wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vijana wengine waibukia hospitalini Dodoma kutaka kuuza figo

    Siku chache baada ya uongozi wa Hospitali ya Bugando Mwanza kuelezea kadhia wanayoipata kutokana na vijana kuulizia iwapo wananunua figo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa Dk Alphonce Chandika naye leo Jumatatu Machi 13, 203 ameeleza kuwepo na wimbi la vijana...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini kuna Members hapa JamiiForums hawana Titles za 'Dkt' kama Wengine na bado wana Mvuto, Ushawishi na Kukubalika?

    Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi mkubwa wa Kifikra na Kiuwasilishaji kila wawapo hapa JamiiForums....... 1. adriz 2. Bila bila 3. Daudi...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu mkiwa ni Wataalam, Wabobezi na Mangwena. Asanteni.
  4. JamiiForums Tanzania Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo. Wakati nipo chuo mwaka wa tatu...
  5. JamiiForums Tanzania Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

    Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini? Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
  6. JamiiForums Tanzania Je, Mungu ataumba tena binadamu wengine baada ya dunia kufikia mwisho?

    Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu ku-exist duniani yatapotea kabisa? ======================= Salamu kwa wanajukwaa, nawasalimu wote...
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

    Wakuu, Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya Rais Ruto wa Kenya juu ya kulinda maadili ya nchi hiyo na kupinga hadharani mambo ya ushoga. Lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Majadiliano Juu ya Mahusiano: Jifunze Kutoka Kwa Wengine

    Mada hii inahusu majadiliano kuhusu mahusiano na jinsi ya kujifunza kutoka kwa wengine. Tunaweza kuzungumzia mambo kama vile jinsi ya kuwasiliana na mpenzi wako, jinsi ya kutatua migogoro na jinsi ya kudumisha mapenzi yako. Kila mtu ana uzoefu tofauti katika mahusiano, na kwa kushirikisha uzoefu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Naumia sana nikikumbuka usumbufu wa kaka ulivyomfanya mama awe analia na kupata stress, wengine mpo ambao mliona mama anakosa raha kisa mtoto?

    Ilikuwa 2005 hai 2007 wakati kaka akiwa na miaka 16 hadi 18, alikuwa anamfanya mama alie sana na mimi nilikuwa najisikia vibaya sana kumuona mama analia machozi na kupiga ukunga wa maumivu, very painfull! Kaka alihamishwa shule kibao kwa utoro, uhuni, n.k. Alijiunga na makundi mabovu ya wavuta...
  10. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Sumbawanga pigo jingine kwa wale Wengine

    Mwenye macho haambiwi tazama: Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo. Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia. Mungu Ibariki CHADEMA.
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ma waajiri wengine wangetoa mshahara hata mara mbili kwa mwezi ili shughuli za kiuchumi zisiwe zinadorora

    Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu. Ili walau biashara na mzunguko wa pesa uwe mzuri mwezi wote serikali na waajiri wengine wangefanya...
  12. JamiiForums Tanzania Zitto zuber kabwe na chama chake ndie pekee ameonyesha ana hoja za msingi!! Wengine ni visirani na makelele TU !

    Tumeona uzinduzi wa kampeni za vyama pendwa vya siasa! Chadema wameanza ,wakaja cuf na kumalizia na act wazalendo!! Nilichojifunza ni kwamba act wazalendo wanakaa chini na kuandaa hotuba zao !! Utaona kuanzia msemaji wa kwanza mpaka wa mwisho hoja zao zimepangiliwa na zinaeleweka sana ! Zinagusa...
  13. JamiiForums Tanzania Kontawa (lyric genius )Atadumu kwenye game au nae atapotea kama wengine..!?

    Ndani yake huyu jamaa namuona Godzilla(RIP). Ni ngumu sana mapengo kuzibwa ila nimemfuatilia huyu kijana ni genius wa kuandika.. hatumii nguvu nyingi sana,,hakuna kiki za kijingajinga hakuna teaser(vionjo) vya kupima upepo kama wafanyavo wengine. Anatoa kazi anaachia kazi.. kizuri chajiuza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, hili la kuhusu 'Uume' hutokea na kwa Wengine? Na inatokana na nini?

    Unakuta Wewe Mwenyewe kabisa ukijiangalia na hata Kujipimia Kimoyomoyo Maumbile yako ( Uume wako ) ama unauona ni mdogo au wa Kawaida lakini kila Mwanamke unayekutana nae ataulalamikia kuwa ni Mkubwa, huwa Unawaumiza na hata ukitaka kuwa nao tena Wanakukwepa. Je, kuna Uwezekano kwa Macho yako...
  15. JamiiForums Tanzania 40% ya Wagonjwa wanaotibiwa Saratani Hospitali ya Bugando ni Wanawake wenye Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi. Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI Anaandika, Robert Heriel Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
  17. JamiiForums Tanzania Share hapa ushuhuda kama uliwahi kufikiria / kujaribu kujiua na ulichojifunza kinachoweza kusaidia wengine

    Miaka 10 iliyopita kuna kipindi nilikuwa nimejiandaa kujiua, nilipanga kabisa muda na siku, nilishaandika hadi barua. Sintosahau 2013 nilivyotaka kujiua nikiwa nimeshamaliza form 4 matokeo yametoka na nimefeli, nyumbani nipo nipo tu kama zigo, wazazi walilalamika kachoma pesa kunisomesha kwa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto na wengine hubaguliwa?

    Kwema WanaJF, Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu na CHADEMA watautafuna mfupa uliowashinda wengine

    Mheshimiwa Lissu kaingizana nchini jana kama farasi wa ngongo. Mapokezi yake tu ni ishara tosha kuwa huyu ni mtu wa namna gani kwa watu wake. Kwenye hotuba yake mara tu baada ya kuwasili, anawaongelea waziwazi watanzania wote. Matatizo ya bei za vyakula, mzigo wa matozo na kodi ni shida kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA imejengwa na mabilioni ya Mbowe nyie wengine mmechangia nini?

    Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake. Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…