wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wa watoto wanaosoma shule za kata hapa makambako pitieni hapa

    .
  2. JamiiForums Tanzania Juni 1: Siku ya Kimataifa ya Wazazi (Global Day Of Parents)

    Siku ya Kimataifa ya Wazazi inayoadhimishwa kila Juni 1 hutambua jukumu ambalo Familia inabeba katika Malezi na Ulinzi wa Watoto. Kama nguzo za Familia na Msingi wa Jumuiya na Jamii zetu, Wazazi wana nafasi ya kipekee katika Ustawi wa Mtoto. Katika Siku hii, tunawashukuru Wazazi kwa kujitoa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi waonesha cheti cha kuzaliwa mtoto wao anaitwa FISTON MAYELE, wakutana na MAYELE original wapiga naye picha

    Familia moja Jijini Mwanza imeonesha jinsi ilivyo na mahaba na mshambuliaji Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga, baada ya kumpa jina mtoto wao linaloendana na mchezaji huyo raia wa DR Congo. Kwa ufupi ni kuwa mtoto huyo naye anaitwa Fiston Mayele, siyo kwamba ni jina la utani, HAPANA, ni jina hali...
  4. JamiiForums Tanzania Wazazi wapendeni na kuwajali watoto wenu ni ndugu zenu, marafiki na jamaa zenu wakati ambao wote uliokuwa nao watakuwa na wanao

    Natumai kazi zinaendelea! Niende kwenye mada moja kwa moja. Asilimia kubwa wakipata pesa uwekeza kwenye mapenzi na ndugu na marafiki Visa ni vingi tunaishi navyo watoto watavipata kupitia kwa ndugu, jamaa, jirani, marafiki wa wazazi , wanaona,watalirelate lakini mwisho wa siku mzazi atamlaumu...
  5. JamiiForums Tanzania Walezi au wazazi tuna kazi kuchunga mtoto wa kiume kuliko wa kike kutokana na tabia ya ushoga kukua kwa kasi

    Dunia inaelekea kubaya tena kubaya sana na ukijumlisha utandawazi unaopelekea watoto wa kiume kuwa mashoga asilimia kubwa. Yani sasa hivi ukiwa na mtoto wa kiume unakuwa naye makini kuliko mtoto wa kike maana kila kona sio salama. Tufanyeje na kila sehemu wanaanza kuweka bendera zao na...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: Vijana ambao hawajapata mikopo ya Halmashauri pengine ni Wakenya

    Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection. Katambi acha dharau na hilo litakukosesha jimbo. === Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma, wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Wazazi wadai fidia ya Tsh bilioni 1.5 kwa mtoto wao kama asipoleta mjukuu

    Familia moja ya wazazi Nchini India imefungua kesi kwa mtoto wao wa kiume na mkwe wao wakitaka waletewe mjukuu ndani ya mwaka mmoja au walipwe Rupia milioni 50 (Rupia milioni 25 kutoka kwa kila mmoja) sawa na Tsh bilioni 1.5. “Mwanangu amekuwa kwenye ndoa kwa miaka sita lakini bado hawajapata...
  8. JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Mbowe alikuwa anatafuta huruma tu, hajawahi kuzungumza na Wazazi wangu

    "Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wa Kikristo wanachelewesha maisha ya watoto wao sana. Wanatoa sapoti ya elimu tu

    Habari wadau. Nimegundua wazazi wengi wakristo wa Tanzania bara wagumu sana kusapot watoto wao nje ya kulipa ada za shule na vyuo. Hata kama wana uwezo Ukiomba mtaji hawakupi ila ukitaka kusoma mpaka phd ada italipwa. Nina jamaa nawaona wana wazazi wapo vizuri ila hawapewi sapot za maisha...
  10. JamiiForums Tanzania Weka taarifa za ada na ubora wa shule hapa ili kusaidia wazazi kufanya uamuzi sahihi

