Kama imethibitika kwamba Lisu alifanya uchochezi na kuzuia uchaguzi , maana yake uchaguzi 2025 haukufanyika, na kama haukufanyika , hao wanao tuongoza leo wamechaguliwa katika uchaguzi gani!?
Madiwani, wabunge na Rais ,wametokea wapi!?
Maana uchaguzi ulizuiliwa na uchochezi wa Lisu!
Kama...
J
Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo.
Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekanusha kuwahamisha wafanyabiashara wadogo (Machinga) kutoka eneo la One Way kwenda Dodoma Inn kama ilivyoelezwa na wafanyabiashara hao siku ya jana.
Ufafanuzi huo unakuja kufuatia malalamiko yaliotolewa na wafanyabishara hao siku ya jana Ijumaa, 23, Agosti 2026...
Waafrika hatupambani kuwashinda wengine.
Tunapambana kusindikiza wengine.
Waafrika tuna hali ya unyonge(inferiority complex).
Yaani hatuamini kwamba tunaweza kufanya mambo yetu wenyewe, kwa nguvu na akili zetu wenyewe bila kutaka recognition na validation kutoka kwa watu weupe.
Sisi waafrika...
Unazaliwa africa ila africa inavokutendea na kukufanyia au kuona ulipo ni kama sio sehemu sahihi.
Msemo wa wazungu kusema watu weusi ni nyani ulikuwa sahihi kabisa.
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili
Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?
BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani?
Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa
Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
agenda
basata
chama
dhidi
dudu baya
dudubaya
hapo
hawajitambui
kichwani
migongo
mkono
nguvu
sehemu
tafakuri
trauma
ulinzi
ushoga
vita
vita ya ushoga
wanachadema
watanzania
wenyewe
Friends and Our Enemies,
"How you do anything,is how you
do everything"...Dante.
Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani...
Salaam
Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi,
Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na kufata vigezo vyote sijachaguliwa kufanya kazi au Leo sio siku yangu , labda nataka niende sehemu...
Wakuu,
Leo mimi nataka nishee na ninyi jambo moja. Kuna hiki kitu hua kinanishangaza sana. Nimekuja kugundua kwamba kuna watu hawawezi kabisa kukaa wenyewe peke yao.
Hapa naomba nieleweke kwamba kukaa wenyewe yaan mtu ukimwacha dakika 2 peke yake unamkuta amefanya vitu km kichaa fulani vile...
NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia.
Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike?
Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.
Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza.
Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!?
Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na...
Sasa fikiria hizo kelele, ndizo zingeibuliwa pande zote , Kusingekuapo na Mkutano Tena, Bali Fujo Fujo ambazo Serikali na Msajili wangetumia!!.
Sasa wameambiwa kwakua Mkutano umeahirishwa, ni Ama kurudisha Pesa za watu au Kuita Vyombo vya habari kumshambulia Heche
Maria Sarungi ameandika post ambazo zimenifanya nimjue kuwa hana akili sawasawa, hajui mambo mengi sana, wajinga tu ndo wanaweza kuamini post zake. Kwasababu chadema Ina ujinga ujinga na upumbavu mwingi ndo maana wanamtumia sana Maria Sarungi
Anyway ngoja nitoe elimu kidogo.
Viapo vyote...
Iliwahikutabiriwa hii hali ya ccm kuwatesa wapinzani kwa kuwauwa kuwateka na kuwafungulia kesi za uongo. Godbless Lema akiwa mbunge kabla magufuli hajawafanyia uovu aliwahi kusema bungeni haya mnayotufanyia sisi chadema mnadhani yataishia kwetu tu lakini siku mkitumaliza sisi mtauwana na...
Ishu sio kujilaumu kwa mtiririko huu
Ila kujua kweli, ili tujiondoe katika utumwa wa victim mentallity wa kufundishwa kulaumu wazungu huku anaekufundisha kulaumu anatumia mwanya huo kukuminya wenye wewe mwafrika mwenzake.
Truth prevails, truth heals, right?
Tukijua ukweli kuwa kuna jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.