Assalam alaykum.
Tujikumbushe fadhira za kuwatendea wema wazazi wetu
Katika Uislamu, baada ya haki ya Mwenyezi Mungu ﷻ, hakuna haki kubwa kuliko haki ya wazazi wawili. Kuwatendea wema wazazi ni sababu ya kupata radhi za Allah, kuongezewa baraka, na kufunguliwa milango ya kheri duniani na...