti kwa baadhi ya watu, hivyo basi samahani sana kwa mtu atakayekereka. Katika vitu vinavyojulikana sana duniani, Pesa inashika nafasi ya kwanza, sababu hadi watoto wa chekechea wanajua umuhimu na matumizi ya pesa kuridhisha hamu zao kununua vitu vya kumung'unya na...
Kuna faida gani sisi kuwa na wanyama pori ambapo wanasababisha mateso na hata vifo Kwa binadamu wenzetu?
Tunaiomba wizara husika, iendelee na mpango wa kuwauza na kusafirisha wanyama wetu kwenda huko wanakohitajika ili tu sisi tuwe salama!
Kwanza, tangu nimezaliwa sijawahi hata Kuonja utamu wa...
Nasema hivyo kwa sababu makao makuu ya mkoa na wilaya zake yanasikitisha!
Kila mradi wa serkali bukoba lazima uwe na ubishani na ujuaji unaosababisha kuchelewesha mradi! mfano ujenzi wa stendi mpya hadi sasa bado haujaanza ukiulizia sababu za msingi hamna!
Ukabila na ubaguzi kwa wageni...
Tulimsikia Waziri wa Sanaa na Michezo wa nchi hii, Mohamed Mchengerwa, Katika kusoma bajeti yake ya mwaka huu, kuwa analiomba Bunge hilo liweze kuidhinisha zaidi ya shilingi bilioni 10, kwa ajili ya kuvikarabati viwanja hivyo vya CCM, ambavyo alidai kuwa vipo Katika Hali mbaya
Ikumbukwe kuwa...
Je kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira?
pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation Letter au inawekwa sehwmu gani?
naombeni msaada katika hilo wakuu🙏🙏🙏
Tusifichane,
Imebaki kuwa wale wale wenye chuki na Hayati JPM, tena ni wale wale ambao yeye aliwaita wakwamishaji wa maendeleo ya nchi, na aliwashughurikia kisawasawa
Waliokuwa wakila pesa za walipakodi Kwa mgongo wa wafanyakazi hewa, ndio hao hao wana chuki naye mpaka leo, kwa sababu mirija...
Kuna mambo mengine huwa yanakera sana!! Kama Rais Samia anaamini kwa dhati IMANI ya CCM kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake, inakuwaje akaona kuwa watumishi wengine wanastahili mafao kwa kikokotoo cha asilimia 33% wakati wabunge...
Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo.
Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha.
Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie simu atakupa majibu ya balaa la Diamond ni mji umesimama.
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, sasa ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF kabla ya kuandika list ya wachezaji bora wa muda wote wa timu za Yanga na Simba, ningependa kwanza nijitambulishe kuwa mimi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya Yanga. Nimeanza...
Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
Putin alisema hakuna haja ya kuwaingilia huko kwenye mahandaki yao, bali fungeni njia kiasi ambacho hata inzi hawezi kupenya!! Na kweli bwana leo askari wote wamenyosha mikono na kutoka wenyewe! Yule kamanda wao alibebwa kwenye gari la deraya badala ya bus alipokuwa akipelekwa utekani...
Kwa lugha rahisi, mfamasia ni mtaalamu wa madawa! kazi yake inahusisha kutengeneza, kuchanganya, kutunza na kufikisha dawa kwa wagonjwa zikiwa salama. Ndiye anayeweza kuya-handle madawa na anajua vizuri kwa undani mode of action ya madawa. Daktari/MD ni mtaalamu wa tiba! kazi yake ni kutibu watu...
Uongozi wa Taliban umeagiza watangazaji wote wa kike katika vituo vya runinga Nchini Afghanistan wanatakiwa kuziba sura zao wanapokuwa wakitangaza.
Vyombo vya habari vimekiri kupokea maagizo hayo kutoka katika Wizara ya Maadili na inatakiwa kutekelezwa bila kuwa na mazungumzo yoyote.
Waziri wa...
Gazeti la Raia Mwema limeandika kuwa kesi iliyofunguliwa na kina Mdee na wenzake 18 itafungua boksi ambalo limeficha siri kubwa la ‘vigogo’ waliohusika na sakata zima la wabunge 19 wa viti maalumu waliokuwa wanachama wa Chadema.
Gazeti hilo linasema mchakato mzima unaihusisha Ikulu, vigogo...
Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili (Mtanzania) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
ONGEZEKO LA 23.3% NI KWA WATUMISHI WOTE AU ASILIMIA INASHUKA MSHAHARA UNAVYOPANDA!?
Leo 12:15 hrs 15/05/2023
Tangazo la kuongeza mshahara la Zanzibar,Kenya na Uganda vs tangazo la kuongeza mshahara Tanzania bara "Tanganyika" kuna maana mbili tofauti,Zanzibar,Kenya na Uganda wametangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.