wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu wazazi wetu

    Sema ile kauli ya "Sitaki watoto wangu waje kuishi maisha kama niliyoishi mimi" Kwa namna moja ama nyingine huwa tunawakosea sana wazazi wetu. Walijitahidi sana kutupa Kila kitu kwa nafasi zao na walicho jaaliwa 📌
  2. JamiiForums Tanzania Wazazi tunaochapa watoto under 3 years tukutane hapa

    Wataalamu tunaomba mwongozo wa kudispline watoto maana waziri amecharuka huko. Kumbe tunafanya uhaini
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Free Education ama ni Story Tu? MPs Wafichua Ksh77B Hole Wazazi Sasa Wabebe Mzigo?”

    Kenya iko kwa dilemma kubwa sana kwa sector ya education. MPs sasa wanauliza swali direct—is education still free or ni slogan tu? Hii inakuja baada ya Basic Education PS Julius Bitok kufichua kuwa kuna underfunding ya karibu Ksh77 billion kwa secondary schools. Kwa ground, reality ni tofauti...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtoto wa kiume miaka 33 upo Kwa wazazi unakula ugali wa shikamoo

    Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Wazazi wa NILSA watofautiana ishu ya michango

    “Baada ya Kifo cha Nilsa: Wazazi Watofautiana Kwa Pesa za Michango!” 🤔💔 Inadaiwa kuwa kwa sasa kuna sintofahamu kubwa kati ya Baba na Mama wa marehemu Nilsa, kufuatia tuhuma nzito za matumizi mabaya ya fedha za michango ya matibabu ya mtoto wao. Mtoto Nilsa, ambaye alizaliwa na kuishi na...
  6. JamiiForums Tanzania Wazazi tubadilike, tuache kuwapa watoto majina ya kizamani. Kuna majina yamepitwa na wakati

    Kuna majina kwa sasa hayafai kuwapa watoto maana yameshapitwa na wakati. Embu jaribu kufikiria unakutana na mtoto wa mwaka mmoja anaitwa Mwanne, Tatu, Yona, Bartholomew, Juma,Shabani ,Hamisi,Isaya ,Jumanne, Wengine ndio hao akina Selemani ,Sikudhani, Rajabu, Paulo, Fatuma ,Ashura,Rehema, Pius...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha Watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza. Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10. Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa dukani thamani yake laki 7 tu. Hivyo hivyo kwa wazazi. Mtoto primary analipiwa ada kwa mwaka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mahari zinafika milioni 7? Wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kutoolewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda

    kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7 wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Watu Wanafanya Kumbukizi ya Vifo vya Watu Wengine Lakini vya Wazazi Wao Hawafanyi

    Sasa usipowapenda ndugu zako na kujifanya unawapenda ndugu wa wengine ni unafiki na sala isiyokuwa na baraka. Upendo huanza nyumbani.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kusajili mali zako kwa jina la wazazi na/au ndugu zako wakati una mke/wake na watoto?

    Kuna hii tabia inazidi kutrendi, mtu ana familia yake yenye mke na watoto lakini anasajili mali kwa majina ya wazazi na ndugu zake. Ni sawa?
  11. JamiiForums Tanzania TCRA: Wazazi msiwanyang'anye Watoto simu, fuatilieni wanachofanya, ulinzi wa mtoto mtandaoni ni mazungumzo

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii. Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
  12. JamiiForums Tanzania Rombo: vibinti vidogo kurubuniwa kutoka Kwa wazazi na kwenda kuuza Bar mpakani

    Vibinti vidogo umri chini ya miaka 17, wamekuwa wakirubuniwa na baadhi ya wafanyabiashara waliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania na kwenda kuuza Bar. Maeneo haswa yanayotajwa kushamiri kuwa na wimbi la mabinti wadogo wanaouza Bar ni Tarakea na Mashati Watoto hao wamesena kuwa wafanyabiashara...
  13. JamiiForums Tanzania Wazazi msiweke wazi shida zenu kwa watoto wimbi la kupotea na kujinyonga linaongezeka

    Habarini wapendwa za jioni Nimeona tukumbushane kidogo Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha Hawa watoto watatu Wote waliandika barua ..kwa wazazi wakimwomba mungu atatue shida za wazazi wao ikiwemo pesa za ada shule na pesa za marejesho Kwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awakomba Maelfu ya Vijana Mitaani Na kuwapa Ajira Nono serikalini. Ni Tabasamu na Furaha tu kwa vijana na Wazazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika vijana wa Taifa hili wana kila sababu ya kumshukuru Rais Samia ,wana kila sababu ya kuendelea Kumuunga mkono ,wana kila sababu ya kumuombea Maisha marefu ,wana kila sababu ya kusema asante Mama kwa moyo wako wa upendo na huruma kwa vijana . Mama na Rais wetu...
  15. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?

    Wakuu, naombeni experience zenu hapa chini! Mdahalo huu unalenga tafakari ya kina kuhusu nafasi ya familia katika maisha ya mtu. Swali ni “Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?” Kuanzia malezi, upendo, changamoto, maadili, na...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwaeleza wazazi wako kiasi cha mshahara unachopokea?

    Wakuu, nimepata kazi! 🎉 Lakini baada ya furaha yote, dada yangu ameniambia kuwa ni lazima niwaambie wazazi wetu kiasi cha mshahara wangu ninachopokea. Akaniambia, “La sivyo, itaonekana unawadharau.” Hapo ndipo swali moja lilipoanza kuzunguka kichwani mwangu… Hofu imenijia: je, ni sahihi...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

    Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ? Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye huu msimu wa sikuku Wazazi tutunze Hela za Ada za watoto wetu hapo January si vizuri mzazi kuwa na maelezo mengi shuleni ya kukosa ada

    Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu. Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla. Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania tufanye kazi miaka 20-40 si miaka ya kuishi kwa wazazi au kulelewa na mtu Fulani

    Huu ni msimu wa kilimo kwenye maeneo mengi ya mikoa ya Tanzania, hebu ndugu zangu watanzania tutafute maeneo tulime, Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassani anagawa mbolea za ruzuku za kutosha huku mikoani. Miaka 20 - 40 si miaka ya kuishi kwa kumtegemea mtu, au kuishi kwa kubet au kuishi kwa kulelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…