wote

  1. Sio polisi wote wanapenda ila wengi wenu watawaponza na familia zenu

    Kuna mapolisi wengine ni wana hofu na mungu ila ni ngumu kuwaona na wanapigwa vita. Nakumbuka kuna mkuu wa kituo pale magomeni alikuwa mtu wa swala tano ,yani hataki kuona mtu kaonewa ila walimuondoa. Kwa mambo ya ajabu yaliopo hapa tanzania mlitakiwa nyie muoneshe mfano sio kuwafurahisha...
  2. Kama Qur’an ni ya watu wote kwanini ilishuka kwa Kiarabu?

    Watu wenge duniani hawajui kiarabu Tafsri si qur’an halisi Upande wa Qur’an (Uislamu) Qur’an inachukuliwa kuwa ni Qur’an halisi tu ikiwa ni Kiarabu Tafsiri = “maelezo ya maana,” si Qur’an Swala na baadhi ya ibada lazima ziwe kwa Kiarabu WHY? Kwa nini ujumbe wa ulimwengu wote uwe umefungwa...
  3. Ilikuwaje marais wetu wote wakawa wakatoliki na waislamu tu?

    Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au imeandikwa pahala kama makubaliano? Je, itakuwa hivi hadi lini?
  4. S

    Samuya na Lissu wote wako gerezani

    Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza hazimfanyi Lisu kutokuonekana wa hazimnyimi usingizi. Samuya yuko gereza la kukataliwa na...
  5. Maraisi wazalendo wote Duniani wanashindanishwa kwenye tuzo ngumu na za kibabe hapo utamuona Mrusi, marekani, India, Tanzania, Afghanistan

    Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli. Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama Huwezi ukagusi...
  6. TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

    Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa. Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi...
  7. S

    David Kafulila awatakia Watanzania X-MAS njema

    Katika kusheherekea sikuu ya X-Mass hivi ndivyo alivyoandika katika ukurasa wake wa X zamani Tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini kati ya Sekta ya Umma(Serikali ) na Sekta Binafsi (mtu au kampuni) PPPC Bwana David Kafulila amesema:- Ni siku muhimu sana, hasa katika Ukristo...
  8. Sijawahi kusikia hawa wanaharakati wetu kikinuka wanakimbilia Uganda, wote ni Kenya tu

    Nachoka mimi babu yake mwandambo! Kuna kikundi gan kenya kila sku wanakimbilia uko
  9. Sheikh: BAKWATA sio ya Waislamu wote ni ya Wasunni tu

    Sheikh ponda atoa maelezo kuwa Bakwata sio kwa ajili ya kila Muislamu bali ni ya Wasunni tu https://www.instagram.com/reel/DSpOXVaAhne/?igsh=NHZkYzNjcG5wcm5z
  10. Watajeni wote waliotekwa au kuuawa Enzi Nyerere akiwa Rais

    Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa. Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao...
  11. Tanzania Leaks: Makanisani usiku wa leo kagueni watu wote wanaokuja na vibegi

    Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze. Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.
  12. H

    Serikali inatazama watoto wote kwa jicho la karibu

    Na Witness Masalu, WMJJWM-Dodoma Serikali yaendelea kusimamia na kuhakikisha kwamba watoto wote nchini hususani wanaoishi katika mazingira magumu wanafikiwa na kupatiwa huduma stahiki. Hayo yamebainishwa na Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na...
  13. Kama Samuya atatoboa na wasanii watatoboa kwa vile wote ni wasanii na wakatili

    Kichwa cha habari kiko wazi. Tofauti ya wasanii wa kisiasa na kisanaa ni namna wanavyopatikana. Wanaweza kufanya lolote hata kujidhalilisha au kuwadhalilisha, kujidhulumu au kuwadhulumu, kujidanganya au kudanganya wengine na mengine kama hayo ili tonge liingie mdomoni. Ni viumbe wanaopenda...
  14. Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

    Sheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea haki. Vitendo kama hivi vya kishirikina hutasikia vikikemewa popote pale, Zaidi utasikia Uislamu...
  15. R

    Thomas Sankara: Rasilimali za nchi zinapaswa kuwanufaisha wananchi wote, si kuwatajirisha wachache

    Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi na Rais wa Burkina Faso kutoka 1983 hadi 1987, alitoa kauli hii kama sehemu ya maono yake ya taifa linalojitegemea na lenye usawa. Serikali yake ilitekeleza sera nyingi zinazolenga kupambana na ufisadi, kukuza ustawi wa jamii, na kuhakikisha kuwa...
  16. Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa

    Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa
  17. Kama kuna mtu anaweza kuua watu wote hao na hakuna lolote la kumkuta basi kila mtu ajipambanie

    Inasikitisha sana kuona muuaji bado anadunda tu na afya na kiburi juu. Mtu ametengeneza maadui zaidi ya 60 million, wanaomuombea kifo kila siku. Mtu ameteka na kuwapoteza watu wa rika zote waziwazi bila kificho. Na mtu huyo hatuna la kumfanya hata kwa umoja wetu na hasira zetu, Na Mungu...
  18. Tuwakatae Wahuni Wote

    My people, Kwa kila mwanaharakati ambaye anaikosoa Serikali hakika anajua matokeo au madhara ambayo atakutana nayo leo au kesho Ndio maana comrade Pole pole alijua na alikuwa tayar kulipia gharama hiyo ,kuonyesha kwamba alikuwa tayari kwa lolote litakalo mkuta akaamua kubakia hapa hapa hali...
  19. Mjue omba omba Tajiri kuliko wote Duniani

    Ama kweli tembea uone tulia usimuliwe, hii dunia haiishiwi mambo. Kuna msemo waswahili husema kuna watu na viatu sasa leo nataka nikusilumie story ya kiatu kimoja hivi. Katika jiji la Mumbai nchini India kuna jamaa mmoja anaitwa Bharat Jain. Huyu jamaa ni omba omba maarufu jijini na shughuli...
  20. R

    PostGE2025 CHADEMA: Tunaunga mkono Gen Z na Makundi yote yanayodai haki, Tunawapa pole watanzania wote

    Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 11, 2025 Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA0), John Heche amesema chama hicho kinaunga mkono madai ya makundi yote ya watanzania , vijana wa Tanzania Gen Z, viongozi wa dini, wanaharakati na makundi yote ya kijamii kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…