wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wa Kitanzania hawana mali za kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba na Yanga

    Habari zenu! Mada inajieleza. Wazazi wengi bongo hawana cha kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba au Yanga. Jitahidi ufanye chini juu uache urithi wa kueleweka.
  2. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

    Wanajukwaa Nakuja Hapa kwa Moyo Mzito Sana Na Umejaa Majonzi Makali Mno Hasa Watoto wa Kike kwa Kizazi Hiki Cha 2000. Mabinti wengi Karibia 85% waliozaliwa 2000 Wameshaharibika naongea nikiwa na ushahidi Tosha na Asilimia Yote hiyo mabinti wanatumia "LAINI MBILI" au "WANAPIGA MIGUU YOTE" tena...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya wazazi wanaishi kwa siri na maumivu makubwa. Wanatamani wawaombe watoto wao msamaha lakini hawajui waanzeje

    Ni mpaka uishi hayo maisha ndio unaweza kupata hisia halisi za hii mada. Hapa nazungumzia wale wazazi kwa sababu zozote zile waliwatelekeza watoto wao udogoni na kuja kuonana nao ukubwani. Hapa nazungumzia wale wazazi ambao walitengena kwa sababu zozote zile na watoto kulelewa na mzazi mmoja...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda binti yao lakini wazazi wake walikuwa na uadui wa miaka 16 na mama yangu

    Takribani miaka 6 Sita Sasa tangu uangalizi wangu kwa binti wa majirani zetu, nampenda yule binti nayeye pia ananipenda pia kwao walizaliwa 6 lakini wa kiume mmoja binti Huyo Alifunga kizazi na ndio pekee aliyeweza kusoma 1.ugomvi wa visima vya maji Ugomvi ulianza kwenye kisima cha maji mwaka...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi msilee watoto kwa mantiki ya kujiwekezea baadae

    Wazazi achaneni na mawazo ya kuwasomesha watoto ili kwamba wakishakua na kuanza kazi waanze kuwagharamia kwa mishahara yao! Kulea watoto ni jukumu la mzazi yeyote alieamua kuanzisha familia na si uwekezaji. Achaneni na hii dhana.😩
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi mnaolinda sana watoto kupitiliza, mnawaandaaje kukabiliana na maisha halisi ya hapa Bongo?

    Watoto wana haki ya kudeka na kufaidi matunda ya wazazi lakini ni muhimu pia wao wajifunze kuwajenga uwezo wa kujisimamia bila backup ya mzazi. Kwa maisha ya kiuhalisia ya hapa bongo lolote laweza tokea ila angalau mtu ajue kujifulia nguo, kuweza kutumia usafiri wa umma, kuweza kula vyakula...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Wazazi Temeke Hawawajibiki Vizuri Kulea Watoto wao

    “Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto. Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya kulinda watoto wetu na hili kuna mfano mzuri sana shule za temeke ambazo watoto wa shule za msingi na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa kuwapeleka watoto wao kupata elimu

    Jumamosi iliyopita nilihudhuria mahafali ya Darasa la Saba pale KOM Shule ya Msingi Manispaa ya Shinyanga. Binafsi sikuamini macho yangu kutokana na ubora wa hiyo shule kuanzia taaluma, majengo, walimu, madarasa, mabweni, majiko na mandhari kwa ujumla. Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa...
  9. 888I

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamejenga darasa kwa udongo watoto wanakaa chini kusoma Simanjiro.

    Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Wilaya ya Simanjiro Manyara wazazi wamejenga darasa kwa udongo ili kuwasaidia watoto kujipatia elimu lakini pia kuokoa maisha yao kutokana na korongo la msimu huwa wanashindwa kuvuka na kusombwa na maji. Wakizungumza mwenyekiti wa kitongoji,wazazi na...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu duniani amewahi kuwekewa mikono kichwani na wazazi wake wakamwombea jambo bila mafanikio.

    Hello! Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake. Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wazazi, mnawalindaje Mabinti wenu dhidi ya Ukatili Mtandaoni?

    Fikiria mtandao kama mji mkubwa wa kidijitali, ambapo kila kona kuna watu, mitaa na maduka ya kila aina. Kama vile wazazi wanavyowaongoza mabinti zao wanapotembea mtaani kwa mara ya kwanza, ndivyo wanavyopaswa kuwaongoza kwenye mji huu wa kidijitali. 1. Kutambua Vitisho: Kama vile...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kijana baada ya kumaliza masomo yako mjini ni wakati wa kurudi nyumbani kijijini, wazazi wako wanakungoja

    Wazazi wa vijana wengi wa leo wanafanya maombi na kuwaombea vijana wao sana kila lililo jema wafanikiwe katika maisha yao, hakuna mzazi alie nyuma kwenye hili kwasababu mambo yamebadilika sana sasahivi... Lakini vijana wengi wamedinda kabisa kurudi nyumba vijijini kwao, licha yakua...
  15. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuchunge sana maneno yetu tunayowaambia watoto wetu tukiwa na hasira.

  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanandoa wengi hawawaruhusu wenza wao kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza ?

    Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasomi (wazazi) wengi wa siku hizi hawamiliki assets?

    Mmezaliwa miaka ya 70 Mwishoni, themanini mwanzoni hadi themanini katikati ( 1985). Wazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya moja). Wamewaachia mashamba na mali nyinginezo nyingi. Lakini ninyi mmesoma hadi vyuo vikuu na mna kazi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Watunzeni Wazazi na Kuwaombea Dua, pia waombeeni ambao hawapo hai

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu wa kuwatunza na kuwajali wazazi wao na kuendelea kuwaombea ambao hawapo hai. “ Tuendelee kuwakumbuka na kuwaombea ndugu na wazazi waliotangulia mbele za haki ni jambo zuri na wajibu wetu tuliobaki...
  19. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

    Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki. Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100% My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to...
  20. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Jamani wazazi wapeni watoto mitaji hata ya kubetia

    Wazazi toeni pesa za pension ili tuweze kujiajiri huku tukisubiri mchongo itiki , mtu amesom shahada ya uhandisi wa Mitambo hana mchongo bado, hajateuliwa bado, Watu tuna idea za kufanya ila ndio hvyo hatuna asset ya ku offer kama collateral ili kusecure mikopo kweny Taasis za pesa, sasa...
Back
Top Bottom