Salama.
Wawekezaji wengi hasa kutoka bala la Asia hawa wachina ,wakorea ,Mahindi ni watu ambao wanawanyanyasa sana wazawa kwenye maeneo waliyowaajili.
Hawa watu ni hawazingatii kabisa sheria za kazi na wanakuaga na kauli Tata za matusi ,malipo kidogo ,hawana huruma wala utu kwao wanaamini...
"Tukija kwenye mitaji... hii mitaji, twende kwenye uwekezaji. Nyinyi biashara ndio mnaotakiwa mtoe ushauri.
Mgeni anakuja, anatoa dola laki tano, eti huyo ni mwekezaji. Hivi Watanzania wangapi wana dola laki tano? Si wengi hapa! Alafu anakuja na briefcase, anaenda kuchukua ukandarasi wa...
Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani Emmanuela Mtatifikolo ameendelea na kampeni katika Kata ya Mlenge ambapo amewaahidi wananchi wa Kata hiyo kuwa endapo wakipiga kura za ndiyo na kuchagua Chama Cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika Juni Mosi, 2026 atatafuta Wawekezaji kwaajili...
Nimesoma sehemu kuwa kampuni za kubeti zinadhulumu watu walioshinda pesa nyingi. Kuwa zinabadilisha betting. Kama uliweka timu fulani ishinde wao wanabadili kuwa uliweka ifungwe kwa hiyo wanachana mkeka ulioshinda. Ukiweka over na kushinda wanabadili kuwa under. Na wengine wanakufutia kabisa...
#HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini.
Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
biashara
biashara na uwekezaji
changamoto
dangote
heche
john
john heche
katiba
katiba mpya
kuboresha
kuboresha mazingira
kufungua
kutatua
maridhiano
mazingira
mpya
njia
pamoja
rais
rais samia
samia
serikali
sifa
uwekezaji
wawekezaji
1. Mimi ni shabiki wa Yanga.
2. Uwanja ni hatua kubwa kwa maendeleo ya club, na ikitokea Yanga ikakamilisha uwanje wake wakati Simba hajachukua bado NBC, basi inawezekana mikataba ya NBC ikaisha Simba hajachukua huu ubingwa. Uwanja ni tool muhimu kwenye ushindi.
3. Haya ni mawazo yangu, mawazo...
My Take
Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo.
https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na...
Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza urasimu na haina mantiki yoyote kwenye digitalization.
Wajitahidi kuongeza urahisi wa wawekezaji...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha Wafanyabiashara wa Sweden na Afrika, kilichofanyika tarehe 6 Februari, 2026...
Nimeambiwa hawa ni WAWEKEZAJI/WAJASILIAMALI wako kwa Ofisi wanapambana na Muhindi/Kanjibai, ila hii kazi nayo nzito sana, utsema wako Prepo wanajiandaa na pepa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndugu zangu heri ya mwaka,
Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa.
Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani ambayo nikiwekeza muda na hata pesa (kama ni ya kulipia) naweza kupata wawekezaji katika sekta...
Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani.
The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
Opera min nikampuni kubwa ya matangazo na habari kama ni mtumiaji wa simu kwa muda mrefu utakuwa umewahi kuwa na app ya opera , Opera min pay ni app yao ya kutuma na kupokea pesa kama ilivyo binance au webmoney
Katika kuchungulia fursa nimegundua kwa sasa wana fursa mbili.
1. Wanalipa mtu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi.
Akizungumzia uwekezaji katika...
Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu kipya cha uwekezaji barani Afrika, kutokana na mazingira bora ya biashara na sera madhubuti zinazotekelezwa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
🔹 Thamani ya Uwekezaji: Rekodi ya Kihistoria
Kati ya mwaka 2018 – 2021...
Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako.
Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
RAIS SAMIA SULUHU NI MKARIMU KWA WAWEKEZAJI
Katika zama hizi za ushindani wa kiuchumi, uongozi wa Rais Samia umejidhihirisha kuwa daraja la matumaini kwa wawekezaji kutoka pande zote za dunia.
Kupitia diplomasia ya uchumi, Tanzania imefungua milango kwa uwekezaji wa haki, usawa, na faida kwa...
Wakuu, kwa maeneo niliyotembea hapa Tanzania naona kama uwekezaji upo haba sana, namaanisha uwekezaji wa makampuni makubwa.
Inaonekana miji yetu inakua kwa kasi ila maghorofa hamna, mfano ukisikia mji umekua kwa kasi basi jua tu ni wakazi ndio wameongezeka na wanaanza kufungua frame na kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.