wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hawa hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja

    Uwezo wao wa kupambanua mambo na kupangua hoja ni mdogo sana. Ni kama hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja. 1. Mary Chatanda kashindwa kabisa kuitumia platform ya yeye kuwa mwenyekiti wa UWT kuwashawishi wanawake kwa hoja kumchagua mgombea urais wa ccm kwenye uchguzi mkuu wa 2025...
  2. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea? Ihefu FC waliofungwa wamekubali ila wengine ndio wanaumia!

    Sijajua Simba SC mchezo ujao anacheza na nani ila namuonea huruma kwani ule mpira nilioucheza dhidi ya Al Ahly FC kwao na Waarabu kuutafuta muda mwingi kwao (hao nitakaokutana nao NBC Premier League) baada ya jana kumfunga mbabe wake mtu naenda kuucheza maradufu yake na nikimsamehe sana napiga...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kama si Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na wazalendo wengine haya yasingetokea

    - Ukomo wa mkataba umekua miaka 30 tofauti na IGA ambayo haikua na ukomo. -DPW imepewa magati manne tu (no.4 hadi no.7) tofauti na awali ambapo ilipewa magati yote. - Gati no.0 hadi no.3 yataendeshwa na TPA kwa kushirikiana na DPW. Na gati no.8 hadi no.11 yatatafutiwa mwekezaji mwingine. -...
  4. JamiiForums Tanzania Momba: Kila Familia/Vijana ni lazima kulima Korosho na Ufuta

    Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote...
  5. JamiiForums Tanzania Simba ndio timu peke Tanzania kupata nafasi ya kuanzisha mambo,na wengine hufuata baadae.

    Ni karama itokananyo na bidii,haiji hivihivi. Simba ndio timu pekee kwa Tanzania kupata nafasi nyingi za kuweka historia.kisha timu nyingine hufuata baadae sana. Mfano,kombe la Afrika mashariki lilipoanzishwa timu ya Simba kwa tanzania Ikawa ya kwanza kulitwaa. Simba Ikawa ya kwanza kuingia...
  6. JamiiForums Tanzania Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

    Toka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa mkubwa zaidi. Saudia iko wap na uwezo wake? Qatar je kwann wasitoe hata vifaa? Misri jirani kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa wanapiga Jalamba muda wote. Kocha anaingiza uwanjani wachezaji wengine

    Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani. Wewe anakuacha unaendelea kupasha misuli moto. Anasimama tena akimuita mchezaji mwingine atoke. Unakenua meno kuwa sasa ni zamu yako...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe mataifa yanayokalia wengine nayo yanakaliwa na kijipande kidogo cha ardhi kiitwacho Israel!

    Kwa waliofuatilia mgogoro wa Israel na Palestina na namna mataifa koloni na makubwa yanavyojipendekeza na kujivua nguo, bila shaka kuna siri ambayo dunia inapaswa kuifanyia kazi. Ni kama wanakwenda Israel kuonyesha nadhiri zao kama wanaogopa kitu fulani. Baya zaidi, hata waarabu amabao ndugu...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wanamkubali sana Mwamposa Bulldozer kuliko wachungaji/ Wahubiri wengine

    Nimefanya utafiti mdogo tu ,jinsia ke inamuamini sana Mwamposa Bulldozer kuliko watumishi wa Mungu wote.Nini kipo nyuma ya pazia?
  10. JamiiForums Tanzania Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

    Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari? Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine. Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui. Issue...
  11. JamiiForums Tanzania Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

    Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi. 👉Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama. Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series. 👉Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja. Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me...
  12. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Baada ya Kumsajili ili Kuwakoga Wengine na Kumlazimisha aibusu Logo yao mbaya, sasa anataka kuwapeleka FIFA kwa Kukiuka Malipo ya Kimkataba

    Nyie mlidhani kwakuwa ni Mlevi na mvuta Bangi za Kwao Kinondoni Biafra, Kawe Kijiwe chake maarufu cha Unga Unga na Tandale Gereji wa Dula basi hajui Haki zake na Sheria hivyo mtamburuza tu mtakavyo? Haya sasa kawapeni hadi mwisho wa Mwezi huu wa Oktoba, 2023 mumlipe Fedha zake anazodai na...
  13. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia India: Mambo yanayomtofautisha na wapiga porojo wengine

    Ziara ya Rais Samia Nchini India imekuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa kwake binafsi in personal Kwa Kutunukiwa tuzo lakini Kwa Taifa kutokana na kusainiwa Kwa Hati 14 katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi na Kijamii. Nitatoa mfano wa sekta ya Kilimo.Kupitia ziara hiyo Serikali ya Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Mbona wengine wanajulikana Kitambo tu 'Kusagana' na Wanawake maarufu na Kuwahonga Pesa na Mali Dar, Arusha na Dodoma na hamuwakemei?

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo. Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi...
  15. JamiiForums Tanzania Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

    Moja kwa moja kwenye mada. Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu. Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika...
  16. JamiiForums Tanzania Simba hii michezo mliyoanza ya kuhonga marefa ili mshinde mechi itawapalia muda si mrefu, mmeanza wengine watamaliza na pasiwepo kelele!

    Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha ni wapi tunaelekea na klabu kinachokwenda kuiwakilisha nchi kimataifa! Mpaka Sasa sijaelewa mwamuzi alikataaje goli la singida na kuamuru kuwa ni offside, ukirejea kuangalia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

    Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde. Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu Sumbawanga Manispaa

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu sumbawanga Manispaa na wengine. Akiwamo Engineer na Afisa Manunuzi kwa matumizi mabaya ya pesa za miradi. ===== Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuwasimamisha kazi aliyekuwa Mganga Mkuu wa Manispaa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mhagama: limeni sana mahindi ili muweze kuongeza wake wengine!

    Akizungumza na wakazi wa baadhi ya vijiji mkoani Ruvuma, bi Jenista amesema mahindi Kwa sasa ni zao la biashara linalowapatia wananchi fedha nyingi. Maana mahindi Kwa sasa si zao la chakula pekeee kama walivyozoea zamani, bali pia ni zao la biashara hivyo wanapaswa kulima Kwa wingi ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…