wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona sehemu ina fremu yenye PS tafuta kwengine kama kuna mbadala ! Frem za PS nyingi zinafuga wezi, zinavunjwa na huchochea wengine kuibiwa

    Vibanda vya games vya mtaani, hasa fremu za PS, ni sehemu zinazopendwa sana na wezi Wateja hao baadhi wakiwa wezi hupenda kupumzika vibanda vya ps lakini pia kufuatilia mazingira ya kutafuta mianya ya kuiba. Ndio maana fremu za PS zimkuwa na matukio mengi ya kuvunjwa na wezi, na wakati...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni familia za Maraisi tu hazigusiki wengine wote ni mafisi na machawa

    CCM ni familia za Maraisi tu hazigusiki wengine wote ni mafisi na machawa. Kama sio chawa basi wewe ni fisi mwoga. Watu ambao wanajiamini ni familia za Karume, Mwinyi, Samia na Kikwete.
  3. JamiiForums Tanzania Wakati Nuhu Anajenga Safina ya Kujikinga na Mafuriko, Wengine Walikuwa Wanakula, Kunywa na Kumcheka! Kama Hivi Leo.

    Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, wana-JF! Asubuhi ya leo, nataka niongee na mtu mmoja ambaye moyo wake umelala. Nataka niongee na jamii ambayo imezama kwenye dharau, anasa, na kiburi, ikisahau kuwa Mbingu haijawahi kudhihakiwa. Nataka nikurudishe kwenye Kitabu cha Mwanzo 6 na 7, mahali ambapo...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Jambo linalokera hata wewe una lako ila pia jitahidi usiwe kero kwa wengine

    kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa. kama unakera jua unakerwa pia. je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au mbili n.k. YANGU: UNAMWITA MTU NJOO AU KARIBU TULE . UNASHANGAA KAENDA CHOONI, AU ANAPENGA KAMASI...
  5. JamiiForums Tanzania Ujasiri Binadamu kueleza wa Aibu za Wengine

    Binadamu ndiye kiumbe mwenye ujasiri wa kukusomea kwa sauti ukurasa mmoja wenye ushahidi wa aibu yako hadharani lakini hawezi kabisa kufungua kurasa nyingi zenye fedheha kwenye kitabu chake mwenyewe.
  6. JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    KARIBU KWENYE MADA WANA GREAT THINKERS 🧠 ☕️ Unaweza vipi kusoma mawazo ya mtu mwingine au kujua kinachoendelea kwenye akili yake? Unaamini kama kuna watu wanaoweza kusoma akili au mawazo ya watu wengine? Unadhani ni nini huwa kinatokea pale mtu anapoona maandishi ya mtu au akiwa kwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijana waliotoka JKT walifundishwa kuhusu kutoshiriki maandamano? Baadhi ya vijana wanatishia wengine

    Kuna vijana watu walikuja kumsalimia kijana wangu, kwa bahati mbaya sikua nimewasikiliza mwanzo wa mazungumzo yao ila nikuta wakiwa kwenye ajenda ya maandamno, wakidai kuwa wameambiwa walinde amani. Vijana hao walikuwa kambi ya Kibiti, nikawahoji kwa nini kulinda amani, wakanijibu kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa wakuu Natafuta Ajira,Xi jinping na wakuu wangu wengine wamefika bei?

    Najiona tumebaki wawili ama watatu tu kwenye hii vita ya kusema ukweli pasina kupindisha maana tunaamini katika kweli maana kweli humuweka mtu Huru Daima. Nashangaa sioni thread tena za wapigania kweli Hawa Xi Jinping Natafuta Ajira na wengine. Je mmekubali pesa za single mother? Pesa Chafu...
  9. JamiiForums Tanzania Dear Mange na wanaharakati wengine wa mtandaoni

    Kwanza kabisa, heshima kwa kazi mnayofanya. Kiukweli mmeziba gap kubwa sana kwenye mapambano dhidi ya dhulma, ufisadi, uonevu, uchawa, watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa. Zamani sehemu kubwa ya kazi hii ilikuwa inafanywa na wanasiasa. Wakati nafasi ya kufanya siasa ilipobanwa, wanaharakati wa...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Hao 'wengine watatu' ni kina nani? Au ataenda kuwatajwa akiingiziwa spoko sehemu za siri?

    https://www.instagram.com/p/DdOPhefAU0w/?stkn=MWgyZ3U3bWs2dTRtaw==
  11. JamiiForums Tanzania Kiswahili Kigumu!: Kitu Kikiwa Chako Peke Yako, Ndio Chako, Kikiwa Chako na Wengine, Sio Chako, ni Chenu, ana Akiwa Mtu Sio Wake ni Wao!.

    Wanabodi, Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
  12. JamiiForums Tanzania Ukishakuwa mwenye umri wa miaka 29 hadi 40, ndio utaelewa kindaki ndaki kwa nini wanaume wanajitoaga uhai wao au wengine kugeuka vichaa.

    Niwatakie ustawi, haswa wa afya ya akili.
  13. JamiiForums Tanzania Tigo App yangu imedukuliwa, Wengine vipi?

    Siku ya tatu leo , mtandao ya Tigo a.ka MIX by Yass haupatikani, ukitaka kuingia kwenye App ni kama mdukuaji na huwezi fanya transaction. Wenzangu nanyi mnapata changamoto hiyo au mimi bibi yenu pekee?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanmke usilinganishe ndoa yako na ndoa za wengine

    Kila ndoa ina hali na mazingira yake, hivyo mwanamke hapaswi kupima maisha yake kwa kulinganisha na yale anayoyaona kwa wengine
  16. JamiiForums Tanzania Linda Attention Yako: Usiwanufaishe Wengine!

    Kama Usipojifunza kuchunga attention yako au nini cha kuzingatia na nini cha kukipuuza , watu wengine wataitumia attention yako kutengenezea utajiri wao .
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ama kweli tunatofautiana , Mfanyabiashara umehaso hatimae una bilioni 10, unaendelea kuhaso kumfurahisha nani ? wengine tukizipata tunastaafu mapema

    Ama kweli tunatofautiana. 😂 Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa. Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Kenya waandamana wakitaka Besigye, Lissu na wapinzani wengine waachiliwe

    Nairobi, Kenya. Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya wameandamana katika mitaa ya Nairobi wakitaka Serikali ya Uganda kumuachilia mara moja kiongozi mkongwe wa upinzani, Dk Kizza Besigye, huku wakitaka pia Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki kuwaachilia viongozi wa upinzani...
  19. JamiiForums Tanzania Yanayotokea maishani mwetu sio nyota wala roho bali ni matokeo ya michakato ya maamuzi yetu, maamuzi ya watu wengine na reaction ya nature.

    Hakuna anaendesha maisha yako Kimazinga ombwe Hakuna anaeamua ni kiasi gani upate na kiasi gani ukose Hakuna faraja ya kimazingara au muujiza kwa anaenyanyaswa Hakuna adhabu ya kimazingaraa au muujiza kwa anaekunyanyasa Sheria zinatungwa na alie na nguvu Uimara wa akili yako ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Mine me, Baba wa mbingu, Seran, Mshana Jr na wengine

    Habari za leo? Wapendwa ningependa kuwe na utaratibu wa member mmoja wa Jf labda kila alhamisi achaguliwe ili members wa humu tuwe free kumuuliza chochote na ajibu postive. Ishu binafsi ambazo zinaweza kumuanika uhusika wake anaweza asizijibu. NINGEPENDELEA TUANZE NA HAO TAJWA HAPO JUU MAANA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…