watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Responded Said Mtanda: Nimewapa namba yangu Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ili wanielezee kero zao

    Baada ya Mwananchi kutoa neno kuhusu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), akieleza kuwa Changamoto ya wizi Hospitali ya Rufaa Simiyu (Simiyu RRH) ipo muda mrefu, ishughulikiwe vizuri ujumbe umetolewa kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Said Mtanda ameandika...
  2. mirindimo

    Watanzania kwa nini tusianzishe kampeni ya kuikataa mahakama na watumishi wake ?

    Tulikua na mahakama za kijadi ambazo zilisimamia mashauri kwa Haki na Usawa , kuzidi hii Mahakama ya hawa jamaa wa Law School zilizo chini ya CCM !! Kwa nini tusifanye kampeni ya kuikataa hii Mahakama sisi kama wananchi , tuikatae na watumishi wake wote. Mpaka pale itakapo thibitika...
  3. E

    Hawa viongozi na watumishi wa umma tulio nao ni wazi wamelelewa na viboko Je vimewasaidia vipi kuwa na maadili na waeledi katika kazi zao!?

    Hoja kubwa inayosemwa ni viboko vikiondolewa tutaleta kizazi cha ovyo, Huyo mtoto anazaliwa akiwa ovyo au jamii ndio imamtengeza awe ovyo!? baadae ndio fimbo imrekebishe? Hawa viongozi wa sasa na watumishi serikalini ni wazi wamesom zama za viboko ni kitu gani viboko vimeongeza katika uadirifu wao?.
  4. Roving Journalist

    Mchengerwa apongeza huduma za kibingwa Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila, asisitiza uwajibikaji kwa watumishi

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, tarehe 08 Novemba 2026, amefanya ziara ya kikazi ya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila iliyopo jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kukagua utoaji wa huduma za matibabu pamoja na kuzungumza na wagonjwa na watumishi wa afya. Katika ziara hiyo...
  5. A

    KERO Mazingira magumu ya Kazi ya Watumishi wa Idara ya Uchimbaji walitokea RUWASA na kwenda ofisi za Bonde

    MAZINGIRA MAGUMU YA UTENDAJI KAZI YA WATUMISHI WA IDARA YA UCHIMBAJI WALIOTOKEA RUWASA NA KUHAMISHIWA OFISI ZA BONDE. Watumishi wa Idara ya Uchimbaji tuliokuwa ofisi za RUWASA kutoka mikoa mbalimbali tulipatiwa barua za kuhamishiwa katika ofisi za Mabonde kama Bonde la mto Rufiji, Bonde la mto...
  6. A

    KERO Watumishi wa Afya Njombe DC tunahamishwa bila kupewa stahiki zetu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo. Kwa mfano, mtumishi mwenye...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kuna watumishi wanajua kukopa nyie!

    Mwamba huyu hapa, take home ya kibazenga mno Basic Salary 1,390,000 Take home 463,334 Mwamba kwelikweli
  8. A

    KERO Watumishi Halmshauri ya Wilaya Mufindi tunataka barua zetu za kuthibitishwa kazini

    Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi (Mufindi DC) tulioajiriwa tangu mwanzoni mwa mwaka 2025 hadi sasa hatujapokea barua za kuthibitishwa kazini, licha ya kuwa tumetimiza vigezo vinavyohitajika. Kila tunapofuatilia suala hilo kwa uongozi, hatupati majibu ya kuridhisha kuhusu sababu za...
  9. aliya

    KERO Serikali ilipe hela za likizo kwa wakati kuwezesha watumishi wakati wa likizo

    Serikali tunaomba ihakikishe Watumishi wa umma tunalipwa fedha zetu za likizo kabla ya kuanza likizo, ili kutuwezesha kusafiri kwenda nyumbani na kutumia likizo zetu kwa utulivu. Hatua hii itawasaidia watumishi kukidhi gharama za usafiri na mahitaji mengine muhimu tunapojiandaa kwenda kuungana...
  10. Msemaukwelii

    KERO Malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

    Kuna malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili, ambapo tumelipwa nusu ya fedha tulizostahili kulingana na makubaliano ya awali. Tulipohoji na kufuatilia kiasi kilichobaki, tuliambiwa na uongozi kuwa hayo ndiyo malipo yaliyopangwa, licha ya kuwa mkataba wetu...
  11. A

    HOJA Wizara ifanye uchunguzi malalamiko ya Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS)

    Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu. Tunadai stahiki za watumishi wanaosafiri kikazi, hazilipwi, Kiongozi wetu mkuu na Mtu wa Fedha wakitajwa kujilipa katika...
  12. D

    DOKEZO Halmashauri ziangalie Vijana wanaojitolea Vituo vya Afya, wanafanyakazi nzuri lakini wana hali ngumu

    Kuna changamoto kuhusu utekelezaji wa mikataba ya watumishi wa afya chini ya TAMISEMI iliyotolewa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watumishi wanalipwa kiasi cha shilingi 100,000 kwa mwezi, huku kukiwa na malalamiko kuhusu kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya kazi za ziada (overtime). Baadhi ya...
  13. A

    KERO Watumishi wa Afya - Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tunaomba timu ya DMO ivunjwe na uchunguzi ufanyike

    Watumishi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tulitoa malalamiko kuhusu DMO, In-charge wa Hospitali ya Wilaya, Katibu wa Afya wa Wilaya na timu yake ya CHMT, tukidai kuwepo kwa matumizi mabaya ya mapato ya hospitali kwa starehe, ikiwemo safari za Matema Beach, wakati...
  14. Idugunde

    Hizi ziara za viongozi wa CCM wakitumbua na kutishia watumishi wa umma zitamsaidia rais Samia kupendwa na wananchi?

    Kwa ujumla ameshatambua kuwa hapendwi na wananchi. Lakini inaonekana kuna vuguvugu la viongozi kuwapelekesha mputa watumishi waonekane ni wazembe kwa wananchi ili serikali ikubalike kwa wananchi na rais apendwe. Tumbua tumbua, makalio ya hapa na pale yanafanywa na wakuu wa mikoa,makamu wa rais...
  15. ndege JOHN

    Watumishi wa Taasisi Zenye Majina Makubwa Serikalini Wana Maisha Magumu Sana Kwa Sasa, Waliopo Halmashauri Wengine Wanawazidi Maisha

    kuna jambo nimeliona katika hii miaka miwili ya fedha ya 2025 na 2026, sijui nini kimetokea kwenye baadhi ya taasisi za Serikali, lakini hali ya ukata ni ya kutisha sana. Kuna taasisi ukisikia jina lake unaweza kudhani watumishi wake wanakula mema ya nchi. Unasikia mtu anafanya kazi kwenye...
  16. lucky_boy

    Kwa nini watumishi wa umma wanachelewesha huduma kwa raia makusudi?

    Hivi ni kwa nini kwenye taasisi za umma imekuwa ni tamaduni ya kawaida kuchelewesha kimakusudi huduma fulani kwa raia ili tu kushawishi mazingira ya kutanguliza pesa ili uwahishiwe huduma? Ni mishahara midogo, tamaa au usimamizi mbovu. Maana unaweza kukamilisha kila kinachohitajika na swala...
  17. A

    KERO Watumishi wa Halmshauri ya Wilaya ya Chemba bado hatujalipwa fedha za kujikimu na hakuna majibu kamili

    Habari, hali ya kutolipwa au kucheleweshewa malipo imekuwa kama desturi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Dodoma. Hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa kuhakikisha tunalipwa fedha zetu kwa wakati, licha ya kuwa tunatumia fedha zetu wenyewe kujikimu na kutekeleza majukumu yetu...
  18. A

    KERO Waajiriwa wa Julai 2026 katika Halmashauri ya Namtumbo hatujalipwa fedha za kujikimu, Wilaya nyingine wamelipwa

    Watumishi walioajiriwa Julai 2026 katika Wilaya ya Namtumbo hawajapewa fedha za kujikimu. Wachache wamepewa Shilingi 750,000 pekee, badala ya kiasi kilichoainishwa kwenye barua zao za kuripoti kazini, huku wengine hawajapokea fedha hizo kabisa. Viongozi hawatoi majibu wanapoulizwa kuhusu hatua...
  19. Sifi Leo

    Unaweza usinielewe, kila kumbukizi ya tarehe yakifo cha Nyerere watumishi wengi,wanaambukizwa ukimwi, ndo siku condom nyingi hugaiwa.

    Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu. Hii ina...
  20. A

    KERO Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kitete tumechoka na majibu mabovu wakati stahiki zetu hatuzipati

    Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete tumechoka na majibu mabovu ya Makatibu na Mhasibu, wamekuwa wakitujibu vibaya sana tukiwa tunadai stahiki zetu. Watumishi wanajitolea sana muda wao mwingi wanautumia kazini lakini yakija malipo ya extra na call mtu anakatwa unakuta mtu...
Back
Top Bottom