wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwenye Ndoa zenu kuna watoto wetu. Siku wengine tukicharuka tutakuja kuwadai

    Mimi ni kijana toka mkoa wa Kilimanjaro. umri wangu ni miaka 30s mwishoni. Mchanganyiko wa Kilimanjaro na Singida. Allahmdulillahi nlifanikiwa kupata rangi ya Mtume. Ni mweupe. Nina watoto 4 kwa wanawake tofauti ambao wenyewe wameniambia na wengine wasiopungua wa 3 kwa wanawake ambao wawili...
  2. JamiiForums Tanzania Utekaji wa USA kwa maditekta utafanya maditekta wengine walale sehemu zisizojulikana.

    Ile misheni mpaka maduro anakamatwa ni kwamba walijua ramani ya jengo mpaka stoo ya kuweka chawa wakiwa wanawaponda wapinzani. Kwa kiwango kile lazima kibadilishe mshituo wa mbinu nyengine kwa maditekta sasa katika makazi. Kuna mmoja tokea October 29 aliyofanya usije shangaa kumkuta nyumbani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanaccm wanaoteswa na Samia. Wanaccm wengine 2026 hii pazeni sauti kama Gwajima! Nanyi hamko salama

    1. Humphrey Polepole. Alikuwa balozi, katibu mwenezi wa ccm taifa na mbunge. 2. Geoffrey Mwambe. Alikuwa waziri wa uwekezaji na mbunge. 3. Daniel Chonchoriro. Mjumbe wa mkutano mkuu CCM. 4. Sinda Mseti . Mgombea udiwani kupitia CCM huko Sirari. 5. Gwajima . Alikuwa mbunge (CCM) Jimbo la...
  4. JamiiForums Tanzania TikTok wanaongelea maandamano halafu wamekaa kwenye live kusubiri wengine waaandamane

    Kuna live ya tiktok inaendeshwa watu wote mule anaeongea kazi kulaumu wenzie kisa hawajaikanzisha huku yeye mda huo hajafanya kitu kakaa ndani sijui anasubiri nani akinukishe wazee Kwa staili hiyo acheni kujadili maandamano jadilini uasi huenda mkafanikiwa Kwa asilimia 100% watanzania Sasa hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake nyuma ya pazia kuna wanaume wengine wengi wanao mfatilia

    Usimuamini sana mke wako na hata mpenzi wako , kama una mke basi jitahidi uwe na wake 3 mpaka 4 na ukiwa na mpenzi jitahidi uwe nao kuanzia wa 4 pamoja na michepuko mingi tofauti na hapo ni ngumu, kwa sababu wanawake wa siku hizi hawaeleweki wanatongozwa sana mitaani na hawajui kukataa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo wewe ni dhalimu kama madhalimu wengine.

    Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC. Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania? Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto. Usijifungamanishe na wana Arusha
  7. JamiiForums Tanzania Kuna machawa wengine ni wahaini kabisa...

  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wapambania haki Mitandaoni wana lugha Kali sana na matusi kwa wengine?

    Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock. Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa wengine 34 wa uhaini wafutiwa kesi Tunduma

    Mahakama ya Wilaya ya Momba, iliyopo katika Halmashauri ya Mji Tunduma, Jana imewaachia huru Watuhumiwa 34 wa uhaini, kutokana vurugu za Oktoba 29, 2025. Kwa mujibu wa Mwendesha mashitaka wa Mahakama ya Wilaya ya Momba Ndg. Simon Pelesi alisema kuwa, zoezi hili la watuhumiwa hawa kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa Marehemu Job Ndugai ndio wanafanyiwa wengine sasa

    Waliposhika madaraka watu waliwaonya ila wakaona haya yana wahusu wapinzani na wanaotaka kusema ukweli. Mtakumbuka Marehemu Ndugai alipokuwa spika baada kuona upepo wake na yeye kuwekwa chini ya uwangalinzi ambao hata ukitaka kwenda kwa mchepuko usubiri maagizo. Viongozi wengi sasa tunayo...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kinachovunja watu moyo wa kuandamana ni ile shuruti ya kuandamana, wengine wanaingiza pesa ndefu wakiingia kazini

    Rais Samia hapendwi na mamia ya watanzania, ila sasa kinachofanya watu wasitamani maandamano yawepo wakifikiria suala la maslahi. Wengine wakienda kazini wana uhakika wa kukunja laki 5 na kuendelea kwa masaa machache tu . Sasa suala la kukaa ndani au kuandamana linasababisha mtu kukosa hela ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kama likitokea vyombo vya ulinzi kupinduana tunaweza kukuta vyombo vya ulinzi vitakavyo pingana na wengine ni CCM.

