watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Watumishi wa Umma kuna kukosekana kwa usawa katika upatikanaji wa nyongeza za mishahara kwa miaka miwili

    Awali, nyongeza za mishahara kwa watumishi wote zilikuwa zikitolewa mwezi Julai kila mwaka. Hata hivyo, baadaye Serikali ilianzisha mfumo mpya ambapo nyongeza hizo hutolewa kulingana na mwezi ambao mtumishi alianza kazi. Pamoja na utaratibu huo, kumekuwa na changamoto ambapo baadhi ya watumishi...
  2. Nashindwa kuelewa hivi viongozi na watumishi wakisafiri kwa nchi zenye maendeleo wanafanya kazi gani ?.

    Katika kitu kilicho niumiza ni ile pesa ya kupeleka wasanii na wakaenda kujigamba ndio maana chawa wamekuwa wengi. Sisi tunaosafiri au waliosafiri hata mtu hapa JF ukisema kumpeleka nje ya mkoa wake lazima kupata wazo au kujifunza kilichomo na kupeleka mkoa wake ili nalo limewahinda serikali ya...
  3. A

    KERO Watumishi wa Ualimu Kaliua hatujalipwa Fedha za Kujikimu, waliolipwa wamepewa nusu

    Baadhi ya watumishi wa kada ya ualimu katika Halmashauri ya Kaliua hatujalipwa fedha za kujikimu hadi sasa. Wale waliolipwa wamepewa sehemu tu ya malipo hayo, huku kiasi kilichobaki kikiwa bado hakijalipwa. Ufuatiliaji unaonyesha kuwa hata baadhi ya watumishi waliopo kazini kwa muda mrefu bado...
  4. A

    KERO Halmashauri ya Mji wa Mbulu inatunyanyasa Watumishi wake kwa kutunyima haki zetu za msingi

    Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Mkoa wa Manyara, tunaomba msaada wenu kufichua changamoto na madai yanayoikabili halmashauri yetu. Tumekuwa tukikumbwa na uongozi usioridhisha kuanzia ngazi ya madiwani, Mkurugenzi hadi wakuu wa idara mbalimbali. Kwa mtazamo wetu, viongozi hawa...
  5. M

    Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

    Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake. Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
  6. Kwanini watumishi wengi wanapoongea huwa kama wanaongea na wanawake tu makanisani?

    Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu. Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko wanaume. Hii imekaaje. Wakina mama muache kuwajaza vichwa watumishi wakatusahau na sisi wababa ambao...
  7. A

    KERO Malalamiko ya watumishi wa Idara ya Elimu ya Sekondari Halmashauri ya Tarime Vijijini kuhusu kutolipwa stahiki zetu

    Watumishi wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Idara ya Elimu ya Sekondari, tunalalamikia kutolipwa stahiki zetu za likizo ya malipo licha ya kudai kwa muda mrefu. Kila tunapofuatilia tunaelezwa kuwa fedha zinazotolewa na Serikali hazitoshi, jambo linalotushangaza kwa kuwa watumishi wa Idara ya...
  8. A

    KERO Watumishi wa Afya tunalazimishwa kuchangia pesa ya Mwenge, Halmashauri ya Wilaya Buhigwe - Kigoma

  9. A

    KERO Watumishi wa ajira mpya katika Idara ya Elimu ya Sekondari, Wilaya ya Iramba nao hawajalipwa fedha za kujikimu

    Watumishi wa ajira mpya katika Idara ya Elimu ya Sekondari, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida, bado hawajalipwa fedha zao za kujikimu hadi sasa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapofuatilia na kuulizia malipo yao, hupokelewa kwa majibu makali badala ya kupewa ufafanuzi wa kina kuhusu lini...
  10. A

    KERO Watumishi wa MSF katika Wilaya ya Liwale tumecheleweshewa mishahara

    Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi Hadi leo tarehe 6/04/2026 mishahara yetu bado haijapatikana. Ucheleweshaji huu umetufikisha pabaya sana. Wenzetu...
  11. A

    KERO Ucheleweshaji Malipo ya Mishahara - Watumishi wa MSF Chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

    Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi 1. Hali ilivyo sasa Hadi leo tarehe 5/04/2026 mishahara yetu bado haijapatikana. Ucheleweshaji huu umetufikisha...
  12. A

    HOJA Kwanini watumishi wa huduma afya wakiwa kazini wanavaa sana yeboyebo je ndio utaratibu rasmi wa wizara ya afya?

    Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu. Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano. Je, ndio utaratibu rasmi wa Wizara ya Afya?
  13. A

    DOKEZO Serikali itusaidie Watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, kuna mambo ya Uongozi hayapo sawa

    Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu. Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
  14. A

    KERO Watumishi wa Halmashauri ya Handeni acheni kutelekeza familia

    Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa wamekuwa wakitembea na wake za watu na pia waume za watu wamekuwa wakitembea na wajirani wapya au mabinti...
  15. A

    KERO Watumishi tunaofanya kazi kwenye mradi wa SGR tunachangamoto ya kutolipwa madai yetu

    Watumishi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), hususan wanaofanya kazi katika mradi wa SGR, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kutolipwa madai yao kwa muda mrefu, kuanzia kipindi cha ujenzi hadi hatua ya uendeshaji wa reli. Watumishi wengi hutumwa kufanya kazi nje ya vituo vyao, lakini...
  16. A

    KERO Watumishi tulioajiriwa Novemba 2024 Wilayani Muheza bado tunasubiri fedha za kujikimu. Halmashauri inasema inasubiri pesa katika ushuru wa machungwa

    Watumishi tulioajiriwa mwezi Novemba mwaka 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, bado hatujalipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu hadi leo. Baada ya kufuatilia suala hili, uongozi ulituelekeza kuandika barua za madai. Tulifanya hivyo, lakini barua hizo zimebaki kwenye...
  17. A

    KERO Watumishi Ajira Mpya Kada ya Afya Halmashauri ya Mkalama Wamepewa Fedha za kujikimu Wakati Walimu ajira mpya hatujapewa hata Mia. Inaumaaa

    Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja. Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma. Tunaomba mamlaka husika...
  18. A

    KERO Ajira Mpya Kakonko DC tuliambiwa Fedha za Kujikimu inazingatia Salary Scale, sasa wanasema inazingatia kituo

    Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini. Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
  19. A

    KERO Rukwa: Hatma ya Watumishi wa RUWASA waliokuwa Idara ya Uchimbaji haijulikani

    Watumishi wa RUWASA ambao tulikua kitengo cha uchimbaji mpaka leo hatuelewi hatima yetu ni nini, kwani toka tusikie kwamba Idara ya Uchimbaji imeondolewa RUWASA na kupelekwa Ofisi za Bonde, na mashine zote za uchimbaji kukabidhiwa ofisi za Bonde, na ikisemekana kwamba baadhi ya Watumishi itabidi...
  20. Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa Rasilimali Watu katika Mfumo wa PEPMIS umezuia Watumishi kutopanda daraja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ametoa maelekezo hayo Juni 23, 2026 kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 katika Viwanja vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…