wife

A wife is a female partner in a continuing marital relationship.
The term continues to be applied to a woman who has separated from her partner, and ceases to be applied to such a woman only when her marriage has come to an end, following a legally recognized divorce or the death of her spouse. On the death of her partner, a wife is referred to as a widow, but not after she is divorced from her partner.
The rights and obligations of a wife in relation to her partner and her status in the community and in law vary between cultures and have varied over time.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumuelewa mke wangu, yaani ni kosa kutokutwa na meseji za kucheat?

    Simu yangu kipindi cha nyuma nilikuwa siweki password. Mpaka siku moja nilipoibiwa halafu mwizi akaanza kuomba zitumwe pesa kwenye namba fulani akitumia simu yangu. Hapo nikaona niwe naweka password. But pia kwa sasa hizi simu ni kama laptop. Tunahifadhia docs muhimu n.k. so naweka na pia...
  2. Iheanacho

    JamiiForums Tanzania Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

    Habarini wana jamvi. .. Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife...
  3. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

    Habari, kumekuwa na mijadala mingi sana ya kuhusu ndoa humu ndani na wengi wakiwa wanalalamika kuhusu wake zao kuchapiwa/usaliti/mateso na changamoto mbali mbali za ndoa. Kwa upande wangu, nimeoa mwanamke mzuri i mean kwenye kila sekta tabia sura na hata matendo na tupo kwenye ndoa mwaka wa 5...
  4. Stanboy

    JamiiForums Tanzania Wife Material Mrembo anahitajika haraka. Ndoa Mwaka huu

    Hello everyone, I am looking for a wife material, mrembo, anayevutia hasa..its my hope that I will meet you here..kama tukimatch vizuri tutafunga ndoa kubwa mwaka huu huu...maana ndoa yangu inasubiriwa na ukoo mzima(serious). Kigezo cha muhimu uwe mzuri maana nikioa sitaki habari za kuchepuka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

    Wakuu kwema? Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table. Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
  6. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    "Bebi Leo tunakula nini?" Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu. Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wife kanizidi kipato lakini kila wiki lazima aniombe elfu 20 ya kusukia

    Habari wakuu. Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali. Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na kiukweli kama mwanaume najitahidi sana pamoja na kipato changu kidogo kuhudumia familia yangu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Looking for life partner - Wife

    Hi I am Jophy, Christian, 29yrs of age, degree holder and I am at Dodoma doing my staff. I am looking for girlfriend who is not occupied, God fearing woman, Confident very focused and lovely one aged 21-25yrs. I will accept you and wont judge you negatively. Will be happy if you will be from...
  9. L

    JamiiForums Tanzania I'm looking for wife

    I'm Tanzanian, 41yrs of age, christian, black in color, Midiam height, employed. My preference is a girl/ woman of the following characters/look: - Aged 28-32 years -Beautiful with attractive figure - Deep christian -Educated ( at least with a degree/ degree on progress) - With...
  10. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Siku ya tano leo wife kaninunia kisa nilimchana ukweli kuwa hajapendeza

    Habari za leo watanganyika wenzangu? Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home tukajiandae, well me kwenye saa 10 hivi jioni nikawa nimemaliza mizunguko yangu, nikasema ngoja nimpitie wife...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wife amenishauri nisiwe na mazoea na bar maids

    Mambo wakuu? Nimepita bar flani na wife kusuuza koo ameona kuna baadhi ya bar maids flani wa kike wamenizoea sana kwenye hiyo bar,ghafla akanishauri nipunguze mazoea nao. Atakuwa ana maana gan wakuu?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuwa mke wangu ziku za baadaye

    Habari za jioni ndugu zangu wana MMU. Bila kupoteza muda ni kwamba nina miaka 30, mkiristo, nina elimu ya chuo, nimejiajiri mwenyewe, nina urefu wa wastani. Hivyo basi, kutokana na hizo sifa hapo zilizotajwa hapo juu napenda kuwataarifu kwamba nahitaji rafiki wa kike ambaye siku za mbeleni...
  13. Masokotz

    JamiiForums Tanzania My Ex Wife anateseka sana, nifanyeje?

    Closed
  14. Masokotz

    JamiiForums Tanzania The 'Bitch' Wife...

    Closed
  15. No Escape2

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii vita mimi na Wife

    Kwa kweli sijui niwalaumu hawa wamiliki wa TV Stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana. Kwa akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari, mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania 3 master keys to make your wife love u forever

    By Pst Samuel Olagbenjo 1. LOVE her like a wife Men, Our wives are the best thing that has happened to us after our salvation. When Adam was created and placed in the Garden of Eden, despite all the beauty, glamour, wealth and riches of that garden, the bible recorded that “it is not good for...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Adai figo yake baada ya "kumwagwa" na My Wife Wake

    Kama kuna watu ni kauzu basi huyu nimemkubali! Baada ya kuachana na mke wake kwa talaka hii Njemba imedai kuwa irejeshewe Figo ambayo aliitoa akawekewa aliyekua mke wake huyu. Anasema jamaa anayemchukua basi yeye ndio ataoe figo....no free lunch!
  18. M

    JamiiForums Tanzania How to know if your Wife is sleeping with other Men

    For you to know your woman is sleeping with another man is a thing you need to dig deep to know. You need sufficient and strong evidence to prove this. A lady can keep a secret for a very long time especially when she is cheating. The reason for that is that people, in general, are very bad...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

    Nimeyumba kidogo kiuchumi toka mwezi wa 1. Kutokana na Corona na sehemu nyingi duniani kuyumba kiuchumi pia. Binafsi huwa nanunua kila kitu mwisho wa mwezi na kuweka nyumbani, kila kitu kwa maana ya kwamba hata ikitokea mwezi mzima tukaamua kukaa ndani bila kutoka tutaishi vizuri tu. Pia...
  20. Mwananchi B

    JamiiForums Tanzania Leo kidogo nikamatike na Wife kwa uongo wa kizembe kabisa

    Salaam Wakuu. Daaah Ha ha ha ha, ngoja nicheke Kwanza. Uongo sio mzuri wakuu ha ha ha ha. Uandishi wangu sio mzuri ila tuvumiliane. Ilikuwa hivi mwezi Kama Mmoja uliopita Mimi na wife tulipata ka plot tukakapenda Sasa tukakubaliana na mmiliki ambae alikuwa mkoa B, pale eneo la tukio...
Back
Top Bottom