Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo.
Wakati nipo chuo mwaka wa tatu...
Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini?
Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu ku-exist duniani yatapotea kabisa?
=======================
Salamu kwa wanajukwaa, nawasalimu wote...
Wakuu,
Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya Rais Ruto wa Kenya juu ya kulinda maadili ya nchi hiyo na kupinga hadharani mambo ya ushoga.
Lakini...
Mada hii inahusu majadiliano kuhusu mahusiano na jinsi ya kujifunza kutoka kwa wengine. Tunaweza kuzungumzia mambo kama vile jinsi ya kuwasiliana na mpenzi wako, jinsi ya kutatua migogoro na jinsi ya kudumisha mapenzi yako. Kila mtu ana uzoefu tofauti katika mahusiano, na kwa kushirikisha uzoefu...
Ilikuwa 2005 hai 2007 wakati kaka akiwa na miaka 16 hadi 18, alikuwa anamfanya mama alie sana na mimi nilikuwa najisikia vibaya sana kumuona mama analia machozi na kupiga ukunga wa maumivu, very painfull!
Kaka alihamishwa shule kibao kwa utoro, uhuni, n.k. Alijiunga na makundi mabovu ya wavuta...
Mwenye macho haambiwi tazama:
Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo.
Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia.
Mungu Ibariki CHADEMA.
Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu.
Ili walau biashara na mzunguko wa pesa uwe mzuri mwezi wote serikali na waajiri wengine wangefanya...
Tumeona uzinduzi wa kampeni za vyama pendwa vya siasa! Chadema wameanza ,wakaja cuf na kumalizia na act wazalendo!! Nilichojifunza ni kwamba act wazalendo wanakaa chini na kuandaa hotuba zao !! Utaona kuanzia msemaji wa kwanza mpaka wa mwisho hoja zao zimepangiliwa na zinaeleweka sana ! Zinagusa...
Ndani yake huyu jamaa namuona Godzilla(RIP). Ni ngumu sana mapengo kuzibwa ila nimemfuatilia huyu kijana ni genius wa kuandika.. hatumii nguvu nyingi sana,,hakuna kiki za kijingajinga hakuna teaser(vionjo) vya kupima upepo kama wafanyavo wengine.
Anatoa kazi anaachia kazi.. kizuri chajiuza...
Unakuta Wewe Mwenyewe kabisa ukijiangalia na hata Kujipimia Kimoyomoyo Maumbile yako ( Uume wako ) ama unauona ni mdogo au wa Kawaida lakini kila Mwanamke unayekutana nae ataulalamikia kuwa ni Mkubwa, huwa Unawaumiza na hata ukitaka kuwa nao tena Wanakukwepa.
Je, kuna Uwezekano kwa Macho yako...
Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi.
Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI
Anaandika, Robert Heriel
Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
Miaka 10 iliyopita kuna kipindi nilikuwa nimejiandaa kujiua, nilipanga kabisa muda na siku, nilishaandika hadi barua.
Sintosahau 2013 nilivyotaka kujiua nikiwa nimeshamaliza form 4 matokeo yametoka na nimefeli, nyumbani nipo nipo tu kama zigo, wazazi walilalamika kachoma pesa kunisomesha kwa...
Kwema WanaJF,
Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka...
Mheshimiwa Lissu kaingizana nchini jana kama farasi wa ngongo. Mapokezi yake tu ni ishara tosha kuwa huyu ni mtu wa namna gani kwa watu wake.
Kwenye hotuba yake mara tu baada ya kuwasili, anawaongelea waziwazi watanzania wote. Matatizo ya bei za vyakula, mzigo wa matozo na kodi ni shida kwa...
Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake.
Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
Mbowe ameweza kupambana na watu wengi wa mfumo chinichini Bila kuonyesha adharani mashinikizo yake. Waliobomoa Mashamba yake huko Hai wote wameondolewa kwenye mfumo, viongozi waandaminizi waliokuwepo wakati ananyanyasika nao wametupwa nje Kwa fedhea. Walioitwa viongozi WA dola waliamini mfumo...
Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu.
Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.