    Mfumo waliofanya CCM ni kama vyombo vya ulinzi ndio wanaviongoza na vina wafuwasi wao ndani. Kuna mda unakuta mtu anakutamkia wazi kama sio mwana CCM hawezi kukuogopa sababu yeye ni polisi, gereza, usalama ,TAKUKURU, uhamiaji na JWTZ
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Eti uhai wa watu ni bora zaidi kuliko mali, mmh! Hakuna mali ya mkatoliki iliyochomwa, zimechomwa za waislam na wakristo wengine

    Huyu Sheikh amempinga Dkt. Kitima kuwa uhai wa watu si bora kuliko mali, laiti zingechomwa mali za wakatoliki wasingesikia matamko kutoka TEC, ila kwa sababu mali zilizochomwa ni za Waislamu na Wakristo wa madhehebu mengine ndio maana matamko. Ameongeza kuwa kama mali za Wakatoliki...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi 10 wa Afrika waliowahi kufikishwa ICC

    BBC. 1. Uhuru Kenyatta (Kenya) Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wazungu hawa hawa ndio tunaowalaumu kwa matatizo yetu au wengine

  16. M

    JamiiForums Tanzania Je,Wajua ?Kuna Watanganyika wenzetu ambao risasi hazingii kwenye miili yao na Kuna wengine kwenye Tafrani hawaonekani

    Kwetu Kuna Mzee mmoja ambaye huwa anafuatwa na Jeshi wa( JWTZ) hasa wakiwa wanaenda kwenye nchi mbalimbali Kwa ajili ya kulinda amani ya nchi husika. Asilimia 100% ya wanaopita Kwa huyu Mzee huwa wanakuja kutoa ushuhuda na ahsante za kutosha Tukutane 09.12.2025
  17. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9: Wengine watatoka kwa hasira za kuuawa na kutekwa kwa Ndugu zao. Eeh MUNGU turehemu taifa letu

    Poleni Sana Ndugu zangu watanzania wa dini na Imani zote zilizopo katika Taifa hili kwa kupoteza Ndugu, jamaa, rafiki zetu wapendwa pamoja na wale waliotekwa Ndugu zao poleni pia. MUNGU akawe mfariji katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Roho za Marehemu zilale mahali pemq peponi
  18. JamiiForums Tanzania Msigwa na wengine mnafaidika na mfumo au faida yenu ni ajira tu?

    Tunaweza kutofautiana kwenye masuala mengi ila linapokuja suala la uhai wa binadamu tunatakiwa kuongea lugha moja. Bado nazidi kuwashangaa waTanzania wenzangu waliokubali kuaminishwa na mfumo kwamba waTanzania waliuliwa barabani kama mbwa ni wahalifu na walistahili kuliwa kinyama...
  19. JamiiForums Tanzania Nakupa wazo la biashara bongo, ukishindwa kulitekeleza liboreshe hapahapa walitekeleze wengine

    Kwema wakuu Unajua watanzania wengi tunakosa maen3o ya kuinjoi, na bqadh ya michezo mingi inayoweza kutufurahisha ni ile ambqxo wengi wetu wqtazamani sio washiriki. Kumekuwa na haja ya watu wazima nao kupata s3hem ya kurelax na ku'fun' Haja hii ya uwepo wa hizi shughul unaniweka karibu na...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nchi ya 'smash and grab' wengine wanagawana miili, wengine wanagawana Madaraka

    Nchi ya maigizo, maagizo, maridhiano, matamko, na mataarifa. Mtakumbuka kabla ya 2015, waandishi wa habari TZ walikuwa wakipata tuzo nyingi za Kimataifa kwa uandishi na ujasiri wao; mtawakumbuka kina Suzan Mungi na wengineo. Baada ya 2015, TZ tuzo za Kimataifa za uandishi ni kama zilienda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…