A wilayah (Arabic: ولاية, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.
Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati, kuna muda unaweza kukatika asubuhi mpaka kesho yake mchana, changamoto hiyo ipo kwa wiki tatu sasa.
Changamoto hii ni kero na inajirudia, kuna vitu vyetu vingi tu vinakwama, biashara zinaharibika, vitu nyumbani vinaharibika pia na kupata Hasara.
Anonymous
Thread
biashara
nzega
sana
umeme
unakatika
vyakula
wakati
wilaya
Kuna changamoto kati ya Walimu Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Butiama dhidi ya viongozi wa chama kwa ngazi ya wilaya.
Walimu wanachama tumekuwa tukilalamika kuhusu matumizi mabaya ya mali za chama na wanachama kutosikilizwa changamoto zao na Chama.
Tarehe 01/11/2026...
Anonymous
Thread
chama cha walimu (cwt)
changamoto
viongozi
wanachama
wilaya
Mimi ni mtumishi katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni (Shaikh Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah Medical Complex), iliyopo Mbweni, Handeni, Tanga inakabiliwa na uhaba mkubwa wa vifaa kinga vya mikononi (gloves) kwa takribani wiki mbili sasa.
Katika kipindi hiki cha wiki mbili...
Afisa Ardhi wa Wilaya ya Maswa amekaa wilayani humo kwa miaka 24 na ndiye chanzo cha migogoro ya ardhi Serikali inatakiwa kumbadilishia kituo cha kazi, kwani amekuwa kikwazo katika baadhi ya mambo mengi ya kiutendaji kiasi kwamba inaonekana kila kitu kinafanyika kwa vile anavyotaka na sivyo...
Nauza Jembe la trekta la disc tatu limetumika. Used.
Mahali : Wilaya ya Siha Moshi Kilimanjaro.
Bei Million mbili na laki nane(2.8M). MAELEWANO YAPO!
Mawasiliano: 0707138500.
Picha za jembe naambatanisha hapa.
Karibuni wakuu.
KERO YA BAA YA MTIPESA ILIYOPO KIMARA TEMBONI-MTAA WA SARANGA KWA MAKOFIA NDANI YA WILAYA YA UBUNGO.
Je mmiliki wa baa ya Mtipesa iliyopo Mtaa wa Saranga kwa Makofia ndani ya Wilaya ya Ubungo ana nguvu, mamlaka na haki kuliko wakazi/wananchi wote wa mtaa husika?
Wakazi wa mtaa tajwa tumekuwa na...
Anonymous
Thread
kero
kimara
ndani
saranga
ubungo
wilayawilaya ya ubungo
DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria.
Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.
Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
Kwa: Mamlaka Husika (TAKUKURU, TAMISEMI na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga)
Ninaomba mamlaka husika ifuatilie na kuchunguza malalamiko kuhusu Shule ya Sekondari Kazole, iliyopo mkoani Pwani, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.
Kwa mujibu wa malalamiko haya...
Anonymous
Thread
fomu
kazole
mkoa
mkoa wa pwani
pwani
rushwa
saini
sekondari
shule
shule ya sekondari
walimu
wazi
wilaya
Sisi ni walimu tulioajiriwa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Baada ya kudai fedha za kujikimu kwa muda mrefu, mwezi Agosti tuliingiziwa TSh 250,000/= bila maelezo yoyote rasmi. Tangu hapo, viongozi wamekaa kimya hadi leo.
Tunaomba TAMISEMI na mamlaka husika zitusaidie...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
kujikimu
malipo
mpya
wilaya
Wanajf habarini..
Ni sakata ama vugu vugu la muda mrefu kidogo... ni lini wilaya ya Masasi mkoaani Mtwara itakuwa mkoa kamili unaojitegemea? litakuwa jambo zuri mno na la kimkakati. naomba hilo lifanyike haraka.
Masasi ni mji unaokua sana, mara ya mwisho niliongea na viongozi kadhaa wa...
Kuna malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili, ambapo tumelipwa nusu ya fedha tulizostahili kulingana na makubaliano ya awali.
Tulipohoji na kufuatilia kiasi kilichobaki, tuliambiwa na uongozi kuwa hayo ndiyo malipo yaliyopangwa, licha ya kuwa mkataba wetu...
Ni nani anayesambaza taarifa binafsi za watumishi, hususan namba zao za simu, kwa taasisi za mikopo? Kumekuwa na hali ya watumishi kupigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa matangazo ya mikopo bila kuomba huduma hizo.
Hali hii inazua maswali kuhusu chanzo cha taarifa hizo na namna taasisi hizo...
Walimu wa shule za sekondari tulioajiriwa mwaka 2025 na 2026 na tunaotumia Benki ya CRDB kupokea stahiki zetu, hususan fedha za kujikimu, tunakabiliwa na changamoto ya kucheleweshewa malipo yetu.
Katika orodha ya walimu tuliostahili kulipwa fedha hizo, walimu wanaotumia Benki ya NMB pekee ndio...
Anonymous
Thread
bank
crdb
gani
halmashauri
mvomero
shida
wana
wilayawilaya ya mvomero
Walinzi tuliosimamia Mitihani ya Taifa Kidato cha Nne, Wilaya ya Kakonko tumepewa malipo yasiyoendana na siku za kazi yenyewe, tunakaa na mitihani siku 7 ila malipo tuliyopewa yalikuwa ya siku tano.
Malipo hayo ni Sh 75k kwa siku, wengine vituo tulivyoenda kusimamia vilikuwa vya mbali na kutoka...
Anonymous
Thread
kakonko
kidato
kidato cha nne
mitihani
mitihani ya taifa
taifa
walinzi
wilaya
Watumishi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tulitoa malalamiko kuhusu DMO, In-charge wa Hospitali ya Wilaya, Katibu wa Afya wa Wilaya na timu yake ya CHMT, tukidai kuwepo kwa matumizi mabaya ya mapato ya hospitali kwa starehe, ikiwemo safari za Matema Beach, wakati...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
mbeya
timu
timu ya
uchunguzi
watumishi
watumishi wa afya
wilayawilaya ya busokelo
Naandika ujumbe huu nikiwa mmoja wa waathirika wa hii changamoto, hapa Hospitali ya Wilaya Same, Kilimanjaro nimepewa kitanda nikiwa naendelea kusubiri muda ufike ili nijifungue, lakini cha ajabu kitanda nilichopewa kila siku wanazidi kuongezeka watu.
Namaanisha wajawazito wengine wanaongezeka...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akimkabidhi chandarua Mwananchi wa Kata ya Katuma Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi baada ya kukagua mradi wa Kituo cha afya kilichojengwa kutokana na fedha za Biashara ya Kaboni...
Kwa Mambo yanayo endelea Tunduru kuhusu migogoro na mauji mengi ya Raia ilitakiwa Mkuu wa wilaya Tunduru atumbuliwe maana ameshindwa kusimamia usalama wa wilaya ya Tunduru yeye kama mwenyekiti wa kamati ya usalama..
Sisi ni wakazi wa Kata ya Nyamhongolo, katika mitaa ya Nyamadoke, Ibinza na Iwelyashenga, Wilaya ya Ilemela, Jiji la Mwanza. Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, hatujapata kabisa huduma ya maji kutoka MWAUWASA.
Hapo awali, tulikuwa tukipata maji mara moja kwa wiki, tena kwa muda wa saa chache. Hata...
Anonymous
Thread
ilemela
karibu
maeneo
mitaa
mmoja
mwanza
mwezi
mwezi mmoja
ukosefu
wakazi
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.