    Katika moja ya mambo ambayo huumiza kichwa ni mzazi kufanya maamuzi ya shule ipi binafsi apeleke mwanae kwa masomo ya O level na A level. Tuweke taarifa au swali kuhusu ada na ubora wa shule na pia michango. Naanza kuuliza shule ya Kaizirege, Cannosa na Marian Boys
  11. JamiiForums Tanzania Acha mwanamke asomeshwe na wazazi wake! Ukimsomesha wewe upendo wake kwako unaondoka kabisa

    nawasihi sana ndugu zangu, usisomeshe mwanamke kwa lengo la kuja kumuoa baada ya Masomo. Nakwambia kadri unavyomsomesha ndivyo anavyokuona useless na sio level zake. Acheni wasomeshwe na wazazi wao, wewe nenda katimize jukumu la kuoa na kujenga familia
  12. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ushauri

    kichwa cha binadamu ni mithili ya tenki inapokea kila aina ya malighafi na bila kugoma labda ifike kwenye ukomo kulingana na ukubwa wa tenki hilo japokuwa asili ya tenki ni kupokea kimiminika lakini zipo malighafi ambazo huingizwa kwa namna tofauti madhara yake huaribu malighafi hiyo na...
  13. JamiiForums Tanzania Leo nimeenda kwenye kikao cha wazazi darasa la Saba, hakuna mzazi hata moja kaja na gari. Kuna kitu nimejifunza

    Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anatarajia kufanya mtihani mwaka huu. Nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni. Nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje, mbona hakuna hata gari moja ya mzazi na...
  14. JamiiForums Tanzania Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

    Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
  15. JamiiForums Tanzania Upendo uliotukuka wa wanaume juu ya watoto, mke wazazi na ndugu zao ndio huwafanya wawe wezi, mafisadi, matapeli na hata majambazi

    Habari! Lengo la Uzi huu si kuhamasisha matendo maovu ya kijambazi, wizi, uporaji, utapeli au ufisadi. Lengo langu ni kuonyesha sababu kuu kwanini matendo haya maovu hufanywa hasa na wanaume zaidi kuliko wanawake. Ni upendo tu uliotukuka kwa ndugu zao na familia zao ndiyo hupelekea wanaume...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Walimu na Wazazi wa Shule za Makongo Juu ( zamani Londa Secondary ) na Tegeta Secondary timizeni Wajibu wenu wa Kimaadili kwa hawa Wanafunzi

    Mabinti wa Shule ya Makongo Juu Secondary ( zamani Londa Secondary ) kama Wewe ni Mzazi au Mdau tu wa Maadili na Maendeleo ya Elimu ukibahatika kukutana Barabarani kuanzia Saa 9 Alasiri wanapotoka unaweza ama ukalia kwa Uchungu au hata Hasira Kukupanda na ukawachapa na Kuwaadhibu vikali...
  17. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anakaribia kuoa kimyakimya bila wazazi na ndugu zake kujua

    Baada ya wazazi wake kumkataa binti ambaye alikuwa ana mipango ya kumuoa kwa sababu wazazi wanazozijua wenyewe. Jamaa yangu sasa anakaribia kuoa kimya kimya bila wazazi na wala ndugu zake kuwashirikisha wala hawajui chochote kama anaowa na amefanya hivi sababu wazazi wake wamekuwa kikwazo...
  18. JamiiForums Tanzania Utafanya nini utakapogundua wazazi wako na ndugu waliokuzunguka wote hawakupendi?

    Utafanya au ulifanya nini ulipo tambua kwamba msaada wa wazazi/ ndugu zako kwako ni wakukuchimbia kaburi na kukuzika?
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wazazi, acheni kuwapotezea muda watoto wa kiume kuwafundisha kupika!

    Kuna wazazi wanazingua Sana! Wako bize na wanao wa kiume kuwafundisha kupika. Mwanaume amepewa jukumu kubwa mno la kuitawala Dunia. Jukumu hili linamtaka mtoto wa kiume awe strong mentally and physically. Mtoto wa kiume achukue muda mwingi kujengewa misingi ya uongozi, utawala, ubunifu na...
  20. JamiiForums Tanzania Nilikula hela ya ada form 3 nikatumia njia hii mpaka wazazi na walimu hawakugundua kama nimetafuna

    Habari wakuu! Leo nimekaa nikakumbuka matukio kipindi nipo o level,jinsi nilivyoharibikiwa kwa kujiingiza kwenye makundi ya wahuni shulen na nilivyoweza kuCHANGE fasta nakufanya vizuri kwenye matokeo yangu ya 4m 4 necta Kwanza ilianza nikiwa form 2 nikiwa shule ambayo ipo njee kidogo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…