wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. canular

    JamiiForums Tanzania Toeni Hela zenu kwenye Mabenki na mpesa hifadhini hela zenu wenyewe, anguko la uchumi limeingia

    Kama una vihela benki katoe zote, kama una hela M-Pesa toa zote kuwa na hela yako cash soon anguko linakuja, msije sema hamkujua Taarifa ndio hiyo kuwa na hela yako cash utachimbia ndani au kuzificha kwenye madumu fanya hivyo anguko la kiuchumi limeingia ndani ya nchi yetu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Deus Kibamba: Tusimlaghai Rais. Huwezi kujichunguza mwenyewe. Hapa tulipofika tusijichunguze, tuchunguzwe

    Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata mchunguzi huru kutoka nje ya nchi huku akirejelea hotuba ya Rais Samia siku chache zilizopita akieleza...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashiru Ally: Maridhiano sio kati ya serikali na vyama vya siasa bali wananchi wenyewe

    Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi...
  5. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi wenyewe

    Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi Matatizo tuliyokuwa nayo Serikali pamoja na Wananchi tungeyatatua kwa kufuata Sheria za nchi pamoja na za Kimataifa na kuheshimu uwepo wa Mahakama duniani...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hata vita ya wenyewe kwe wenyewe Sierra Leone vilianza hivi hivi

    Mjomba wangu ameniambia kuwa mkwe wake alikuwa anatoka kazini alipigwa risasi ya kichwa amefariki huko Dar. Hakushuriki maandamano wala vurugu lakini ameuawa. Waliouawa bila kushiriki kwenye maandamano ni wengi kuliko hata vijana waliokuwa wanafanya vurugu. Je, polisi walishindwa kupambanua...
  9. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hakuna Jambo baya Kama kujidanganya Wenyewe kwamba Matatizo yetu hatuna Matatizo yapo wasikilizeni Wanataka nini?

    Tuna tabia ya Kujidanganya Wenyewe kwamba hatuna matatizo ni kweli matatizo yapo tena makubwa Sasa hivi wale ambao walikua wanajificha kwenye amani kabla ya Maadamano...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

    GT Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo. Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole. JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tutakuwa na Tanzania bora, leo hatuna nchi imejaa mafisadi wanajitajirisha wao wenyewe. Tupiganie nchi yetu

    Viongozi wote tuliowaamini wakishirikiana na wezi na mafisadi kama akina Rostam Aziz na wengineo wamemaliza utajiri wa nchi, hawana uchungu na nchi yetu, wakati wananchi wa kawaida wanateseka wanakosa hata jinsi ya kupata matibabu. Hao ndiyo wanaotuua kwa sababu wanaogopa maslahi yao...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu

    Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumekucha, Leo Ndio Leo, Ndio Ile Siku Tuliyo Isubiria Sana, Japo Wako 17, Ni CCM, Ni Samia! Huu Ndio Ukweli Wenyewe!

    Wanabodi Hauchi, hauchi, hatimaye kumekucha, leo ndio leo, ile siku ya siku tuliyoisubiri sana kwa miaka 5. Ninachokifanya hapa ni kuwapatia tena jf, ile the jf advantage of being the first to know, kuwa japo kuna wagombea 17 wa urais, ukweli wa mambo, mgombea ni mmoja na chama ni kimoja, ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Shetani apumzishwe tuache kumlaumu katika kila dhambi, vitu vingi tunafanya kwa hiari yetu wenyewe

    Dini zimemfanya shetani awe kapu la kutupia lawama na dhambi zoooote, Binadamu anaonekana kama hatendi kwa hiari, kila anachokosea kuna mkono wa shetani, kama mnyama asie na akili. Mtu kazini kwa maamuzi na starehe yake lakini lawama atupiwe shetani, Shetani ndie aliekwambia uhonge, utongoze...
  15. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Tutakoleza moto waliowasha wenyewe. Na bado

    Mlitaka wenyewe. Na bado. Mliwasha moto msojua kuuzima sio. Siye wakati twauzima nye mlituzuia. Sasa tulieni tukoleze afu mwaja kutuambia nini mwataka. Na bado. Zamu yao wapelekewe moto walowasha wenyewe. Peleka moto Shubash
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Wasomi wameshindwa kutusaidia tutajisadia wenyewe, nipelekeni bungeni

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma ,jini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza Oktoba 19, 2025 kwenye mkutano wa kampeni na wananchi wa Businde namna Mchakato wa yeye kuchaguliwa kuwa Mgombea wa Jimbo hilo kutokana na kiwango chake cha Elimu licha ya...
  17. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Yani nchi ilikuwa hata wanaCCM wenyewe wakitekwa ndugu au rafiki zao wanaogopa kukemea na watu waalikuwa wanaona sawa tu??

    Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
  18. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kama Mlaji siwaelewi Wasanii wanaowabagua kina AI; waache tuchague wenyewe; Case in Point: Emily Blunt among Hollywood stars outraged over 'AI actor'

    Binafsi nadhani burudani mwisho wa siku ipo kuburudisha na sio kuhakikisha mburudishaji mmoja anapata kiasi gani au kukosa kutokana na ujio wa hiki au kile; Ofcourse pale AI inapojifanya mtu fulani bila kutoa Credit nitaelewa muhusika akilalamika ila sio Waburudishaji kuja juu eti hawa AI...
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania The Knowledge Economy Revolution: Vijana Tukiamua Tunajilipa Wenyewe

    Katika dunia ya sasa, knowledge economy ndiyo msingi wa utajiri. Vijana wengi tuna mawazo makubwa lakini hayapati nafasi ya kugeuzwa kuwa tangible income. Nataka tuunde Digital Knowledge Hub—platform ya kusambaza makala, tafiti, e-books, na short online courses zinazotengenezwa na sisi wenyewe...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Lissu hataachiliwa na mahakama wala serikali, bali Mama mwenyewe au sisi wenyewe tukiamua

    Tunafeli hapa: 1. Nani asiyejua Lissu ni mwanzo wa mwisho wa wahuni? Kumbe anaachiliwa vipi ili aje kuwatia wao majaribuni? 2. Anapigwa vipi mwenzetu bila hatia hadharani tukishudia kama kuku wa kideli? 3. Vipi wanachaguliwa hawa wanaopigwa huku tukiangalia tu? Pia soma: GE2025 - Kuelekea...
Back
Top Bottom