wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Ajira Mpya (Ualimu na Afya) Wilaya ya Mpwapwa bado hatujapewa Hela ya Kujikimu

    WALIMU Ajira za mwaka Jana (2025) mwanzoni na wa (2026) januari Bado HATUJAPEWA HELA yetu ya KUJIKIMU Na Idara husika hazisemi chochote wakati wenzetu halimashauri zingine wamepewa tayari.
  2. A

    KERO Walimu Wapya Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma (2025-2026) tunadai pesa ya kujikimu

    Walimu tulioajiriwa mwaka Jana ngazi ya Sekondari tulipewa Hela ya kujikimu nusu (Laki Nne) mwaka huu na hatujui nyingine tunamaliziwa lini. Lakini pia kwa Wale walio ajiriwa mwaka huu (January 2026 ) hawajapewa Bado na haijulikani wanapewa lini.
  3. A

    KERO Walimu Ajira mpya Wilaya ya Ngara walimu wanatuchukuliaje lakini! Hela tumeambiwa zipo Hazina lakini kimya ni mwaka sasa

    Mimi niliajiriwa Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Ngara Mkoani Kagera lakini hela zetu za kujikimu mimi na wenzangu hatujapewa, tupo Kada ya ELIMU ila wenzetu Kada ya AFYA walivyofika tu wakapewa sisi mpaka leo kimya. Mwaka huu 2026 wameleta ajira mpya wengine wa Elimu na Afya lakini afya...
  4. Carlos The Jackal

    TAMISEMI ya SAMIA kama hamtashughulika na Majizi yaliyopo Halimashauri ya BUTIAMA , Hospitali Mpya ya Wilaya ya BUTIAMA Haitokaa Kumalizika Ujenzi

    Mimi ni Chadema Damudamu, na kama ambavyo Chama Changu hakiitambui Serikali hii ilotokana Uchaguzi Haramu !! Kuna Wakati kama Mtanzania Unaumia na kutoa Machozi !!. Ukamilashaji wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya BUTIAMA , Sulihisho sio Kubadilisha Ma DMO , Ma DMO mtabadili sana na Kila...
  5. A

    KERO Serikali iongeze Watumishi wa Afya, Wilaya ya Mlele, Kitengo cha Mionzi, kuna mtumishi mmoja tu

    Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati. Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
  6. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga Watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
  7. A

    KERO Barabara mbovu Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya

  8. Mwanongwa

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe litazameni Soko la Ndizi Kiwira, mazingira siyo rafiki

    Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko limejaa matope balaa hali inayohatarisha afya za wateja. Viongozi liangalieni hili maana ni aibu kubwa.
  9. A

    KERO Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi anaenda kinyume na Sera ya Elimu, analazimisha Wanafunzi wasome masomo yote

    Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi amelazimisha shule zote za Sekondari kuanzia Mwaka 2025 kuwa Kidato cha kwanza wanatakiwa kusoma masomo yote bila kujali wameyachagua au la, kitu ambacho ni kinyume na Mtaala wa Elimu wa 2014 ulioboreshwa wa 2023. Mtaala huo wa sasa unawataka wanafunzi kusoma masomo...
  10. Masalu Jacob

    Bei ya wese - Halmashauri toeni Ruzuku kwenye (Petrol & Diesel) kwenye Wilaya zenu

    Habari Tanzania !. Hii ni chemsha bongo. Naziomba Halmashauri zote hapa nchini wafanye maamuzi waonavyo kulingana na uwezo wao kuweka ruzuku kwenye (Petrol & Diesel) ili kuimudu mfumuko wa bidhaa hizo kwenye maeneo yao. Maana hatari kuu itawapa mtake msitake mtakapokuwa mnataka kukusanya...
  11. A

    DOKEZO Uwanja unaojengwa Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya Wete unawekewa nyasi zilizotoka kwenye Uwanja mwingine

    Kero yangu ni Kiwanja cha mpira kinachojengwa Kisiwani Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya wete, Shehia ya Pandani. Yaani Kiwanja kipya lakini kinawekwa Nyasi kongwe (zimetolewa kiwanja chengine). Hapo tayari ubora wa kiwanja haujafikiwa, kila siku itakuwa ni ukarabati.
  12. A

    KERO Serikali imekisahau Kijiji cha Olchoronyori - Wilaya Simanjiro, huku hakuna Vodacom, Yas wala Airtel

    Mimi ni mdau kutoka Kijiji cha Olchoronyori Wilaya Simanjiro, Serikali imepasahau tunaomba itembelee huku ione changamoto zilizopo. 1. Tunaomba kujengewa mnara wa Mtandao wa Vodacom, TIGO au Airtel maana huku tunatumia TTCL unaotegemea jua tu na kukatika mara kwa mara na kusababisha ukosefu wa...
  13. A

    KERO Kero ya Uchafu Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini Jang'ombe - Shehia ya Kidongo Chekundu

    Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu. Hii hali imekuwepo muda mrefu bila uchafu kuja kuchukuliwa, ukizingatia jalala lipo kwenye makaazi ya watu na karibu na skuli...
  14. idiomer

    Mkuu wa wilaya anawaambia watu wahame sehemu hatarishi?

    Swali wahamie wapi toa sehemu mbadala kuwahifadhi wana Rungwe. Watu 20 wameshapotea daah inauma sana nchi yani hii. Toa suluhisho kiongozi sasa watu hawana nyumba kusema tuu wahame haitoshi .
  15. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inachelewesha sana kutoa Barua za Kuthibitishwa kazini

    Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini. Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika...
  16. A

    KERO Kwanini Hospitali ya Wilaya ya Ubungo haiwaruhusu wagonjwa kuingia na simu kwa baadhi ya wodi, Je, ndiyo Sheria inataka hivyo?

    Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto). Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
  17. A

    KERO Kero ya barabara kwa wakazi wa Kata ya Kimala wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa

    Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu. kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
  18. A

    KERO Shule ya Msingi Kamara iliyopo Mungonya, Halmashauri ya Kigoma, walimu wamewageuza wanafunzi vibarua wao

    Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule. Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
  19. A

    KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  20. A

    KERO Tatizo sugu la kukatika kwa umeme Wilaya ya Mvomero huku mamlaka zikiwa kimya

    Sisi wakaazi wa Wilaya ya Mvomero tunaopata huduma ya umeme kuanzia Kituo cha msamvu kuja Turiani, laini ambayo inasambaza umeme maeneo mengi zaidi ya Wilaya ya Mvomero kuanzia mkundi, halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Dakawa, Dumila, Gairo, Mvomero, Turiani, Madizini, Kibati mpaka Pemba, kuna...
Back
Top Bottom