wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Je, ni nani anapaswa kusimamia suala hili?

    Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii. Madhara haya yamekua moja kwa moja katika afya yao ya akili na kusababisha kushindwa kushirikiana na...
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nimepata mwanamke mwenye hela. Tatizo wazazi wake wana roho mbaya

    Ni muda sasa niko naye. Ananiamini fika, na istoshe kashanijulisha michongo ya hapa na pale ambayo humuingizia kipato. Siku nyingine hunialika ofisini kwake, natulia pale asubuhi mpaka jioni. Gharama za chakula na vitu vidogo vidogo ni juu yake japokuwa huwa sipendi kutawaliwa na mwanamke...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha likizo ya sensa Wazazi wawalinde watoto wao, mitaa imefurika

    kuna likizo ndefu kwa ajili ya sensa ya watu na makazi nchini, ambapo wanafunzi kuanzia ngazi ya chekechea hadi vyuo wapo mtaani, na kiukweli mitaani pamefurika kuna kila aina ya makundi na watu wa rika tofauti tofauti. Sasa huu ni muda wa wazazi kuchukua kila aina ya tahadhari kwa ajili ya...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wazazi wafundisheni watoto wenu kutii mamlaka

    Wazazi wenye watoto hususani vijana wa kiume bodada wafundisheni watoto wenu kutii mamlaka za serikali na vyombo vyake. Enyi bodaboda msijifanye mna umoja kiasi cha kuvunja sheria za nchi shauri yenu.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za wanandoa walichaguliwa na wazazi zinadumu na zile za "nimempenda mimi" hazidumu kabisa?

    Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu. Utafiti (Uchunguzi) wangu binafsi kama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 98% ya Ndoa ambazo Wanandoa Walichaguliwa na Wazazi wao zimedumu na zinadumu. Ila...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo aliepotea Mbeya tangu 2020 anaedhaniwa aliibwa imebainika yupo Songwe kupitia group la Facebook, wazazi wapo kwenye harakati kumrudisha

    Ilikuwa ni tarehe 21-11-2020 siku ya Jumamos ambapo mtoto Nassir Jumanne mande mwangopola alipotea Chunya mjini, moja ya wilaya ya Mbeya. Wazazi wa mtoto, baba yake Jumanne Mwangopola na mama yake Shamimu Shabani walifanya jitihada kubwa kumtafuta lakini jitihada hazikuzaa matunda. Leo hii...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kutelekeza watoto kwa babu, bibi yashika kasi Mkoani Njombe

    Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
  8. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro. Mahusiano ya wazazi yanavyoweza kuathiri watoto

    Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro, DC atoa maagizo Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Ngollo Malenya, ameagiza kukamatwa kwa wazazi wawili, Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa kwa kuwatelekeza watoto watatu huku mmoja anayesoma kidato cha nne akiwa ndiye anayewahudumia wenzake...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: DC Ngollo Malenya anawasaka Wazazi Waliotelekeza watoto 3 Ulanga

    Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Ngollo Malenya ameagiza kukamatwa kwa Wazazi wawili Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa na kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria baada ya kuwatelekeza Watoto wao watatu Emerinda Thomas Ulanda (17) Christina Ulanda (13) na Slyvia Ulanda (9) wanaoishi...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Chad yapiga marufuku mabinti wadogo kutoka nje ya nchi bila kibali cha wazazi

    Waziri wa Usalama nchini humo, Jenerali Idriss Dokony Adiker amesema uamuzi huo ni kupambana biashara haramu ya watu na wimbi la wasichana wadogo kutumikishwa kingono katika nchi jirani Aidha katazo hilo linapiga marufuku mashirika ya ndege na mashirika ya uchukuzi kuchukua wasichana wadogo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania “Uwatendee Raia Kama Wazazi Wako” - Rais Xi Jinping wa China

    Mwezi Januari, 2008 Mji wa Guizhou ulipokumbwa na maafa ya mvua, theluji na barafu, Xi Jinping alipokuwa mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama na Katibu wa Ofisi ya sektretarieti ya Kamati Kuu ya Chama alikwenda nyumbani kwa mwanakijiji Tang Shaowei kuwapa pole “Ni lazima...
  12. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli wazazi huwa wanaona mbali linapofika kuoa au kuolewa

    Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka Je katika hili kuna ukweli wowote ule
  13. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania Laana: Usije ingilia ugomvi wa wazazi hata siku moja

    Habari ya siku nyingi ndugu zangu, ngoja niende kwenye hoja moja kwa moja Masuala ya ugomvi na migogoro ya ndoa kwa wazazi wetu ni mambo ambayo huwa tunakumbana nayo mara kwa mara na kwa asilimia kubwa sana japo sio kila familia au kila mtoto huweza kuyapitia haya mambo. Ila niwape angalizo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo Mgeni Rasmi kikao cha Wakuu wa Shule za umoja wa wazazi Tanzania

    CHONGOLO MGENI RASMI KIKAO CHA WAKUU WA SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA- ASUBUHI HII. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, Leo Ijumaa tarehe 15 Julai, 2022 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha Wakuu wa Shule za Umoja wa Wazazi Tanzania. Kikao hicho...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

    Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu.. jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli. Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo Mtoto ukimsimamia...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Hai punguza kupokea rushwa kipindi hiki cha uchaguzi wa chama

    Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi. Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro. Bila aibu tena kwa kujiamini. Umekatisha tamaa wanachama wa jumuia ya wazazi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni upi wakati sahihi wa kuwasaidia wazazi wako?

    Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika. Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo. Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
  18. Madihani

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi wazazi wa binti kudai kuwa mwanaume aliyempa mimba aende kujitambulisha hata kama hana mpango wa kuoa?

    Naamini kuna uzima kwa wana jamii. Je ni sahihi wazazi wa binti/mwanamke kudai kuwa mwanaume aliempa mimba aende kujitambulisha hata kama hana mpango wa kuoa? Au ni mbinu ya kulazimisha binti aolewe? Wao wanadai wanataka kumtambua/kumfahamu. Habari hii imemkuta rafiki yangu wa karibu.
  19. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Duniani Kuna vituko: Awashtaki wazazi wake Kwa kumzaa

    Thread was deleted
  20. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule za kata hapa makambako pitieni hapa

    .
Back
Top Bottom