wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unakuta unashuhudia mchezaji anaanza kucheza soka (debut) hadi unashuhudia akistaafu soka wewe bado uko vile vile unaishi na mandoo ndoo unamo lala

    Hali hii ni mushkeli aisee, Wenzangu wa "uchumi wa mandoo ndoo" mmeamkaje?
  2. JamiiForums Tanzania Netanyahu kakutana na raisi wa UAE leo kudumisha ushirikiano ila wewe mwarabu wa yombo dovya unajifanya kutukana wayahudi mitandaoni😁

    Endelea kupiga ramli😁
  3. JamiiForums Tanzania Asagwile Mwasongwe: Kama Wewe ni Nuru, Giza Linakuweza Vipi? Njoo Tupige Kolabo

    Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Asagwile Mwasongwe, ameweka wazi msimamo wake kuhusu mjadala unaoendelea wa ushirikiano wa kimuziki kati ya wasanii wa dini na wale wa muziki wa kidunia (secular). Katika video aliyorekodi na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii, Asagwile ametoa...
  4. JamiiForums Tanzania Pastor kutoka naijeria akiwashukuru US na Israel kwa kuwasaidia dhid ya magaidi ya kijihad wanaowaua ila wewe upo tegeta nyuki umewanunia israel na US

  5. D

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ni mwalimu hii kesi ungeitatuaje?

    Wakuu, hebu tuwekane sawa kidogo. Nimeona video moja mtandaoni huko facebook naamini ilikuwa ya mwishoni mwa mwezi wa nane maana sijatumia facebook muda mrefu kidogo.mtoto mdogo wa kama miaka saba analia sana kwa sababu amefaulu vizuri darasani lakini hajapewa zawadi kama wanafunzi wenzake...
  6. JamiiForums Tanzania Mfano wewe mume ndio ungekua mke, ungekua mke bora kwa mume wako kama wewe unavyotarajia?

    Yani Akikufokea unakaa kimya humjibu kwa jazba na unamuomba msamaha hata kama kosa. Akikucheat humlipizii unapiga goti kumuombea kwa Mungu ambadilishe. Hata kama umechoka au huna hisia, akitaka penzi unampa na unatoa ushirikiano. Akichelewa kurudi unamsubiri na hukasiriki wala humuulizi huulizi...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Jambo linalokera hata wewe una lako ila pia jitahidi usiwe kero kwa wengine

    kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa. kama unakera jua unakerwa pia. je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au mbili n.k. YANGU: UNAMWITA MTU NJOO AU KARIBU TULE . UNASHANGAA KAENDA CHOONI, AU ANAPENGA KAMASI...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna cha El nino wala Super El nino wewe lala fofo .

    Lala fofo ewe mtanganyika mwenzangu. Kama alisababisha mvua kunyesha kule mwanza mbele ya shuhuda Rais Samia ,Mapadre wako wa Roma na masister wako wa Roma. Je atashindwa kuzuia isije ni yeye mwamba kasema.. Anthony Lusekelo
  9. JamiiForums Tanzania Unafahamu katikati ya wewe na kitu unachokiona kuna nafasi (space) na nafasi hiyo ikiondolewa hutaona?

    Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi. Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
  10. JamiiForums Tanzania Herbalist Dr MziziMkavu wewe ni memba mkongwe hapa ndani acha kutumia picha za AI kudhalilisha dini za watu.

    Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki. Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki. Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi wakuu unapata msupu kama huyu ameridhika na wewe na anakuheshimu ndani yaani hata kama unapitia ugumu flani ukirudi ukiona ua lako moyo unapoa

    chocolate colour, Tumbo halina nyama nyama, Kimo cha wastani, Makebo malaini, Awe na feelings kali wakati wa sex ili nimketekenya kunani amwage hydro ya kutosha Shape hourglass, Asiwe na dharau, Asiwe na kisirani Maziwa mazito ili niwe naweka uso wangu na rotate kichwa Kwa bahati mbaya hizi...
  12. JamiiForums Tanzania Ego: Kikwazo Namba Moja cha Maendeleo

    Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego. Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua. Hadi wazazi, wako radhi urudi mistakes zao kwa kukuacha uwe less wakati huenda wanauwezo wa kukupa...
  13. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Kweli Unajua Kiingereza, Tuambie Umepata Alama Ngapi Kwenye Maswali Haya ya Kiingereza. Marks Ulizopata Tuwekee Kwenye Comment.

    Habari za muda huu wana-JF, Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli. Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania TIMU BIKIRA : KAMA WEWE NI TIMU BIKIRA,ACHA KULA MBUSUSU KABLA HUJAOA.

    Kuna vijana wengi wanajifanya ni timu BIKIRA. Ukweli ni kwamba, sahivi hakuna kijana ambaye ni timu BIKIRA. Vipi utajiita timu BIKIRA wakati una demu kila uchochoro,ajabu unatongoza hadi wake wa watu. Huyo binti unayemchanyata kila siku anafikiri ni nani atakuja kumuoa, kumbuka malaya wa kiume...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: CDF na IGP walimwambia DCI Ramadhani Kingai, "nenda kamalizane na Tundu Lissu mwenyewe kwanza wewe ndiye uliyelianzisha!!"

    Ili uelewe hiki ninachokiandika, kwanza elewa majukumu ya DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya jinai) ndani ya Jeshi la Polisi ambaye kwa sasa ni huyo hapo kwenye picha Ramadhani Kingai... MAJUKUMU YA DCI Kusimamia Upelelezi: Kuongoza, kuratibu na kusimamia shughuli zote za kiupelelezi...
  17. JamiiForums Tanzania Migodini Kuna Trucks zina hadi engine ya cc 90,000 na ni kubwa kiasi kwamba wewe na urefu wako haufiki katikati ya tyre.

    Kuna vitu vinashangaza. Ukipata wasaa wa kuingia migodini, hasa hasa open pit, utakutana na dumpers (dumping trucks) zenyewe zinafanya kazi sana sana ya kubeba udongo kutoka walikoblast kwenda kwenye crushers. Bwana aya madude ni makubwa. Sana. Kwanza kupanda unapanda na kushuka kwa ngazi...
  18. JamiiForums Tanzania kwa wafanya biashara tu;ingekuwa wewe ni sandaland ungefanyaje?

    hamna hamna hii issue inaweza ikakata mtaji: ingekua ni mimi ningechutama kwa Waziri aingie front kunisafisha kwa situation ya kisiasa ilivyo bongo ni kulinda mtaji tu
  19. JamiiForums Tanzania Hakikisha unapo piga mamsi wewe ndio unajua wakati wakuachwa

    .
  20. JamiiForums Tanzania Kama unaweza kuchinja ng'ombe, ng'uruwe wewe ni katili kupindukia

    Wewe unaweza kabisa kumkata binadamu mwenzako kichwa, ukiona ng'ombe anachinjwa hofu anayokuwa nayo unamuona anatetemeka kabisa lakini wewe unaendelea kushusha panga, that's why nikachagua kuwa vegetarian by choice, wewe upo kundi Moja nawatekaji tu Yani hushindwi kabisa kumkata binadamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…