wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mwanafunzi ajitoa ujauzito kwa kijiti

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo. Imeelezwa mwanafunzi huyo alipata ujauzito huo wakati akiwa nyumbani akisubiri matokeo ya kidato cha...
  2. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Mzozo wa Tigray kutenganisha Watoto na Wazazi wao

    Shirika la hisani la 'Save the Children’ limesema zaidi ya watoto 5000 watenganishwa na wazazi wao kutokana na mapigano yanayoendeleo jimboni Tigray. Shirika limeeleza watoto hao wako katika hatari ya kupata njaa, kunyanyasika kimwili na kingono. Mashariki ya kibinadamu yameshindwa kufikia eneo...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu leteni maoni yenu hapa

    Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end! 1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi! 2. Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass! 3. Aanze kuuza uji...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza umri wa Utegemezi kwa Wazazi kutoka miaka 18 hadi 21

    Rais Samia amesema kuanzia sasa umri wa mtoto atakayeruhusiwa kuwa mtegemezi kwa wazazi ambao ni wafanyakazi umeongezwa kutoka miaka 18 hadi 21. Hivyo mtoto wa miaka 21 atanufaika na marupurupu ya utegemezi kutoka kwa mzazi wake mathalani matibabu. Kazi Iendelee!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Mbunge Bashiru Ally, PhD

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu. Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali. Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nakwenda kutambulishwa kama mchumba ukweni

    Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu sana haya ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu wakumbuke watumishi wa CCM wanaoteseka kwa dhiki haswa wale wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM

    Naamini sijakosea kukuita Mwenyekiti mpya wa CCM, leo siku moja kabla ya uthibitisho wako. Naamini utakuwa ndiye tena kwa kura zoote, ni suala la muda tu. Mheshimiwa Mwenyekiti naomba nikueleze kuwa wako waliokuwa watumishi ndani ya CCM na hasa katika shule zilizokuwa chini ya Jumuiya ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

    Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye koti la rangi ya chungwa aliwapotea wazazi wake akiwa kwenye Shopping Mall

    Madhara ya kunyonyesha watoto mpaka wakianza kutembea. Haya miaka miwili dogo amenogewa na maziwa.
  10. JamiiForums Tanzania Kuna dalili za kawaida na tabia ambazo Wazazi wanaweza kuzitumia kuweza kutambua ikiwa Mtoto ana Mkazo/Stress

    Dalili za kawaida ni pamoja na Kupoteza hamu ya kula au kupata matatizo ya kumengenya Chakula ikiwemo maumivu ya mara kwa mara ya tumbo. Pia, kukosa umakini au Mtoto kuanza kujitenga na Marafiki/Wanafamilia mnapokaa pamoja Pia, Maumivu ya kichwa, shida ya kulala kama kushindwa kupata usingizi...
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi tuwe na hekima katika haya

    *Mtoto wako anakosea halafu mzazi unapanick unaanza kumkumbushia gharama zote ulizotumia kumsomesha.Umesahau kwamba kusomesha mtoto ni sharti kisheria.Mtoto hakulazimishi,bali sheria ndo inakufunga usomeshe hata kama Ni kwa gharama yoyote ile, kikubwa mtoto apate elimu bora.Wewe heshimu tu...
  12. JamiiForums Tanzania Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

    Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums. Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika. Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto wanazurura mitaani baada ya wazazi wao kuachana kwa sababu ya uchonganishi wako? Kama ndoa inavunjika...
  13. JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu hili jambo tulitafakari,

    Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa. Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu hili jambo tulitafakari

    Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa. Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe binti wa Kihaya

    Wakuu nimeanza mahusiano na binti wa Kihaya amehitimu mwaka Jana MUHAS - Doctor of Medicine (MD) Sasa anatafuta ajira ila nilipofikisha taarifa home kuwa nataka tupeleke mahari kwao. Wazazi wamekataa katakata bila sababu. Ushauri tafadhali. Mimi Mnyasa wa Mbamba bay.
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi ya wazazi katika ndoa ya mwanao/binti yao

    Mapenzi yana nguvu sana.Humfanya mtu apoteze uwezo mzuri wa kufikiri. Kipindi namchumbia mke wangu alipata upinzani kutoka kwa wazazi wake kwa sababu tuko makabila tofauti. Lakini alikuwa ananipenda sana na aliwaeleza kwamba wakikataa ataondoka na kunifata. Wakaleta kikwazo cha mahali...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye nia ya kumsaidia mtoto Charles Mbena wakumbuke bado ni mtoto anahitaji malezi ya wazazi wake

    Nimeangalia video za mtoto Charles Mbena, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia maarifa ya ziada. Mtoto wa miaka sita kumudu hesabu za kutoa na kujumlisha kwa kiwango cha Charles ni kusema Jina na Mungu lihimidiee. Kuna taasisi zilizojitokeza kumsaidia Charles, nimemuona mpaka RAS amefika...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Elimu bure maigizo, Sekondari ya Maendeleo inawachangisha wazazi

    Salaam wakuu. Kuna wimbo mmoja unaimbwa sana juu ya elimu bure katika utawala wa awamu ya tano wa Magufuli. Kama ni kweli elimu hiyo inatolewa bure, basi kuna watumishi wanamuhujumu. Shule ya Sekondari Maendeleo, iliyopo Kata ya Wazo wilaya ya Kinondoni inawatoza wazazi na kuwazuia wanafunzi...
  19. JamiiForums Tanzania Siwezi kulea Mtoto ambae Wazazi wake wako hai na afya zao

    Utakuta mtu anakuletea mtoto wake ati ukae nae yeye kamshindwa tabia, sasa umemshindwa wewe uliyemzaa nitamuweza mimi ambaye sijui uchungu wa huyu mwana? Ati anakuletea ukae naye kisa maisha magumu hivyo msaidie kulea, kwani akikaa huko huko na wewe mzazi wake alafu mimi nikawa namsaidia akiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hili la Ukosefu wa Ajira tatizo lilianzia hapa kwenye D2, wazazi tuwaambie vijana ukweli, vyuo vya ovyo ovyo elimu ovyo!

    Ndugu wazazi wenzangu wasalamu, Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii. Nitaeleza kidogo: Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…