waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eisenkot Anakwenda Kuwa Waziri Mkuu Wa Israel.

    Israel imepoteza ushawishi mkubwa duniani kote, kiasi kwamba hata Wayahudi wa Marekani wanapinga serikali hiyo ya Kizayuni. Hatua za wanasiasa wa Israel za kufanya mauaji ya kikatili pale Gaza, imepelekea Wayahudi wengi kuchukiwa na kutukanwa na hata kupigwa huko Ulaya na Marekani, kwani sasa...
  2. H

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba aahirisha bunge

    Leo nimewasilisha hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Tano wa Bunge la 13, jijini Dodoma, nikisisitiza uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma na utekelezaji wa maazimio ya Bunge. Fedha za umma ni kodi za wananchi. Chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tutaendelea...
  3. Waziri mkuu wetu anavaa Tai ya rangi ya Bendera ya Tanzania mpaka kwenye vibao kata na Harusi jamani?

    Hayo ni maisha binafsi,waziri Mkuu anayo nafasi ya kuvaa apendavyo jamani kwa nini kila pahala anavaa na bendera ya taifa aise?
  4. Hana amani na urais wake mpaka anawakilishwa harusini? Waziri Mkuu anatakiwa kutumwa kwenye harusi?

    Tunakoelekea waziri Mkuu na Makamu watatumwa mpaka kwenye vibao kata, ili hali sio shughuli za kiserikali. Ila sishangai maana Kizimkazi festival, huwa inasababisha watumishi wa umma wote kufunga ofisi za umma na kwenda kukata viuno kule Zanzibar Kizimkazi ili mama afurahie mauno ya watumishi...
  5. A

    Ado Shaibu amembana Waziri Mkuu kuhusu katiba mpya

    Leo katika kikao cha Bunge la 13 mheshmiwa Ado Shaibu ameuliza kwa ukaribu kwa Waziri Mkuu kuhusu katiba mpya. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amejibu kuhusu swali la Ado Shaibu na kusema “hoja ya Ado Shaibu sio hoja mpya, serikali imetoa tamko mara kadhaaa na ni hoja ambayo ina uzito na umuhimu...
  6. H

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  7. Waziri mkuu Mwigulu Nchemba tuangalie mustakabali wa vijana wetu

    ▪︎ Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana ▪︎ Ashawishi matumizi ya Kiswahili kwenye mikutano ya jukwaa hilo▪︎ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Afrika kwa umoja wao waangalie mustakabali wa vijana wa bara hilo kwa vile wana uwezo mkubwa licha ya...
  8. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Urusi na Afrika

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi. Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana...
  9. Waziri mkuu kumwakilisha rais Dkt. Samia mkutano wa Afrika na Urusi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 27, 2026, ameelekea Moscow, nchini Urusi, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi utakaofanyika Oktoba 28–29, 2026. Mkutano huo utakaowakutanisha viongozi wa...
  10. Kwa nini Wayahudi watamchagua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu?

    Hizi ni baadhi tu ya sababu zinazonifanya nimchague Benjamin Netanyahu: 1. Alirejesha mateka wote. 2. Alimwangamiza Nasrallah. 3. Alimwangamiza Yahya Sinwar. 4. Alimwangamiza Ismail Haniyeh. 5. Alimwangamiza Mohammed Deif. 6. Alivunja muundo wa uongozi wa Hamas na Ali waangamizwa maelfu ya...
  11. Mwigulu akemea vitendo vya kujichukulia sheria mkononi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekemea vikali vitendo vya baadhi ya wananchi kujichukulia sheria mkononi na kuvielekeza vyombo vya dola kuchukua hatua stahiki na kali kwa wote watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo. Aidha, Waziri Mkuu amewataka viongozi katika ngazi za vijiji na kata...
  12. waziri mkuu Mwigulu Nchemba arejea nchini akitokea marekani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la...
  13. H

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa kilimo barani Afrika katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des...
  14. H

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya - Waziri Mkuu Nchemba

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya chakula. Na zaidi ya yote, tuwekeze katika uwezo wa kilimo barani Afrika. Kwa kweli, kabla ya njaa haijatushinda, tuchukue hatua, tuwekeze na tuvumbue pamoja. Tujenge...
  15. Waziri Mkuu: Usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inauchukulia usalama wa chakula kuwa sehemu muhimu ya usalama wa taifa na msingi wa kudumisha uthabiti wa uchumi. Amesema upatikanaji wa chakula na lishe ya uhakika una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi na kuiwezesha Serikali...
  16. Bagamoyo: Serikali yatekeleza maelekezo ya Waziri Mkuu kutatua changamoto za Wananchi

    Utekelezaji wa maelekezo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuhusu changamoto zilizoibuliwa na wananchi wakati wa mkutano uliofanyika tarehe 16 Oktoba 2026, unaendelea kwa vitendo Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Wataalamu wa sekta ya Ardhi...
  17. Waziri Mkuu ateta na Makamu wa Rais wa IFAD

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Dkt. Geraldine Mukeshimana na kujadiliana naye masuala ya kilimo, uvuvi na uchumi wa bluu. Mazungumzo hayo yalifanyika jana (Jumanne, Oktoba 20, 2026) kando ya Mkutano wa Kimataifa...
  18. Waziri Mkuu akutana na mshindi wa tuzo ya chakula duniani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na mshindi wa Tuzo ya Chakula Duniani ya mwaka 2026, Bw. Huub Lelieveld, Oktoba 20, 2026, katika ukumbi wa Iowa Events Center, jijini Des Moines, nchini Marekani. Katika mazungumzo hayo, Waziri Mkuu amemweleza hatua zinazochukuliwa na...
  19. H

    Waziri Mkuu awasili Marekani kumwakilisha Rais Samia katika mkutano wa Boralaug

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗠𝗪𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗕𝗢𝗥𝗟𝗔𝗨𝗚 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Des Moines, Jimbo la Iowa, nchini Marekani, Oktoba 18, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa...
  20. Waziri mkuu kumwakilisha Rais Samia katika mkutano wa kimataifa wa Norman E. Borlaug Marekani

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Jumamosi, Oktoba 17, 2026, kuelekea jijini Des Moines, Jimbo la Iowa, nchini Marekani, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…