wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Afrika ya kusini dhidi ya waafrika wenzao utawatafuna wenyewe kombe la dunia!

    Waangalie hapa walivyosheheni kwa silaha za jadi: pinde, mapanga, fimbo, marungu wakiwa tayari kuwashambulia waafrika wenzao walioko Afrika ya kusini.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Muungano Huu Shaghalabaghala: Mzanzibari ni Mtanzania, ila si kila Mtanzania ni Mzanzibari

    Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali. Kauli hizo zimekuja wakati kukiwa na mjadala wa kwa nini raia wa upande mmoja (Tanzania Bara/Tanganyika)...
  3. JamiiForums Tanzania Wengi hamuelewi hili ila masingo maza wenyewe wanakuona mwanaume mdhaifu or maybe retard kwa wewe kukubali kuwa step father😁

    Kaa mbali, acha kihere here😁 eti sijui boga na ua lake, hakuna kitu kama hicho, women are weird, bro.
  4. JamiiForums Tanzania Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

    Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke. Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi. Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Angalieni wenyewe siasa nyingi mbipango mibovu

    https://youtu.be/mVPnfyiLJaI?si=yHScuM1kZJdb9zxM
  6. R

    JamiiForums Tanzania Machawa wamemwagwa JF, tuwablock wabaki wanawasiliàna wenyewe mimi nimeblock wawili leo

    Ndiyo dawa yao..Block them wabaki peke yao!
  7. JamiiForums Tanzania Aisee hata simba wenyewe wamebaki wanashangaa🤣🤣

    https://youtube.com/shorts/ckpjnHkqa9E?si=mG_23v6OuBb17h3T
  8. JamiiForums Tanzania Sina neno, jioneeni wenyewe

    Mambo ya kuoa mke wa mtu 😀😀🔥 Natafuta Ajira
  9. JamiiForums Tanzania Kama Yale maandamano ya mapinduzi yangefanikiwa kufika jioni(Giza) nchi ingechafuka mpaka sasa kungekuwa na mapigano/vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Hamjambo! 1. Ingawaje wengi wanakataa hayakuwa mapinduzi. Na serikali haijakiri kwenye ripoti zake. Lakini Mimi Mtibeli nakiri yale yalikuwa mapinduzi yaliyojificha kwenye mwamvuli wa maandamano. 2. Ingawaje sikuona Waandamanaji wenye silaha za Moto lakini Nia Yao ilikuwa ni kuiodondosha...
  10. JamiiForums Tanzania Scholarship za Japan MEXT: Waafrika tunafelishana wenyewe

    Jana Jumanne bhana nikaamka na dhamira moja—kutafuta ukweli kuhusu ufadhili wa MEXT wa Japan. Nilikuwa na ndoto ya kuwasaidia vijana wangu wanne kufungua milango ya elimu ya kimataifa. Safari yangu iliniongoza hadi barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam, nikiwa na matumaini makubwa, ni...
  11. JamiiForums Tanzania Wairan wenyewe ni mashabiki wa US na Israel ila wewe mwenzangu wa daraja mbili unalaani vikali matendo ya mabwenyenye😁😁

    Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi? Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa maana wana wakilisha unyama ulionao ndani yako na unyama wa itikadi mnayo share nao.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimeamini Tanganyika itapiganiwa na Watanganyika wenyewe

    Kwa hali jinsi ilivyo tusitegemee mtu kutoka visiwani au Comoro aje aipiganie nchi yetu Tanganyika Yule asuman wa tume nadhani ni mvisiwan yule ni ngumu SANA kukubal hali ya uchaguzi uliopita ulisababishwa na dada yake kushupaza shingo na ndipo akamchagua yeye kuziba kelele halali za...
  13. JamiiForums Tanzania Nimegundua kila jamii inatabaka, kuna tabaka ambalo walishajichagua wenyewe, tabu na mateso yenu ni ya kwenu wenyewe ingawa hawawezi survive bila nyie

    Atakutesa lakini atakulaumu kwa nini unalalamika unaumia. POLENI SANA. Historia ya masikini inaandikwa chooni, historia ya mshindi inaandikwa kwenye vitabu. Mshana Jr min -me ngara23
  14. JamiiForums Tanzania Ambwene Yesaya (A.Y): Niwe mkweli suala la kutengeneza Mdundo wa Taifa, haliwezekani

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya (A.Y), ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, Aprili 10, 2026 akisisitiza kuwa muziki hauwezi kulazimishwa kuwa na mwelekeo mmoja bali hujijenga na kukua kiasili. AY...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuwa masikini katika karne hii nikujitakia wenyewe

    Nashangaa sana kuona vijana wengi tunaendelea kuwa maskini katika Karne hii ambayo imejaa fursa kibao just imagine watu kama kiboko ya wachawi , na manabii kibao Akina chif godlove wanatajirika kwa ujinga ujinga tu akina mwijaku na wengine wengi kibao alafu kuna akina sisi ambao tunaendelea...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi hili tatizo la njaa Afrika hatuwezi kulimaliza sisi wenyewe?

    Mara nyingi tunaona nchi kama Sudan South Sudan Chad Somalia Burundi Madagascar And some parts of Nigeria Kenya Ethiopia Kila mwaka lazima usikie kutoka hizi nchi kuwa millions wanaface hunger. Kwa nini AU wasijadili jinsi ya kumaliza hili tatizo? Mfano Tanzania huku huwezi kusikia...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake huwa hawaoni kero kuvaa mavazi yanayowatesa wenyewe?

    Unakuta mtu amevaa sketi fupi mwenyewe halafu anaanza kuivuta vuta chini akiwa anakaa au anatembea! Au gauni linapeperuka anahangaika kulirudisha. Wengine unukuta kavaa nguo/juba/dera kubwa mno la kupwa limepitiliza mpaka linaburuta chini halafu anaanza kushikilia tena kwa kuning'iniza mkononi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro na Hatari ya mgogoro wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Wamaasai watarudi maeneo yao na wataanza kuyapigania, hivi ni vipeperushi vitakavyokuwa kwa lugha ya Kiswahili na kiamaasai CCM imetaka kuunda Palestina hapa nchini
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Israel haiwapendi wakristo wakati wenyewe wanaipenda Israel?

    Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe na bendera katika magari yao! Swali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa...
  20. JamiiForums Tanzania Trend mpya Instagram: Wadada wengi wa mjini wamegeuka washauri wa maisha wakiwa ndani ya magari yao wakirekodi video

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…