Private public parteship (PPPs) ni uchumi dhaifu na sio wa kuutegemea ktk kujenga taifa letu kwa karne hii.
Muwekezaji ni sawa na mpangaji, leo yupo kesho anaondoka muda wowote, kujaribu kuutegemea uchumi wa namna hii ni kuua future ya mtanzania.
Ni sawa na mgonjwa wa Malaria aliyemeza...
Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
1. UTANGULIZI
Uwekezaji katika soko la hisa ni mojawapo ya njia zinazoweza kumwezesha mtu kushiriki katika umiliki wa kampuni na kunufaika na maendeleo ya biashara hiyo. Hata hivyo, kabla ya kufanya uamuzi wa kununua hisa za kampuni fulani, ni muhimu mwekezaji kuwa na taarifa sahihi kuhusu...
Wawekezaji ndiyo maana wanatumia mahakama za kimataifa maana kwa mahakama za kichawa hivi nani atawekeza mabilioni bila kuhakiki mikataba ni ya kimataifa.
Nchi zenye bunge huru, mahakama huru na katiba nzuri. Tusishangae wawekezaji wanatukimbia
Kwa niaba ya wananchi wenzangu Wakazi wa Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa, Mkoa wa Pwani, naomba kutoa kero inayotusumbua tangu mwaka 2025. Kuna wawekezaji kutoka Nigeria waliofungua kiwanda cha unga katikati ya makazi yetu.
Kero yetu kubwa ni kelele kutoka kwenye mitambo ya kiwanda hicho. Kuna...
Anonymous
Thread
kiwanda
makazi
makazi ya watu
mtaa
pwani
wawekezaji
★ Asema maeneo yanapoachwa kama mapori hujenga dhana kuwa hayana mwenyewe
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha wanaendeleza maeneo waliyopewa kwa mujibu wa madhumuni yaliyokusudiwa, akisema kuyaacha bila shughuli na...
Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi Mheshimiwa Haji Fundi Haji ametoa rai kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza kwenye Kata ya Bondeni na kwamba Kata hiyo ni salama .
Ametoa rai hiyo hivi karibuni kwenye kilele cha siku ya usafi wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Bondeni ...
Serikali imesema uwekezaji kutoka kwa makampuni ya kigeni, hususan Ujerumani, haupaswi kuangaliwa kwa mtazamo wa mtaji unaoingia nchini pekee, bali pia teknolojia, ajira na fursa kwa wafanyabiashara wadogo na vijana wanaojihusisha na teknolojia.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga...
My Take
Tanzania inaendelea kuwa mwalimu wa kuonesha njia.
Ikumbukwe Rais Samia alitoaga agizo Hilo mwaka Jana na kufuatiwa na utekelezaji kama ambavyo Waziri wa biashara wa wakati ule Suleiman Jafo na wenzie walivyotoa orodha za marufuku ya biashara ndogo kufanya na Wachina.
Kenya na Afrika...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Serbia kuongeza uwekezaji nchini Tanzania, akisisitiza kuwa wakati umefika kwa urafiki wa muda mrefu wa zaidi ya miongo sita kati ya Tanzania na Serbia kutafsiriwa...
Sheria inasema foreigner anaweza kupewa derivative right ya kumiliki ardhi kwaajili ya uwekezaji tu. Kuhusu swala la disposition (kuuza/kurithisha) ardhi husika Sheria ya ardhi imewaka restrictions kwamaana kwamba mwekezaji atatakiwa kurudisha ardhi kwa wamiliki waliompatia haki ya kuwekeza...
12 August 2026
Tanzania Yafungua Soko la Dhamana za Serikali kwa Wawekezaji wa Kimataifa
Tanzania relaxes forex rules to draw foreigners to bonds. 'The reform aims to broaden access to the government-securities market
Benefits of Investing in Government Securities
Treasury bills and Treasury...
Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo.
Au...
Kiukweli mi naona kwenye swala la maendeleo ya barabara katika nchi hii serikali imeshindwa kabisa. Barabara nyingi nchini na muhimu kwa ustawi wa uchumi wa nchi ni mbovu kupita maelezo na cha ajabu unakuta ndio barabara ambazo hata viongozi hutumia kwenda kwenye shughuli zao.
Nitolee mfano wa...
Habari wakuu,
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa uwekezaji nchini, ambapo watu wengi wameanza kuwekeza kwenye Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds). Hata hivyo, bado kuna maswali mengi kuhusu tofauti zake, faida, hatari zinazoweza kujitokeza, na namna ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji. Kupitia...
Ndugu wanajukwaa la siasa, huu ni mjadala wa kitaifa:
Tunapojadili kwa nini miradi mikubwa ya kimkakati inaweza kwenda nchi jirani, tusitazame tu bandari, ardhi au soko. Tujiulize pia kuhusu ubora wa taasisi zetu za kisiasa na utawala.
CCM imekuwa chama tawala kwa muda mrefu na ina wajibu...
Katika hatua inayoweza kubadilisha kabisa mwonekano wa hisa za NMB kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bank Plc imependekeza mgawanyo wa hisa (Share Split) wa uwiano wa 1:10, ambapo hisa moja ya kawaida itagawanywa kuwa hisa 10 za kawaida.
Pendekezo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.